Barua: Kumbe watumishi wanalazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni za CCM na wanachukuliwa majina. Hivi mnawapa nauli?

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Nimekutana na hii barua kwa tweet ya Halima Mdee nimeshangaa kumbe hii nchi siyo huru hata kidogo! Na usipoenda utafukuzwa kazi ama? Maana sijaelewa mantiki yake hata kidogo
20200905_085956.jpg

Tena mnagawana kabisa kuwa wewe ni lazima uwe eneo fulani!
 
Nimekutana na hii barua kwa tweet ya Halima Mdee nimeshangaa kumbe hii nchi siyo huru hata kidogo! Na usipoenda utafukuzwa kazi ama? Maana sijaelewa mantiki yake hata kidogo
View attachment 1559097
Tena mnagawana kabisa kuwa wewe ni lazima uwe eneo fulani!

Katiba ya nchi inakataza katakata kulazimisha watu kujihusisha na masuala ya siasa kama hawataki, Sasa nashangaa hawa watu wanalazimisha wananchi siasa.
Huu ni uonevu
 
Sasa watumishi kwenda kumsikiliza waziri mkuu wewe unahoji nini?!
Mikutano ya kisiasa? Emb ondoa huo ukungu kichwani. Kila mtumishi ana haki ya kuchagua amtakaye na halazimishwi kuhudhuria mikutano ya mtu fulani. Huo ni upumbavu ambao pengine upo Tanzania na vinchi vingine vyenye madikteta uchwara!
 
Ndiyo maana CDM wamekuja na Uhuru, Haki na Maendeleo. Ni kweli kabisa Tanzania watu hawana Uhuru, haki na maendeleo chini ya CCM......!!
 
Back
Top Bottom