Mwaka 2018 Dkt. Magufuli alisema alishatembelea Nchi nyingi Duniani akiwa Waziri. Septemba 2020 anadai eti hajawahi kwenda Ulaya tangu akiwa shuleni!

Ameshapewa taarifa kwamba afanye awezalo kuhakikisha anashinda kwa kura, tofauti na hapo atarajie yasiyotarajiwa. Msione hizi panic mnazoziona mkadhani mambo yapo kama yalivyozoeleka.
Inteeview ya jana ya Tundu Lissu kwenye kioindi cha dakika 45 ilikua ni kipimo kwa Lissu na sasa system imemkubali rasmi.
 
Ameshapewa taarifa kwamba afanye awezalo kuhakikisha anashinda kwa kura, tofauti na hapo atarajie yasiyotarajiwa. Msiine hizi panic mnazoziina mkadhani mambo yapo kama yalivyozoeleka.
Inteeview ya jana ya Tundu Lissu kwenye kioindi cha dakika 45 ilikua ni kipimo kwa Lissu na sasa system imemkubali rasmi.
Mawazo kama haya utakuta team nzima ya kampeni ya chadema inawaza hivihivi!
 
Back
Top Bottom