Waziri Kaleman ifumue TANESCO Kyela ni kero na aibu kwa nchi

Coster2

Senior Member
Apr 28, 2019
168
218
Mheshimiwa waziri kyela hakuna umeme ni mwezi sasa, wanakata saa 12 asubuhi kila siku na kurudisha saa 3 usiku, watu wanahamasishwa wanunue generator na sola power, hii ni hujuma fumua uongozi wa Tanesco kyela,tunakuomba mheshimiwa waziri tunajua wewe ni mchapa kazi ila hawa watu wanakuangusha
 
Kuna mgao sema nidhambi kutamka hadharani.We unahisi maofisa wa TANESCO wanakuwa wavivu kuwasha umeme uje mtaani.
 
Mheshimiwa waziri kyela hakuna umeme ni mwezi sasa, wanakata saa 12 asubuhi kila siku na kurudisha saa 3 usiku, watu wanahamasishwa wanunue generator na sola power, hii ni hujuma fumua uongozi wa Tanesco kyela,tunakuomba mheshimiwa waziri tunajua wewe ni mchapa kazi ila hawa watu wanakuangusha
nimechangia kwenye uzi wa Tanesco kule eti ofisa wao anayehusika na ufafanuzi hapa jf anataka niweke namba ya simu ! badala aje PM .
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom