Ukifuatilia siasa za Africa sasa hivi wasanii ndio wanaanza kuibuka kugombea vyeo vya uraisi africa
Mfano Raisi wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina alikuwa DJ wa mziki
Bob Wine wa Uganda ni Mwanamuziki kagombea Uraisi uganda
Tanzania Freeman Mbowe alikuwa DJ wa Muziki na alishagombea uraisi...
Naibu waziri wa kilimo Hussein Bashe amekanusha serikali kufunga mipaka ya biashara ya mazao ya kilimo na nchi jirani.
Bashe amesema biashara hiyo ilizorota kwa sababu ya Corona na kidogo mambo ya kisiasa lakini Rwanda wameshaanza kuja kununua mazao na Uganda ambao ni soko letu kuu walikuwa...
Salaam Great Thinkers,
Tumeanza kutoa huduma ya kusafirisha abiria wanaotumia ndege kusafiri, iwe ni ndani ya nchi au kimataifa, kwa miaka kadhaa sasa. Uzoefu tulionao umepelekea tuzifahamu changamoto nyingi kupitia feedback tunazozipata kutoka kwa wateja/abiria.
Miongoni mwa changamoto hizo...
Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP, limesema nusu ya ufadhili juu ya mabadiliko ya tabia nchi ulimwenguni, unapaswa kuelekezwa kwenye mataifa masikini ili kuyasaidia kukabiliana na ongezeko la joto duniani ambalo linasababisha maafa kama vile ukame, mafuriko na kuongezeka kwa kiwango...
Mzuqa wanaJF!
Kiribati (wenyeji wanaitamka Kiribas) ni kisiwa nchi katikati ya Pacific. Mji wake mkuu ni Tarawa. Inahofiwa Kiribati itazama miaka ya karibuni.
This island neshen will soon drown due to climate change and rising sea level.
Tayari serikali ya Kiribati imeshanunua ardhi Fiji...
Wakuu habarini za jioni.
Naombeni msaada namna ya kuifungua simu za huawei v19 pro ziweze kutumia mitandao ya ndani ya nchi, kwani nimenunua simu tajwa hapo juu kila ninapoweka laini za mitandao ya Tanzania hazisomi isipokuwa kwa emergency calls tu, hivyo naombeni msaada kwa hilo wakuu...
Nauliza tu maana naona wanaojiita wakimbizi wa kisiasa wakiendelea kujihusisha na masuala ya nchi yetu. Sheria inayohusu masuala ya wakimbizi inasemaje?
Sheria za Kimataifa zinaruhusu mtuhumiwa na Raia wa Nchi moja kwenda kuhukumiwa Nchi nyingine tofauti na Nchi yake.
Ili Mtuhumiwa aweze kuhamishwa kwenda kuhukumiwa Nchi nyingine ni Lazima kuwepo na Vitu vifuatavyo:-
1. Mkataba wa Kimataifa wa uhamishaji wa Watuhumiwa(Extradiction Treaty)
2...
Hivi inawezekana vipi Rais na Makamu hamuelewani lakini mpo wote tu madarakani?
Mimi sio Mtaalamu wa siasa lakini sioni kama kuna mwisho mwema hapa kwenye hili vuguvugu la Uhuru vs Ruto. Vijembe vinazidi kushika kasi kuelekea uchaguzi 2020. Uhuru anaulizwa ni nini kinamshinda kumtimua Ruto...
Mheshimiwa Dkt. John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Amani iwe kwako!
Mheshimiwa Rais! Mimi Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula, nisimamaye katika zamu yangu kama Mtumishi wa Mungu katika zamani hizi za utawala wako kama Sauti ya Haki katika nchi, ninatuma ujumbe huu kwako...
Leo Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amewasili Chato mkoani Geita kwa ziara ya siku mbili kuimarisha uhusiano ambapo atakuwa na mwenyeji wake, Rais Magufuli.
=======
Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji ameshawasili uwanja wa ndege wa Chato na kulakiwa na mwenyeji wake, Rais John Magufuli
05:34...
Toka napata akili naskia sana neno Kilimanjaro, katika utafiti pia ni vitu vingi sana vina majina hayo. Toka niingie JF watu wanaotoka Kilimanjaro wanatajwa kwa ubaya kwa mazuri pia. Kutokana na mabishano ambayo nimeshuhudia kwenye majukwaa humu kuhusu wachaga na mkoa mzima nikatamani sana ipo...
Next generation sequencing ni instruments inayotumika ku-unlock cells and microorganisms genetic code, ambapo baada ya ku-unlock inazalisha data (omics datanyingi ambazo zinatakiwa zifanyiwe analytics na bioinformatician
Modern medicine imekua centered na data driven tofauti na traditional...
Tukubali sheria ya Bodi ya Mikopo inayoruhusu makato ya asilimia 15 ya mshahara ghafi wa mtu aliepewa huu mkopo(Siwezi kumuita mnufaika wa huu mkopo maana ni kutiana umasikini) pamoja na tozo ya asilimia 6 kama retention fee, ni sheria katili, mbaya na haistahili kuwepo katika nchi ya watu...
Yaani hii ni zaidi ya akili kubwa, hongereni sana ndugu zetu, tuijenge hii nchi yetu kwa pamoja maana ndio nyumbani kwetu, mkiwa huko mnafanya makubwa sana nyumbani.
========
A group of at least 300 Kenyans currently living in the United States of America has teamed up to embark on a...
Kabisa kabisa hatupo mbali, kwa muelekeo na Gia tuliyoondoka nayo baada ya Uchaguzi uliolalamikiwa na Vyama vya Upinzani.
Yaani kama mheshimiwa baba wa Taifa JPM utamfananisha na gari sijui awe gari gani kama ni ndege labda za kivita kama ni treni ni haipa lupu. Ila huyu ni binadamu mwenye...
Iran iliaandaa tuzo na zipo kwa muda mrefu wakampa Ugur Sahin mwaka 2019. Ugur Sahin kampuni yake na ubia wa Pfizer kampuni ya Marekani wakawa wakwanza kuja na Kinga ya covid-19.
Ayatollah anadai nchi yake haitatumia chanjo za nchi za magharibi, kumbuka Ugur Sahin kampuni yake imesajiliwa...
Bunge ndiyo linatunga sheria lakini mimi nimeona sehemu kubwa miswada huwa inatoka wizarani au kwenye taasisi za serikali. Sijawahi sikia mbunge ametoa mswada na baadaye umekuwa sheria.
Imewahi tokea kwenye historia yetu mbunge katoa mswada na umekuwa sheria? Wenzetu unakuta hata hiyo sheria...
Habari zenu wakuu,
Nahitaji kusafairisha kiroba cha kilo 50 (nguo) kuepeleka OMAN. Nipo Dar, ila kama hiyo kampuni itakua na branch Zanzibar itakua vizuri zaidi.
Mwenye kufahamu naomba anijuze.
Natanguliza shukrani
Uchaguzi wa Marekani umemalizika rasmi leo usiku kwa Rais mteule Joe Biden kuthibitishwa na mabunge yote mawili kuwa rais wa nchi hiyo baada ya rais Trump kwa kipindi cha miezi miwili kuhangaika kupinga matokeo ya uchaguzi huo uliofanyika Novemba mwaka jana.
Tulichojifunza zaidi ni jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.