nchi

  1. Replica

    Tanzania yakopa zaidi ya bilioni 110 kupambana na athari za COVID-19

    Benki ya maendeleo ya Afrika imepitisha mkopo wa dola za kimarekani milioni 50.7 sawa na zaidi ya bilioni 117 za kitanzania kugharamia mapambano dhidi ya Covid. Serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli inapanga kujenga uthabiti wa kiuchumi na kupunguza athari za kiuchumi, kijamii na kiafya...
  2. Deogratias Mutungi

    Unyenyekevu, Utu, Uwajibikaji, Uchumi na Amani ya Nchi ndio msingi wa kuipa kura CCM Bara na Visiwani

    Salaam wana JF. Nianze andiko hili kwa kusema kuwa ushindi wa kishindo wa Chama Cha Mapinduzi CCM katika uchaguzi wa mwaka huu utatokana na nguzo imara za "Unyenyekevu, Utu, Uwajibikaji, Uchumi, haki na Amani ya Nchi, hizi ndizo hoja za msingi wa kuipa kura CCM Bara na Visiwani wala si...
  3. Infantry Soldier

    Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya Afrika?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya bara la Afrika? Je, ushahidi huu ni udhibitisho mwingine tena wa ule...
  4. OLS

    WB: Takribani nusu ya wanaoishi katika umasikini mkubwa chini ya Jangwa la Sahara wanapatikana kwenye nchi tano Tanzania ikiwemo

    Kitabu kipya cha Benki ya Dunia Ukurasa wa 46, kimeitaja Tanzania kama moja ya nchi yenye watu masikini milino 28, kimeeleza kuwa nchi tano za afrika ndio zinabeba nusu ya masikini walioko kusini mwa jagngwa la Sahara Nchi hizo ni Nigeria (79 million) Democratic Republic of Congo (60 million)...
  5. CUF Habari

    Prof. Lipumba Masasi-Mtwara: Jeshi kazi yake ni kulinda mipaka ya nchi na sio kubeba korosho, nichagueni oktoba 28, niboreshe bei ya korosho

    JESHI KAZI YAKE NI KULINDA MIPAKA YA NCHI NA SIO KUBEBA KOROSHO, NICHAGUENI OKTOBA 28, NIBORESHE BEI YA KOROSHO"PROF. LIPUMBA" MASASI-MTWARA Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa rais atahakikisha...
  6. Erythrocyte

    GE2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

    Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo Wanaomuunga Mkono Tundu Lissu wanavyojitokeza na kuzidi kuongezeka. Mwangalie Sheikh Ponda Issa Ponda alivyotikisa Dodoma leo. Video hii hapa ==== SHEIKH PONDA: WAISLAMU TUMEKUBALIANA TUTAMPIGIA KURA LISSU Sheikh Ponda Issa Ponda amesema Mgombea wa Urais...
  7. mugah di matheo

    Tanzania vs Tunisia: Watakachokifanya mashabiki wa yanga ni uhaini kwa nchi

    Kitendo cha baadhi ya mashabiki kuhamasishana wakaishangilie timu ya taifa la kigeni ni sawa na kuifanyia nchi ya kigeni ujasusi dhidi ya nchi yako ambayo huhesabiwa ni uhaini na adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa
  8. The Assassin

    Trump amesema ikitokea Biden akashinda anaweza kuhama nchi, hiyo aibu ataificha wapi?

    Rais Donald Trump akiwa kwenye mkutano wa kisiasa amesema Biden ndio mgombea mbovu kuwahi kutokea kwenye siasa za Marekani toka taifa la Marekani lilipoundwa. Trump anasema ikitokea akashindwa uchaguzi na Biden hiyo aibu ataificha wapi kushindwa na mtu mbovu kuliko wote, anasema hiyo aibu...
  9. E

    Hatua za kufuata wakati wa kufanya maombi ya full funded scholarship ya kusoma nje ya nchi

    Habari za Leo ndugu na marafiki. Leo nitaelezea hatua za kufuata wakati wa kufanya maombi ya full funded scholarship ya kusoma nje ya nchi. Basi ili walau kupata mwanga wapi pa kuanzia fuatana na mimi katika hii video fupi.
  10. GENTAMYCINE

    Je, ni kwanini nchi ya Rwanda si tu 'inasifika' bali kwa sasa 'inaogopeka' pia kwa kuwa na 'Majasusi' mahiri kabisa kuliko nchi nyingine za EAC?

    Inasemekana huwezi kupanga Jambo baya la 'Kuidhuru' Rwanda ukiwa ndani au nje ya nchi hiyo na kama ukipanga kufanya hivyo usijulikane mapema kwani utadhibitiwa Kikamilifu kabisa. Pia wanasema huwezi 'Kuvamia' Mkoa wowote ule wa Rwanda hata kama Wewe ni Gaidi na ukauwa Wanyarwanda au...
  11. CUF Habari

    GE2020 Prof. Lipumba akiwa Iringa Mjini: Nchi hii inahitaji Rais mchumi na mwenye huruma na watanzania, mkinichagua kuwa nitafuta umasikini

    NCHI HII INAHITAJI RAIS MCHUMI NA MWENYE HURUMA NA WATANZANIA MKINICHAGUA KUWA RAIS NTAFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE"PROF.LIPUMBA" IRINGA MJINI Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha...
  12. Analogia Malenga

    Wananchi, Wanafunzi na Zimamoto washirikiana kuzima moto Mlima Kilimanjaro

    Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka (CAWMSO) amewaomba wanafunzi waliopo chuoni kushiriki kikamilifu katika kuzima moto katika hifadhi ya Kilimanjaro. Mamlaka za Hifadhi za Taifa ilisema sehemu ya msitu wa mlima Kilimanjaro ilianza kuungua tangu jana mchana na waliendelea juhudi za...
  13. figganigga

    GE2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

    Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA). Uchaguzi 2020 - Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu
  14. Analogia Malenga

    GE2020 Lissu: Tutatengeneza nchi ya watu walio huru

    Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA: Tundu Lissu amesema watatengeneza nchi huru na yenye haki. Nchi ambayo hakuna kiongozi atakayeogopwa kuliko Mungu. Amesema kia mtu anahitaji haki na kila mtu anastahili kupata haki, awe askari mfanyabiashara, mkulima, mfugaji, mama lishe, bodaboda au kazi...
  15. Miss Zomboko

    GE2020 Tundu Lissu: Uchaguzi huu hautakuwa rahisi kwa kuwa kura ya mwaka huu ni ya ukombozi wa nchi

    MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameendelea kuchanja mbuga kwenye mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga huku akisema uchaguzi huu hautakuwa rahisi kwa kuwa kura ya mwaka huu ni ya ukombozi wa nchi. Akizungumza jana katika mikutano tofauti ya...
  16. Mystery

    GE2020 Hivi pamoja na "promo" yote ya mabango yaliyotapakaa nchi nzima, ni kwanini CCM inapelekwa mchamchaka na Tundu Lissu?

    Kuna msemo wa wahenga usemao kuwa kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza...................... Kwa namna CCM ilivyosambaza mabango nchi nzima, wakati wapinzani wao wa kisiasa, vyama vya upinzani, wakiwa hoi bin taabani, naweza ulinganisha usemi huo na hali halisi ya hivi sasa. Hivi unawezaje...
  17. Miss Zomboko

    RC Singida: Serikali haitasita kumchukulia hatua mtu yeyote atakayehatarisha amani ya nchi

    MKUU wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi amesema serikali haitasita kumchukulia hatua mtu yeyote atakayehatarisha amani katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu. Nchimbi ambaye alikuwa mgeni rasmi aliyasema hayo alipohutubia wananchi, wazazi na wanafunzi wakati wa sherehe za mahafali ya...
  18. Ndebile

    Ushuhuda Kuhusu "Njama" za Mabeberu kwa Nchi Maskini

    Naanza kwa kukiri kuwa mimi sio mwandishi mzuri ila uzi wa Pascal Mayalla umenifanya nijitutumue kuandika. https://www.jamiiforums.com/threads/mebeberu-wana-malengo-na-tanzania-waanza-uzushi-wa-fujo-baada-ya-jpm-ccm-kush. Nilitaka nitumie neno wazungu au mataifa ya Magharibi badala ya...
  19. CUF Habari

    GE2020 Prof. Lipumba, Dodoma - Chemba: Mkinichagua Oktoba 28, kuwa Rais wa Nchi hii nitawekeza kwa watu, kisha watu wawekeze kwenye vitu

    MKINICHAGUA OKTOBA 28, KUWA RAIS WA NCHI HII NITAWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"PROF. LIPUMBA" DODOMA- CHEMBA Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote Haki ya Elimu kwa kila Mtanzania Haki ya Lishe Bora na uhakika kwa kila Mtanzania Haki ya Afya Bora na ya uhakika kwa...
  20. MAHANJU

    GE2020 CCM wako tayari kwa lolote, hawako tayari kukikabidhi nchi kwa Upinzani. Mnalijua hilo?

    CCM kinajua kuwa siyo rahisi kushinda kwa sanduku la kura, sasa wapo tayari kwa lolote ilimradi warudi Ikulu upinzani wapende wasipende. CCM kinajua kina Madudu mengi hasa kwenye miradi hasa kwenye miradi hii mimea ya STIGLERS, SGR na ununuzi wa ndege ambao hata CAG hakueleza ni vipi...
Back
Top Bottom