nchi

  1. fenestra rotunda

    JamiiForums Tanzania Tusijidanganye, kwa aina ya uongozi na mifumo ya nchi hii, kamwe hatuwezi kuwa hata karibu na Ulaya

    Hilo lipo wazi, ukiangalia ulaya ulivyo unaweza ukastaajabu na kujiuliza tunakosea wapi. Designers wetu wa miundombinu na mipango miji sielewi huwa wanatoa wapi mifano ya kazi zao. Hapa chini ni highway za uholanzi,unaweza kuota kuna gap kubwa saana kati ya commuters wanaoenda na wanaorudi...
  2. Kakke

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar hatuko tayari nchi yetu kufanywa Wilaya kwa kuletewa dalali

    Ccm wasijidanganye kuwa wazanzibar watakua kimya na mambo kwenda salama (muruwa) kwa kuwawaa nchi yao ili ifanywe wilaya 2 ya Unguja/Pemba na mkuu wa mkoa 1. Hii plan ni ya kipindi kirefu tunajua na Huyu Mwinyi ni matayarisho ya kukukamilisha agenda hio kwa maguvu ya Magufuli. Sisi...
  3. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania Sayansi yashindwa kwanini Afrika haijaathirika na Corona, sawa na nchi nyengine

    Wataalamu wa magonjwa ya kuambikiza Duniani kwa umoja wao wakiri kutofahamu kwa nini nchi za Kiafrika hazijaathirika kwa kiwango sawa na nchi nyengine Duniani. Wataalamu hao wamesema , “ Hali ya ugonjwa wa Corona katika nchi za Afrika hata wao zinawashangaza”. Wengi wamekiri kuwa wakati ugonjwa...
  4. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Ancestral Curse: Ujerumani iliwaua Wayahudi zaidi ya Milioni 6, lakini ndio nchi yenye nguvu zaidi Ulaya. Je, hii dhana ya laana ya asili ipo sahihi?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ndugu zangu watanzania; Ujerumani iliwahi kuwaua binadamu zaidi ya Milioni 6, lakini ndio nchi yenye uchumi mkubwa zaidi barani Ulaya (European...
  5. G Sam

    JamiiForums Tanzania Barua: Kumbe watumishi wanalazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni za CCM na wanachukuliwa majina. Hivi mnawapa nauli?

    Nimekutana na hii barua kwa tweet ya Halima Mdee nimeshangaa kumbe hii nchi siyo huru hata kidogo! Na usipoenda utafukuzwa kazi ama? Maana sijaelewa mantiki yake hata kidogo Tena mnagawana kabisa kuwa wewe ni lazima uwe eneo fulani!
  6. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2018 Dkt. Magufuli alisema alishatembelea Nchi nyingi Duniani akiwa Waziri. Septemba 2020 anadai eti hajawahi kwenda Ulaya tangu akiwa shuleni!

    Kwa kweli Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako. Wamechanganyikiwa kabisa hadi sasa wamebobea katika ulaghai. Mweeee! Embu msikie mwenyewe kiongozi wa MATAGA.
  7. Acehood

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kununua shares za makampuni ya nje ya nchi

    Wakuu naomba msaada wa kujua kama kuna uwezekano wa mimi mtanzania kununua shares za kampuni yoyote ya nje ya nchi, hasa Ulaya. Naomba kama kuna aliyeweza kufanya hivyo anisaidie kunipa mawazo.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais kutotoka nje ya nchi ndiyo Uzalendo? Hatukusema usitoke kabisa bali tulichukia safari zisizo na tija

    Mgombea wa CCM John Magufuli amenukuliwa siku za hivi karibuni kwenye kampeni zake kuwa alipoapishwa kuwa Rais wa Tano wa Tanzania moja ya mambo aliyoyafanya ni kutotoka nje ya nchi na hasa kutokwenda nchi za Ulaya na Marekani. Sababu za kutokwenda Ulaya na Marekani ni kuwa yeye ni mzalendo na...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya 88 kwa Uvumbuzi (Innovation) Duniani na ya pili kwa Afrika Mashariki

    Jarida la Global Innovation Index limeionyesha Tanzania kuwa nchi ya 88 katika ugunduzi kwa mwaka 2020. Jarida hilo linatolewa na World Intellectual Property Organization, WIPO. Tanzania imekuwa ni nchi ya pili kwa Afrika Mashariki, ya kwanza ikiwa ni Kenya ambayo imeshika nafasi ya 86. Rwanda...
  10. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Mabalozi wa nchi za Magharibi waliopo nchini watoa tamko kuhusu uzingatiwaji wa Uwazi, Haki na Usawa kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

    Ni dhahiri tupo kwenye usawa wa microscope ya tunaowaita "mabeberu". Figisu zote zinaonekana na zitaendelea kuonekana dhahiri kabisa dunia nzima. Muhimu ni kwa vyombo vilivyopewa dhamana kusimamia uchaguzi vizingatie uwazi, haki na usawa kwa vyama vyote na wagombea wote. Hakuna jiwe...
  11. Point of Sales

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ninawezaje kupokea pesa zaidi ya milioni 100 kutoka nje ya nchi kuja Tanzania

    Habari. Nahitaji msaada wa namna nitakavyoweza kupokea kiasi kikubwa cha pesa Tsh.100,000,000 kutoka nchi ya Afghanistan..... Njia nyingi za online transfer zinashindwa kutuma kiasi hicho cha pesa. Nahitaji mawazo yenu.
  12. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vurugu za Siasa ni za wendawazimu wasiopenda nchi yao na watu wake

    Utakuwa upumbavu wa hali ya juu kufanya vurugu za kisiasa, kupigana na kupoteza maisha kwa ajili ya mtu mmoja au wachache wapate wadhifa wa kula na kuishi vizuri zaidi. Upumbavu huu umefanyika nchi nyingi, lakini mfano mzuri ni Libya ambako wanajuta kumpindua Gaddafi. Yani wao wakae makwao...
  13. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: CCM haijawahi kufuata Ilani yake wala katiba ya nchi kwa miaka 5

    Wasalaam, Naomba niweke wazi ukweli halisi bila ushabiki wa kisiasa chama chetu cha mapinduzi mwaka 2015 walikuja na ilani nzuri na ya kupendeza Wakati wa kampeni, baada ya kushinda uchaguzi bwana yule alitupilia mbali ilani ile na kifanya jinsi alivyoona yeye inafaa na jinsi alivyotaka yeye...
  14. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ramani: Nchi za Afrika zinazosechiwa Google na nchi nyingine za Afrika

    Afrika Kusini wanasechi sana ishu za Zimbabwe Zimbabwe wanawasechi sana Afrika Kusini Congo wanawasechi sana Nigeria Tanzania na Uganda tunawafatilia mno majirani zetu Kenya Burundi wanawasech sana Rwanda
  15. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapinzani hawako tayari kuongoza nchi

    Wanabodi, Ninafurahi kuona kampeni za Uchaguzi mkuu wa 2020 zimeanza huku amani ikitamalaki licha ya changamoto za hapa na pale. Nimefuatilia uzinduzi wa kampeni wa vyama vya CCM, CDM na ACT- Wazalendo na kugundua kuwa upinzani bado haujajipanga kuchukua dola. Uzinduzi wao umejawa na...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnapoambiwa Simba Sports Club siyo 'Wenzenu' nchi hii muwe mnaelewa sawa? Haya Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli shindana na Serikali sasa!

    Muda si mrefu tu uliopita kuna Barua kutoka Serikalini Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu kwenda kwa Klabu ya Yanga ikiwataka upesi sana Kurejesha Serikalini ( Wizarani ) Kibali cha Kazi cha Mchezaji halali wa Simba SC Bernard Morrison ambacho kwa Kiburi na Jeuri kabisa...
  17. Dam55

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe: Tutaandamana nchi nzima kudai haki ya wagombea wetu walio enguliwa kwenye uchaguzi

    Anaandika mhe Zitto Kabwe kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba chama chake kitafuata taratibu zote za kisheria kudai haki pia wanaunga mkono tamko la mwenyekiti wa chama hicho pamoja mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu kwamba lazima wananchi wafanye...
  18. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania CCM na Mifumo ndiyo tatizo kubwa Nchi hii. Wanatupeleka siko

    Haiwezekani uengue wagombea wa chama kimoja chenye nguvu 16 kati ya 18 katika kisiwa kizima, huu ni uhujumu wa wazi wazi unaominya haki za watu kuchagua. Haiwezi kuondoa wagombea udiwani zaidi ya 600 nchi nzima kama kweli unalitakia taifa hili amani. CCM kwakua Mwenyekiti wao wa taifa ndiye...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mali: Wanajeshi wamuachia huru aliyekuwa Rais wa nchi hiyo. Mwanaye aripotiwa kukimbilia ukimbizini nje ya nchi

    Baraza kuu la kitaifa, lililoowekwa na wanajeshi kuiongoza Nchi, "linaarifu wananchi wa Mali na Jumuiya ya Kimataifa kwamba aliye kuwa Rais wa Mali Ibrahim Boubacar Keïta ameachiliwa huru na kwa sasa yuko nyumbani kwake", CNSP imetangaza kwenye mtandao wa Facebook. Duru za kuaminika zimebaini...
  20. Richard

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM kuzindua kampeni Jumamosi, Agosti 29, 2020 uwanja wa Jamhuri, Dodoma

    CCM inazindua rasmi kampeni za uchaguzi ujao siku ya Jumamosi katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma. Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Magufuli anatarajiwa kutikisa kitovu hicho cha nchi mji wa Dodoma na vitongoji vyake kwa hotuba yake ilopangwa maalum...
Back
Top Bottom