nchi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi toka wafuasi wa CCM na viongozi wao - Mabeberu ni kina nani, ni nchi wahisani au wafadhiri?

    Hivi karibuni hili neno limekuwa likitumika kila wakati, na kuna wakati namsikia hata Raisi Magufuli akilitumia - mabeberu. Nimeona kuwa wakati fulani hata vyama vya upinzani wakiambiwa ni marafiki wa mabeberu. Wakati fulani nimeona kwamba neno mabeberu linaelekezwa kwa mataifa tajiri ya nje...
  2. peter msuku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sioni upinzani wa Tanzania kuchukua Nchi Oktoba 2020

    Ndugu zangu mpaka kufikia sasa, bado sioni kama upinzani wa Tanzania uko na energy ya kuweza kuchukua na kuendesha dola Oktoba 2020. Sababu ni nyingi, ukiacha nguvu ya CCM kwa sasa, upinzani huu haujajipanga. Najaribu kuangalia hoja ya ushirikiano iliyoletwa na Maalim Seif kwenye mkutano mkuu...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi masikini sana

    Huenda uliposoma kichwa cha habari ukawa umejipanga kuja kunikosoa haraka kwamba nchi ina hifadhi nyingi za wanyama, mafuta, gesi, madini yaliyojaa tele nchini na hata kuwa na Tanzanite ambayo ipo hapa tu duniani kote, mlima kilimanjaro na vitu vingi ardhi hii iliyosheheni rasilimali. Umaskini...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Sare mpya ya CHADEMA yatikisa nchi, wananchi waisaka kila kona bila mafanikio

    Katika Vikao vya CHADEMA vinavyoendelea kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, dunia nzima inaangalia nani atapeperusha bendera ya chama hicho katika kuikomboa Tanzania, kuna taarifa kwamba zaidi ya watu bilion 1 duniani wanafuatilia mkutano huo . Lakini sisi wengine...
  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mfalme wa zamani wa Uhispania, Juan Carlos ahama nchi kwa tuhuma za ufisadi

    Mfalme wa zamani wa Uhispania, Juan Carlos, ameamuwa kuihama nchi yake katika uamuzi wa aina yake unaolenga kuunusuru ufalme baada ya mkururo wa tuhuma za ufisadi dhidi yake na wakati waendesha mashitaka wakimchunguza. Tamko la kasri ya kifalme lililotolewa jana (Agosti 3) lilinukulu barua ya...
  6. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania CCM na Magufuli mmejiandaa kisaikolojia kukabidhi nchi kwa mshindi au mtalazimisha mtolewe kwa "crane?"

    Kuna kila dalili za wazi kabisa kabisa kuwa Oktoba 28, 2020 itaandikwa historia mpya ya taifa la Tanzania.... Naiogopa sana CCM ya Magufuli ambayo inajiapiza kila iitwapo leo kuwa watashinda tu uchaguzi wa mwaka huu bila kujali lolote.... Kwangu mimi, this time naiona hii ni kauli inayotoka...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni moja ya nchi chache duniani kuruhusu wamarekani kuingia kwa masharti

    Tanzania ni moja ya nchi chache sana duniani kuruhusu wamarekani kuingia kwa masharti ya karantini, kwa nini inafanya hivyo, je, ni sawa na salama?
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ingekuwa katika Nchi za wenzetu, Nyalandu na wenzake wangejitoa na kumuachia Lissu

    Mpaka muda huu, nashindwa kuwaelewa Nyalandu na wenzake kwani nyakati zinambeba Lissu kwa asilimia 100. Kwa hali ilivyo, ingekuwa ni katika nchi za wenzetu,mfano US, mtu kama Nyalandu naamini angetangaza kujitoa na kumuunga mkono Lissu bila kusubiri kupigwa kura na wajumbe. Anyway, wacha...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hii picha ya Bill Gates na familia nchi zinazoendelea imenitafakarisha sana

    Niliwahi kuona nyumba ya Bill Gate kwenye TV documentary, milango inafunguliwa kwa remote control na moja ya sebule Ina aquarium. Leo anakuja kukaa na famila hii, nyumba za nyuma ya picha ni dhahiri ndiyo uhalisia wa makazi ya familia hii. Nyuma ya hii picha kuna uoto mzuri wa kijani. Ni...
  10. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kwa matamshi aliyotoa akiwa Kilosa na Kilwa, Rais Magufuli anaweza kutoa kauli zitakazoiletea nchi matatizo makubwa wakati wa kampeni

    Kwa sasa sina shaka kabisa kuwa Rais Magufuli kila akizungumza mara nyingi ni lazima aache upepo mbaya wa kauli za maudhi kwenye jamii. Hilo sasa halina tena mjadala. Sasa kwa muda huu Rais Magufuli anazungumza hayo akiwa peke yake na hakuna majibizano ya dhahiri kutoka upande wa pili...
  11. Mtini

    JamiiForums Tanzania Watalii wa kimarekani kuanza kumiminika Tanzania? Maamuzi ya Wizara ya Utalii tuliyoyabeza kuanza kuzaa matunda?

    Wamarekani wamepigwa ban dunia nzima isipokuwa kwa nchi chache tu kama inavyoonekana kwenye ramani. Nchi ya Marekani ndio nchi inayoongoza kuwa na watu wengi wanaopenda kutalii na wenye mkwanja mrefu yaani sio watalii njaa kama mnakumbuka maneno ya Mh. Rais kipindi kile anaweka vat kwenye...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Taarifa nilizopata juu ya chaguzi za CCM; ni hatari kwa nchi hii

    Nawaomba mnisome hapa: Mchakato wa kutafuta wagombea ndani ya CCM umeibua mambo mengi ambayo ni vizuri kuyajadili. Muhimu ni kuelewa kwamba kwa mpangilio wa vyombo vya uasalama na ukubwa wa CCM, bado kitakuwa ndicho chama kitakachoongoza nchi hii kwa miongo ijayo. Tatizo langu ni ukomavu na...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas: Dira ya maendeleo ya 2025 haina sehemu inayoonyesha pato la Nchi kuingia Uchumi wa Kati. WB ndio yenye vigezo vyake

    Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbas ametolea ufafanuzi dhana ya uchumi wa kati kwa kusema katika Dira ya maendeleo ya 2025 hakuna sehemu inayoelezea pato la nchi kuingia uchumi wa kati. Dkt. Abbas amesema Benki ya Dunia ndio huweka vigezo vya nchi kuingia katika ngazi hizo. Hivyo amewataka...
  14. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Katika kila mfumo wa utawala wa nchi kuna kauli hazivumiliki

    Ukienda Marekani ukaanza kusifu ujamaa wa Karl Marx na sera za kupinga ubepari watakuvumilia kwa muda tu wakiona unaanza kupata ushawishi watahakikisha unapotea. Ubepari na ubeberu ndio sera iliyoletea nchi yao maendeleo na kua tajiri kuliko nchi zote duniani. Vivyo hivyo kwa Uingereza...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kutafakari wewe binafsi umefanya nini na utafanya nini kusaidia Nchi yetu

    Mawazo zaidi ya kibinafsi hasa kwa vijana kutoka moyoni. Mimi kama Mtanzania ambaye ni diaspora najaribu sana kujitafakari na kuhakikisha najua nilikotoka na sisahau nilikotoka. Lakini swali kubwa kubwa sana ambalo kila Mtanzania anatakiwa kujiuliza ni je leo ukienda mbele ya haki kwa Mungu...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Mzee Mkapa alitengeneza uongozi wa Nchi kwa ngazi mbalimbali

    Kwa maoni yangu wakati Hayati Mzee Mkapa akiingia madarakani mwaka 1995 alianza na Mikakati ya kuweka mifumo mbalimbali ambayo hadi sasa imekuwa endelevu. Kipindi hicho ndicho kiliibua Maboresho katika Utumishi wa Umma. Hii iliendana na dhana ya ajira kwa kuzingatia sifa pamoja na kuibua...
  17. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta: Wakenya hawapaswi kujilinganisha na mataifa yanayoficha taarifa za COVID-19

    Rais Uhuru Kenyatta amesema Wakenya hawatakiwi kujilinganisha na mataifa yasiyo uhuru wa habari na ambayo yamekuwa hayatangazi taarifa za CoronaVirus Amesema wananchi wanatakiwa kufurahia kuwa Serikali haifichi kitu chochote na imekuwa ikiwaambia wananchi ukweli kuhusu hali ya mlipuko huo...
  18. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa nchi wamesusia kuja kumuaga Mkapa?

    Maana naona ni kama Waziri Mkuu wa Burundi peke yake ndio amekuja na baadhi ya Mabalozi, ina maana ni kwa sababu ya Korona au hawakuona umuhimu wa kuja? Au ndio watasingizia KORONA? Yaani hata majirani Museveni Kenyatta Kagame, nao wamegoma? Nakumbuka alipokufa Moi, Mkapa na JK walienda, so...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa tunafanya makosa makubwa kujiaminisha kuwa Corona siyo tishio tena kwetu kama Nchi

    Nimemsikiliza mheshimiwa Rais Magufuli siku hizi za karibuni, linapokuja suala la COVID-19 akizungumza anatuma meseji kwa umma kuwa hili suala tumeshalidhibiti na siyo tatizo tena kwetu. Jitihada za waziri wa afya na waziri mkuu kuhusu kuuelimisha umma kuhusu hali halisi ya ugonjwa wa corona...
  20. Mtini

    JamiiForums Tanzania Tuache utani! TL ni shujaa, ni mwanaume wa shoka. Hakika he is a living miracle. Akipewa Nchi hatamuonea mtu aibu wala kuogopa

    kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa...
Back
Top Bottom