Mnapoambiwa Simba Sports Club siyo 'Wenzenu' nchi hii muwe mnaelewa sawa? Haya Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli shindana na Serikali sasa!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,542
108,852
Muda si mrefu tu uliopita kuna Barua kutoka Serikalini Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu kwenda kwa Klabu ya Yanga ikiwataka upesi sana Kurejesha Serikalini ( Wizarani ) Kibali cha Kazi cha Mchezaji halali wa Simba SC Bernard Morrison ambacho kwa Kiburi na Jeuri kabisa Yanga SC kupitia Afisa Habari wao Hassan Bumbuli 'alikaririwa' akisema hawatokitoa ng'o.

Na sehemu ya hiyo Barua inasema Klabu ya Yanga ikishindwa Kutii Agizo ( Amri ) hiyo ya Serikali inaweza Kujikuta 'Matatizoni' kwa Adhabu Kali. Haya sasa Msemaji wa Yanga Hassan Bumbuli si ulipokuwa 'Ukihojiwa' na wana Yanga SC Wenzako akina Maulid Kitenge na Yusuph Mkule pamoja na George Job wa Wasafi FM 'ulitamba' kuwa Yanga SC mtaendelea tu Kudinda? Dindeni sasa!

Kwakuwa mmeshanikera GENTAMYCINE na leo 'nawapasulieni' ukweli hapa hapa. Kama vile nanyi Rais Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa ni mwana Yanga SC na 'mlifaidika' nae sana hadi Kututesa na Kutunyanyasa wana Simba SC kwa miaka ile yake Kumi ( 10 ) na sisi sasa kupitia mwana Simba SC Mwenzetu Rais Dkt. John Pombe Magufuli 'tutawanyoosheni' hadi mtuombe radhi Kudadadeki zenu.

John Pombe Magufuli.....Simba SC
Mama Samia Suluhu.....Simba SC
Kassim Majaliwa......Simba SC
Job Ndugai.....Simba SC
Tulia Ackson.....Simba SC
Harrison Mwakyembe......Simba SC
85% ya Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini......Simba SC
95% ya JamiiForums Members.....Simba SC
GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.....Simba SC
Malaika wote wa Mbinguni Mikaela na Jibril....Simba SC
Rais wa FIFA Infatino......Simba SC
Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa ya FIFA iitwayo CAS itakatosikiliza Rufaa ya Yanga SC dhidi ya Bernard Morrison......Simba SC
97% ya Wasomi wote nchini Tanzania......Simba SC

Najua leo 'mtanuna' na 'mtaninunia' mno tu ila ndiyo tena 'tuvumiliane' kwani Simba Sports Club yangu inanipa raha isiyo na Kifani na Amani tele!
 
Mwenyezi Mungu.....Simba SC

Unajua nakuheshimu sana,
Lakini unapomuweka Mungu kwenye mambo yenu ya kishabiki!!! Lo!
 
Gentamycine utaua watu . Huwezi kujipendelea namna hiyo . Hadi Mungu Umemfanya wa Simba peke yake ?!! Duuh...!

Mweh mweh
Ndaga Nkamu
 
Waganga na wachawi kama kaggere-simba

wazinzi na wapenda ngono zembe kama dimond-simba
darassa la 4 c kama akina mana rah-simba
wezi na majambazi kama amina morishon-simba
 
I love u yangaaaaaaa
Wacha ituuwe..
Hapa ndio umeonesha rangi yako ya spinach harisi.
 
Muda si mrefu tu uliopita kuna Barua kutoka Serikalini Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu kwenda kwa Klabu ya Yanga ikiwataka upesi sana Kurejesha Serikalini ( Wizarani ) Kibali cha Kazi cha Mchezaji halali wa Simba SC Bernard Morrison ambacho kwa Kiburi na Jeuri kabisa Yanga SC kupitia Afisa Habari wao Hassan Bumbuli 'alikaririwa' akisema hawatokitoa ng'o.

Na sehemu ya hiyo Barua inasema Klabu ya Yanga ikishindwa Kutii Agizo ( Amri ) hiyo ya Serikali inaweza Kujikuta 'Matatizoni' kwa Adhabu Kali. Haya sasa Msemaji wa Yanga Hassan Bumbuli si ulipokuwa 'Ukihojiwa' na wana Yanga SC Wenzako akina Maulid Kitenge na Yusuph Mkule pamoja na George Job wa Wasafi FM 'ulitamba' kuwa Yanga SC mtaendelea tu Kudinda? Dindeni sasa!

Kwakuwa mmeshanikera GENTAMYCINE na leo 'nawapasulieni' ukweli hapa hapa. Kama vile nanyi Rais Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa ni mwana Yanga SC na 'mlifaidika' nae sana hadi Kututesa na Kutunyanyasa wana Simba SC kwa miaka ile yake Kumi ( 10 ) na sisi sasa kupitia mwana Simba SC Mwenzetu Rais Dkt. John Pombe Magufuli 'tutawanyoosheni' hadi mtuombe radhi Kudadadeki zenu.

Mwenyezi Mungu.....Simba SC
John Pombe Magufuli.....Simba SC
Mama Samia Suluhu.....Simba SC
Kassim Majaliwa......Simba SC
Job Ndugai.....Simba SC
Tulia Ackson.....Simba SC
Harrison Mwakyembe......Simba SC
85% ya Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini......Simba SC
95% ya JamiiForums Members.....Simba SC
GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.....Simba SC
Malaika wote wa Mbinguni Mikaela na Jibril....Simba SC
Rais wa FIFA Infatino......Simba SC
Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa ya FIFA iitwayo CAS itakatosikiliza Rufaa ya Yanga SC dhidi ya Bernard Morrison......Simba SC
97% ya Wasomi wote nchini Tanzania......Simba SC

Najua leo 'mtanuna' na 'mtaninunia' mno tu ila ndiyo tena 'tuvumiliane' kwani Simba Sports Club yangu inanipa raha isiyo na Kifani na Amani tele!

Na bado tutawapasua kama nazi mpaka walie kama mbuzi ole ole ole wao.. basketballllll
 
Acha umbwiga wewe.
 
95% ya matajiri tz ni ie MO, bakhresa ni simba sports club
 
Back
Top Bottom