Ni hatua zipi za kufuata, unapotaka kumuoa Afisa Usalama(Mwanamke)? Anaruhusiwa kukueleza siri za nchi?

Unataka kujua siri gani? Na atakuelezaje wakati hayahusiani na familia yenu kuna kazi na ndoa?
Unaweza kuoa afisa usalama na usijue kama ni usalama akajifanya mwalimu wa chekechea ukajikuta wewe ndio unampatia siri za vijiweni kwako kuhusu serikali inavyosemwa,utajiona kidume umeoa mwalimu wa chekechea kumbe anakuzidi mshahara mara 6
Si kila afisa usalama ni nadhifu.
 
Unataka kujua siri gani? Na atakuelezaje wakati hayahusiani na familia yenu kuna kazi na ndoa?
Unaweza kuoa afisa usalama na usijue kama ni usalama akajifanya mwalimu wa chekechea ukajikuta wewe ndio unampatia siri za vijiweni kwako kuhusu serikali inavyosemwa.
Si kila afisa usalama ni nadhifu.
Hahah da!
 
Unataka kujua siri gani? Na atakuelezaje wakati hayahusiani na familia yenu kuna kazi na ndoa?
Unaweza kuoa afisa usalama na usijue kama ni usalama akajifanya mwalimu wa chekechea ukajikuta wewe ndio unampatia siri za vijiweni kwako kuhusu serikali inavyosemwa,utajiona kidume umeoa mwalimu wa chekechea kumbe anakuzidi mshahara mara 6
Si kila afisa usalama ni nadhifu.
point
 
Lazima ukaape kuwa atakapokuaga muda wowote muwapo pamoja ni lazima umruhusu bila shurti, hata kama ni usiku wa manane mkiwa mnatafuta mtoto.

Sio lazima akuambie anapokwenda, hata akipotea mwezi, we tulia ndani kula na kunywa

Ole wako uchepuke, hata ukichepukia chini ya bahari atapeleleza na kujua.
 
Nisha wahi kua na dem kumbe alikua usalama wa taifa Ila kazi iliojulikana alokua akijihusisha nayo ni Uuguzi nigundua ukweli siku ya Mazishi yake alifariki gafla pale msibani ndio niliujua ukweli hawa wana siri sana
ilikuwaje
 
Jamani, nasikia Usalama wa Taifa ni watu makini sana na nadhifu,na wana siri kuu za dunia.

Sasa ikiwa unataka kumuoa, anaruhusiwa kukueleza siri za nchi kwakuwa mmekuwa mwili mmoja na unampataje? Kwani wanaishi kama digidigi hawaonekani?

Nisaidieni kwa hili.
Haha mkuu unataka kujua siri gani?
 
Jamani, nasikia Usalama wa Taifa ni watu makini sana na nadhifu,na wana siri kuu za dunia.

Sasa ikiwa unataka kumuoa, anaruhusiwa kukueleza siri za nchi kwakuwa mmekuwa mwili mmoja na unampataje? Kwani wanaishi kama digidigi hawaonekani?

Nisaidieni kwa hili.
Kumwoa kwa hatua zako wewe ni ngumu bali utamwoa kwa hatua zake yeye
 
Hakuna kazi ya Afisa Usalama, hao hao unaokutana nao na kutongoza ndo maafisa wenyewe.

Ikitokea umeoa, basi unakuwa umeoa huyo unayemfahamu... kama ni msusi au benka ama beki tatu.
 
Hatua ni zilezile za kuchumbia ila anabaki na siri yake moyoni kwani ni kiapo
kuna jamaa yangu namjua kaoa TISS ilichukua kama miaka mitatu kumchunguza plus kuwafanyia mahojiano ndugu, majirani n.k yaani hadi karuhusiwa kuoa jamaa walikua wamejiridhisha vya kutosha.
 
Jamani, nasikia Usalama wa Taifa ni watu makini sana na nadhifu,na wana siri kuu za dunia.

Sasa ikiwa unataka kumuoa, anaruhusiwa kukueleza siri za nchi kwakuwa mmekuwa mwili mmoja na unampataje? Kwani wanaishi kama digidigi hawaonekani?

Nisaidieni kwa hili.
Kwanza kwa kuelewa huyo unayetaka kumuoa yuko kitengo ni kosa la kwanza. Haitakiwi ajukane maana hata maisha yake yanakuwa hatarini au asipate taarif amuhimu pale anapopangiwa majukumu. Huko nyuma hata unayetaka kuoa utafanyiwa vetting kujua kama unazo sifa za kuoa mtu wa kitengo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom