Nchi zinazoongoza kwa unywaji wa pombe barani Afrika

Uswiss

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
842
2,160
Kwa mujibu wa mtandao wa African full facts nchi zinazo ongoza kwa unywaji wa pombe barani Africa ni..

1. South Africa
2. Gabon
3. Namibia
4. Nigeria
5. Uganda
6. Rwanda
7. Burundi
8. Sierra Leone
9. Botswana
10. Tanzania.

Na vilevi (bia) vinavyohusidiwa sana na walevi wa bara la Africa ni:

1. Tusker lager
2. Kasupreko drinks
3. Castle lager
5. Star beer
6. Windhoek lager
7. Chibuku.

Bongo kwa nyakati hizi nadhani hizi.." ngumu kumeza, Rahisi kulewa" ndo zitakua zinakimbiza. Kitoko, double Kiki, smart gin. etc.
 
Huu utopolo umeutoa kwenye hiyo page ya wakenya kule facebook, wale maadmini wa hile page hua wanatoa facts za uongo na mara nyingi hupenda kuiweka Kenya kwenye kila kitu kizuri ili ionekane ni miongoni mwa nchi bora Africa
na ukiwapa za uso wanakublock faster
 
Kwa mujibu wa mtandao wa African full facts nchi zinazo ongoza kwa unywaji wa pombe barani Africa ni..

1. South Africa
2. Gabon
3. Namibia
4. Nigeria
5. Uganda
6. Rwanda
7. Burundi
8. Sierra Leone
9. Botswana
10. Tanzania.
Na vilevi (bia) vinavyohusidiwa sana na walevi wa bara la Africa ni..
1. Tusker lager
2. Kasupreko drinks
3. Castle lager
5. Star beer
6. Windhoek lager
7. Chibuku.

Bongo kwa nyakati hizi nadhani hizi.." ngumu kumeza, Rahisi kulewa" ndo zitakua zinakimbiza. Kitoko, double Kiki, smart gin. etc.
Zambia haipo na wewe umetuwekea humu? Niendelee tu kuisoma Ila si ya kweli
 
Yan kumbe sisi hatunywi pombe basi,kama mitaani huku watu kibao wanakunywa hadi wanatambaa kama nyoka kwa sababu ya pombe tu, loo salalee na bado tupo wa kumi kumbe sisi tunaonja tu hatunywi...naona kama hii list ina walakini kuna nchi flani hazijatajwa.hahahh
 
Back
Top Bottom