Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama
Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa.
Stay Tuned for Updates...
chadema
habari
halima mdee
kanuni
katiba
kesi
maamuzi
mahakama
mahakama kuu
mbowe
nchi
ndugai
sheria
tamko
taratibu
ubunge
viti maalumu
waandishi
watanzania
Wakuu salamu kwenu. Siku nyingi sijaandika ila leo nitauliza swali dogo tu.
CHADEMA wanasema hawajapeleka majina NEC lakini wabunge wameapishwa juzi. Baada ya uapisho na CHADEMA kupitia kwa Katibu Mkuu kuwakana wabunge wale sijasikia kituo cha redio, televisheni au gazeti zikiwahoji wahusika...
Wanabodi mnaoshangilia nchi yetu kuwa ya kijamii peke yake mjue anayefaidika na mfumo huo wa chama kimoja ni rais tu
How!
Miswada yote ya serikali itakuwa inapita bila kupingwa au rais akitaka chochote hakuna mwenye ubavu wa kumpinga Mana wabunge wote wanakuwa waoga hususani hawa ambao wamepewa...
1. Tarehe 23/11/2020 Mtuhumiwa Nusrati aliyekuwa mahabusu bila dhamana alitolewa gerezani. Muhimili uliotumika kumtoa gerezani ulikua ni Inasikitisha mhimili wa serikali kwa kile kilichoelezwa kwamba Jamhuri ambayo ni Mimi na wewe hatuna haja ya kuendelea na kesi yake.
2. Mahakama kwa Tarehe...
Bunge la Scotland limeupitisha muswada wa kutoa taulo za kike bure. Taulo hizo zitaanza kupatikana katika maeneo yote ya uma ikiwemo shule.
Kwa sheria hii itakuwa ni kazi ya serikali za mitaa kuhakikisha bidhaa hizo zinapatikana bure. Hatua hiyo imesemwa kuokoa watu masikini wa nchi hiyo...
NANI WA KUMPUUZA, WALIOPISHWA AU WASHIRIKA WA NCHI ISTAWALIKE?
Na Elius Ndabila
0768239284
Ni kweli kuwa jana tumeshuhudia Wabunge 12 wa viti maalumu kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakialishwa jana na Spika wa Bunge la JMT mjini Dodoma. Walikula kiapo ambacho ni haki yao...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.”
---UPDATE---
Akihojiwa na shirika la...
Kesho Jumatano, Novemba 25, 2020, CHADEMA kupitia uongozi wa juu wa Chama, kitazungumza na Umma wa Watanzania kupitia waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari, katika mkutano utakaofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Chama, kuanzia saa 5 asubuhi. Asanteni.
Wote Mnakaribishwa.
Shirika la UNICEF limetangaza kuhusu mkakati wake wa kusambaza chanjo ya Covid-19 kwa Kenya na nchi nyingine zinazoendelea, limeripoti gazeti la daily Nation nchini Kenya.
Chanjo zote zitakazonunuliwa kupitia Covax zitauzwa kwa shilingi 300 za Kenya (takriban dola 3) kwa nchi zinazoendelea...
Nchi imefilisika
=====
Kenya Seeks $2.3 Billion Loan From IMF to Boost Recovery
By David Malingha
November 22, 2020, 8:59 PM EST
Updated on November 23, 2020, 5:47 AM EST
State also seeks $1 billion to $1.5 billion from World Bank
Finance chief says Kenya yet to decide on G-20 debt...
Tukiacha ushabiki wa kisiasa na itikadi, Sasa ninaanza kufahamu kwa nini Mwalimu Nyerere, Mandela, Augustino Neto na wengine walipiga kelele kuhusu Mfumo wa uchumi Duniani kugandamiza nchi za Afrika na Dunia ya Tatu.
Lakini pia ninaanza kuona kwa nini Mwalimu alipigia chapuo sana South South...
Kama kichwa cha habari kilivyo!
Tanzania ni nchi yenye historia ya pekee barani Afrika na duniani kote.
Ni taifa lililopigania Uhuru wa nchi nyingi Afrika na ni Taifa la kuigwa si barani Afrika pekee bali duniani kote
Ni taifa lililojipatia Uhuru wake pasi na kumwaga damu, na hii si kwa...
Ndugu wazalendo nawasihi kwa Upendo Mkuu Kama unataka Gari nzuri na kwa Bei nafuu ni Bora kuagiza kuliko kujilipua Yard ambako Gari zinakua zimetumika Sana Zanzibar Kisha zinavushwa Bara wanaondoa zile Plate number za kule na kupeleka carwash na kupulizia perfume ukijichanganya imekula kwako...
Prof Kabudi ambaye ni waziri wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada.
Kabudi amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayoheshimu utu wa mtu na kamwe haitayumbishwa na nchi yoyote kwa vitisho vya kukatiwa misaada.
Kuhusu uchaguzi Prof Kabudi amesema...
Kuna msamiati mpya umetungwa hususani na watawala wetu wa serikali ya awamu ya 5 kwa kuwaita nchi za wazingu kuwa ni mabeberu, pale wanapotoa "constructive criticism" yenye lengo la kututaka tujirekebishe ili nchi yetu ipate ufanisi wa hali ya juu.
Hata hivyo ajabu ni kuwa wazungu hao hao...
Anglophone Vs Francophone Africa: Harufu ya mpasuko mkubwa wa kisiasa ndani ya umoja wa Africa (AU) baina ya mataifa yanayozungumza lugha ya Kiingereza na yale ya Kifaransa.
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums.
UTANGULIZI: MZOZO WA ANGLOPHONE - FRANCOPHONE NCHINI...
Naomba kujuzwa ni hatua zipi huchukuliwa na mahakama hii kuhakikisha watuhumiwa wanaotakiwa kufika mbele ya mahakama hii wanafika mahakamani.
Kwa mfano, Raisi wa nchi alieko madarakani anapotakiwa kufika katika hii mahakama na akagoma kwenda, ni utaratibu gani hufuata kuhakikisha anapanda...
Viongozi wa nchi, na viongozi wa CCM Mara nyingi wamesikika wakisema eti nchi yetu iko kwenye vita vya kiuchumi, ina pambana na mabeberu.
Huuu Ni utopolo daraja la Kwanza, unapambanaje na mbuzi? Kama mabeberu ni nchi hisani unapambanaje na anayekupa msosi?
Hebu fikiria uchumi wetu ulivyo, yaani...
Yan nashangaa sana leo balozi wa ubelgiji anasema habari zinazo sambaa sio za kweli, Ndio nakubaliana nae sio za kweli lkn kuhusu hoja iliyopelekea ile habari kutokea ni yakweli au sio ya kweli.
Je, ni kweli mmebeba mapesa ya watu kwa jina la CORONA na hamjazitumia kwa lengo husika.
Je, ni...