nchi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Lini tutakuwa Nchi moja, Serikali Moja? Jamhuri ya Tanzania isiwepo kabisa ile Muungano

    Tunahangaika sana mara kero mara mauaji mara kulazimishana mtafaruku mkubwa sana ,nahisi ni bora sasa iamuliwe tu na Wabunge tunao wengi sana wakutosha na ziada,tuondoe lile utata Jamhuri ya Muungano liwepo jina zuri la Jamhuri ya Watu wa Tanzania. Tunaondoa Baraza la Wawakilishi, tunaondoa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Lissu na Zitto kuipaka matope na kuisaliti Nchi yake hakujafanywa na mpinzani yeyote Duniani

    Kitendo cha Lissu na ZItto kutembea nchi za Nje na kuipaka matope na kuisaliti nchi yake na wananchi wake ni kitendo cha kinyama na ajabu na hakuna Mwanasiasa wa Upinzani Dunian aliyefanya aibu hiii. Tumewashuhudia wapinzani wazalendo Dunian kama akina Raila , Joe Biden, Julius Malema etc ...
  3. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupitia historia ya siasa ya Afrika,nimegundua 80% ya nchi za Afrika ni majimbo ya nchi za Ulaya na Marekani na marais ni kama ma Governor Tu

    Leo nimepitia karibu nchi zote za afrika historia ya siasa zao na namna uongozi unavyopatikana nchi hizo..kimsingi nchi zetu hata zile ambazo zinaonekana zimetulia hazina vita vya wenyewe kwa wenyewe ujue kuna nguvu kubwa nyuma wanasaidiwa na hizi nchi za kimagharibi pamoja na marekani kwa kiasi...
  4. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Niwasahihishe wapotoshaji wanaodhani Rais Magufuli amekiuka sheria kuwateua mawaziri (Prof. Kabudi na Dkt. Mpango)

    Na Elius Ndabila 0768239284 Baada ya Mh Rais kuwateua Mawaziri wawili, yaani Waziri wa Mambo ya nje Prof Kabudi na Waziri wa Fedha Prof Mpango kumezuka watu wanaoandika mtandaoni kuwa Rais amevunja katiba ambayo inasema Rais atateua Mawaziri na Manaibu Mawaziri kwa kushauriana na Waziri mkuu...
  5. Sijali

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya imani

    Nimeonelea badala ya mawazo ya kulaumu, kulalamika, kulaani…...nitoe mawazo ya kujenga angalau kujaribu kuepusha matatizo makubwa yanayoisogelea Tanzania. Ni matumaini yangu wakuu watayaona na angalau kuyafikiria. Kila mfuatiliaji atajua uchaguzi uliopita, mithili ya chaguzi zote zilizopita...
  6. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tanzania ni nchi ya 4 kutokea chini katika orodha ya Nchi Zinazokosa Furaha, CUF tumekuja na sera ya ''Tanzania yenye furaha inawezekana''

    "Taarifa ya furaha duniani inasema Tanzania ni nchi ya 4 kutokea chini katika orodha ya nchi zinazokosa furaha na sisi CUF tumekuja na sera ya Tanzania yenye furaha inawezekana" - Prof. Ibrahim Lipumba. - "Unaposema uchumi wa nchi unakua na wakati wananchi mifukoni hawana kitu ni kitu ambacho...
  7. Mocumentary

    JamiiForums Tanzania Jerry Rawlings, kiongozi wa zamani wa Ghana afariki dunia

    Jerry Rawlings, Ghana former leader don die. Rawlings die on Thursday morning. Jerry Rawlings John AKA J.J.Rawlings dem born am 22 June, 1947. E die at di age of 73 for Korle Bu Teaching Hospital, according to tori. Former Prez. Rawlings death dey happun just less than a month to di 2020...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Pinda: Zanzibar sio NCHI... Werema: Zanzibar ni NCHI (Serikali yao ni MOJA, RAIS wao ni MMOJA)

    Huku akiwasilisha kwa mbwembwe zilizoonekana kuwa ni za kishabiki akipinga hoja zilizowalishwa na kambi ya upinzani bungeni, Werema alishindwa kuunga mkono hoja ya Upinzani kuhusu mstakabari wa TZ baada ya Zanzibar kuutangazia UMMA na dunia kuwa ni NCHI. Werema alisema zanzibar ni nchi ndo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu asema ameamua kwenda uhamishoni Ubelgiji kwa sababu ana hati ya ukaazi ya nchi hiyo

    Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema mh Tundu Lissu amewasili salama salimini nchini Ubelgiji. Tundu Lissu amesema ameamua kwenda kuishi Ubelgiji na siyo sehemu nyingine kwa sababu ameshakaa nchini humo kwa miaka mitatu na kwamba ana hati ya ukaazi ya nchi hiyo. Chanzo: BBC Dira ya Dunia...
  10. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kuwekewa "mbinyo" na Jumuiya ya kimataifa, ndiyo njia pekee iliyobaki inayoweza kuiokoa nchi yetu katika anguko la kidemokrasia

    Nchi yetu iko katika mfumo wa vyama vingi kama inavyobainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1) Kwa Bahati mbaya sana, ingawa Katiba ya nchi inatamka hivyo, watawala wetu wanaonekana kabisa ni watu wasioutaka kabisa mfumo wa vyama vingi na wanatulazimisha...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Belarus na Alexander Lucashenko yanaakisi Afrika

    Belarus ni nchi iliyo mashariki mwa Ulaya, imepakana na Poland, Urusi, Ukraine na Lithuania. Ina jumla ya raia takriban 900,000 na mji wake mkuu ni Minsk. Alexander Lukashenko ni Rais aliyetawala Belarus tangu 1994. Katika utawala wake wapinzani wake wamepitia mateso makali sana. Ikiwemo...
  12. Travis 1

    JamiiForums Tanzania Law school of Tanzania kwa mwanafunzi anayetokea nje ya nchi

    Samahani wakuu, nilikua nauliza utaratibu wa mwanafunzi kujiunga na law school of Tanzania akitokea Kenya. Ni vitu gani vya muhimu anahitajika kuwa navyo. Natanguliza shukrani.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Tundu Lissu atafanikisha Godbless Lema kuondoka nchini Kenya na kupata hifadhi katika nchi mojawapo ya Ulaya au Marekani

    Kwa mtazamo wangu, pamoja na Godbless Lema na familia yake kupewa hifadhi ya kisiasa nchini Kenya, Lema na familia yake watakuwa salama zaidi iwapo wataishi nje ya region hii ya Afrika Mashariki na zaidi wakiwa Ulaya,Marekani au kwingineko licha ya ukweli kuwa hadhi ya ukimbizi aliopewa nchini...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ni chuo kipi au nchi gani mwanafunzi anaweza akaruhusiwa kuandika PhD kwa kiswahili, je inaruhusiwa?

    Msaada tutani, naomba kufahamu ni chuo kipi kinaweza kumruhusu mwanafunzi wa PhD kuandika Thesis kwa kiswahili au ni nchi ipi. Msaada. UPDATES: --------------------- Maana yangu ni kwamba kuna watu wana PhD kingereza hawajui sasa nauliza Thesis waliandika kwa kiswahili?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nchi Wahisani hawatakubali kutoa fedha zao iwapo watabaini wapinzani wa kutumika ndio wataongoza kamati za fedha za Bunge

    Ni Imani yangu walioweka sharti kamati za Bunge: PAC, POAC na LAAC ziongozwe na Wapinzani, walijua umuhimu huo wakiamini wapinzani wana nafasi nzuri zaidi katika kuibana serikali kwenye suala zima la matumizi ya fedha za Umma na zile zinazotolewa na wahisani. Kwa sababu hiyo, naamini mpaka sasa...
  16. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Iran ndio nchi ya kwanza kufurahia anguko la Donald Trump

    Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza kuiitoa nchi yake katika mkataba wa kimataifa wa mpango wa Nyuklia wa Iran. Ameutaja mpango huo kuwa si salama kwa Marekani na raia wake, huku akisema kuwa mpango huo ni kero kwa taifa la Marekani. Licha ya wito kutoka jumuiya ya kimataifa, Ufaransa...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Leo Wapinzani ndio wanaokimbia nchi; lakini muda mfupi ujao CCM wataanza kukimbia pia

    Wahenga wanamisemo mingi sana ya kufundisha, kuonya, kufariji, kukemea na kukupa dira. Miongoni mwa misemo hiyo, Kuna msemo mmoja, "ukiona mwenzio ananyolewa, wewe tia maji". Msemo huo una maana kubwa sana, pia historia ina utamaduni wa kujirudia. Siku za karibuni tumeona viongozi wa upinzani...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanataka nchi ya aina gani?

    Bila kupindisha maneno nchi yetu kwasasa inakabiliwa na mabadiliko makubwa ya mfumo. Mfumo wa zamani wa vyama vingi na demokrasia unaelekee kufa na kuja mfumo mpya kama wa Rwanda, Urusi na China. Utawala wa Chama kimoja na mtu mmoja wa awapendaje. Huu mfumo wa aina yake unaonekanaga mzuri pale...
  19. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Wabunge zaidi 300 - nchi masikini kweli zina pesa nyingi

    Nimekaa nikawaza, Bunge la JMT lina wabunge zaidi ya 300 yani wabunge 264 wa kuchaguliwa na zaidi ya 100 wa viti maalum, maana nimesikia CCM imepeleka majna 94 ya wabunge wa viti maalum, chadema wana nafasi 19, na CUF 3. Kila mbunge anakula zaidi ya milion 10, bado wawape zile tablet, bado...
  20. Masinki

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe Makini na wananchi/wapinzani wanaokimbilia Nchi ya Kenya

    Kuna Jambo zito linatengenezwa na hawa waliokuwa wanajinasibu wapinzani haswa wa Vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO. Kitendo cha wao kuanza kukimbilia nje ya Nchi ama kwenye Balozi zilizopo hapa Nchini sio cha kukalia kimya hata kidogo najiuliza wanakimbilia Nini??na kwanini Sasa? Nani...
Back
Top Bottom