nchi

  1. Nani wa kumpuuza, waliopishwa au washirika wa nchi isitawalike?

    NANI WA KUMPUUZA, WALIOPISHWA AU WASHIRIKA WA NCHI ISTAWALIKE? Na Elius Ndabila 0768239284 Ni kweli kuwa jana tumeshuhudia Wabunge 12 wa viti maalumu kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakialishwa jana na Spika wa Bunge la JMT mjini Dodoma. Walikula kiapo ambacho ni haki yao...
  2. GE2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.” ---UPDATE--- Akihojiwa na shirika la...
  3. Viongozi wa Juu wa CHADEMA kuongea na Wanahabari Novemba 25, 2020 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni

    Kesho Jumatano, Novemba 25, 2020, CHADEMA kupitia uongozi wa juu wa Chama, kitazungumza na Umma wa Watanzania kupitia waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari, katika mkutano utakaofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Chama, kuanzia saa 5 asubuhi. Asanteni. Wote Mnakaribishwa.
  4. Chanjo ya Virusi vya Corona kuuzwa kwa bei nafuu kwa nchi masikini

    Shirika la UNICEF limetangaza kuhusu mkakati wake wa kusambaza chanjo ya Covid-19 kwa Kenya na nchi nyingine zinazoendelea, limeripoti gazeti la daily Nation nchini Kenya. Chanjo zote zitakazonunuliwa kupitia Covax zitauzwa kwa shilingi 300 za Kenya (takriban dola 3) kwa nchi zinazoendelea...
  5. Kenya yapeleka maombi IMF ya msaada wa $2.3B kusaidia kuendesha nchi

    Nchi imefilisika ===== Kenya Seeks $2.3 Billion Loan From IMF to Boost Recovery By David Malingha November 22, 2020, 8:59 PM EST Updated on November 23, 2020, 5:47 AM EST State also seeks $1 billion to $1.5 billion from World Bank Finance chief says Kenya yet to decide on G-20 debt...
  6. D

    Mfumo wa Uchumi wa Dunia (World Economic Order) unaopendelea nchi za Magharibi ndiyo chimbuko la matatizo yote haya nchini.

    Tukiacha ushabiki wa kisiasa na itikadi, Sasa ninaanza kufahamu kwa nini Mwalimu Nyerere, Mandela, Augustino Neto na wengine walipiga kelele kuhusu Mfumo wa uchumi Duniani kugandamiza nchi za Afrika na Dunia ya Tatu. Lakini pia ninaanza kuona kwa nini Mwalimu alipigia chapuo sana South South...
  7. Wapo wa kuijadili nchi yetu, ila wa kuichukulia hatua zozote zile, hawajazaliwa bado

    Kama kichwa cha habari kilivyo! Tanzania ni nchi yenye historia ya pekee barani Afrika na duniani kote. Ni taifa lililopigania Uhuru wa nchi nyingi Afrika na ni Taifa la kuigwa si barani Afrika pekee bali duniani kote Ni taifa lililojipatia Uhuru wake pasi na kumwaga damu, na hii si kwa...
  8. Kuagiza Gari nje ya nchi vs Kununua Yard

    Ndugu wazalendo nawasihi kwa Upendo Mkuu Kama unataka Gari nzuri na kwa Bei nafuu ni Bora kuagiza kuliko kujilipua Yard ambako Gari zinakua zimetumika Sana Zanzibar Kisha zinavushwa Bara wanaondoa zile Plate number za kule na kupeleka carwash na kupulizia perfume ukijichanganya imekula kwako...
  9. J

    Prof Kabudi: Kati ya pesa na heshima ya nchi yetu, tutasimamia heshima. Tuko tayari kuwasikiliza na kujadiliana kwa heshima

    Prof Kabudi ambaye ni waziri wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada. Kabudi amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayoheshimu utu wa mtu na kamwe haitayumbishwa na nchi yoyote kwa vitisho vya kukatiwa misaada. Kuhusu uchaguzi Prof Kabudi amesema...
  10. Hivi ni kwanini nchi za wazungu kila wanapotupa misaada tunawaita wahisani wetu wa maendeleo lakini pale wanapotukosoa tunawaita mabeberu?

    Kuna msamiati mpya umetungwa hususani na watawala wetu wa serikali ya awamu ya 5 kwa kuwaita nchi za wazingu kuwa ni mabeberu, pale wanapotoa "constructive criticism" yenye lengo la kututaka tujirekebishe ili nchi yetu ipate ufanisi wa hali ya juu. Hata hivyo ajabu ni kuwa wazungu hao hao...
  11. Anglophone Vs Francophone Africa: Harufu ya mpasuko wa kisiasa ndani ya Umoja wa Afrika (AU)

    Anglophone Vs Francophone Africa: Harufu ya mpasuko mkubwa wa kisiasa ndani ya umoja wa Africa (AU) baina ya mataifa yanayozungumza lugha ya Kiingereza na yale ya Kifaransa. Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums. UTANGULIZI: MZOZO WA ANGLOPHONE - FRANCOPHONE NCHINI...
  12. S

    Nchi isipotii amri ya viongozi wake kufika Mahakama ya Kimataifa ya ICC, huchukuliwa hatua gani kulazimisha?

    Naomba kujuzwa ni hatua zipi huchukuliwa na mahakama hii kuhakikisha watuhumiwa wanaotakiwa kufika mbele ya mahakama hii wanafika mahakamani. Kwa mfano, Raisi wa nchi alieko madarakani anapotakiwa kufika katika hii mahakama na akagoma kwenda, ni utaratibu gani hufuata kuhakikisha anapanda...
  13. Tanzania haina Vita ya kiuchumi na nchi yoyote, ila ina Vita vya kiroho

    Viongozi wa nchi, na viongozi wa CCM Mara nyingi wamesikika wakisema eti nchi yetu iko kwenye vita vya kiuchumi, ina pambana na mabeberu. Huuu Ni utopolo daraja la Kwanza, unapambanaje na mbuzi? Kama mabeberu ni nchi hisani unapambanaje na anayekupa msosi? Hebu fikiria uchumi wetu ulivyo, yaani...
  14. Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

    Hongera Tanzania kuwa mfano wa kuigwa ulimwenguni Demokrasia yetu ama kwa hakika imekuwa ya kupigiwa mfano kila pembe ya dunia.
  15. Nawashangaa Viongozi wa CCM kila linapotajwa kosa au tuhuma na nchi washirika wa maendeleo mnakimbilia kusema vita ya kiuchumi. Jibuni hoja kwa hoja

    Yan nashangaa sana leo balozi wa ubelgiji anasema habari zinazo sambaa sio za kweli, Ndio nakubaliana nae sio za kweli lkn kuhusu hoja iliyopelekea ile habari kutokea ni yakweli au sio ya kweli. Je, ni kweli mmebeba mapesa ya watu kwa jina la CORONA na hamjazitumia kwa lengo husika. Je, ni...
  16. IMF: Nchi za kipato cha chini hupoteza 50% kwa miradi ya miundombinu isiyo na tija

    Shirika la Kimataifa la Fedha (IMF) limetoa ripoti kitabu cha kuonesha namna bora ya kufanya miradi ambayo itakuwa na uchumi jumuishi ambao utapunguza tofautii kati ya walionacho na wasionacho. Kitabu hicho kimeonesha miradi ya serikali huwa ya gharama sana na huwa haina ubora. Pia huwa haina...
  17. Rais Magufuli kutamka hadharani kuwa Prof. Kabudi na Lukuvi hawawezi kuwa miongoni ya Rais ajaye mwaka 2025; Je, amevunja Katiba ya nchi?

    Tulimsikia Rais Magufuli wakati akimwapisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisema kuwa Profesa Kabudi na William Lukuvi hawawezi kuwa miongoni ya wagombea wa Urais wa CCM kwa mwaka 2025, kwa kuwa tu umri wao hauwaruhusu, kwa kuwa watakuwa na umri mkubwa, kwa kuwa ameeleza kuwa Rais ajaye atakuwa...
  18. Buou ni kweli Tanzania imefikia uchumi wa kati kama mtu anabisha aangalie hii video ya nchi ya Cameroon

    Tanzania tuko uchumi wa kati anayebisha ushahidi huu hapa angalia video hii ya nchi ya Cameroon
  19. Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

    Ripoti iliyotolewa na Kituo cha Bara la Ulaya cha Kuzuia na Kudhibiti magonjwa (ECDC) na baadaye ripoti hiyo kuchambuliwa na kusomwa na kituo kikubwa cha habari cha nchini Ujerumani cha Deutsche Welle (DW) imeitaja Tanzania kuwa nchi pekee duniani ambayo haijaripoti maambukizi yoyote ya mgonjwa...
  20. Kwanini Tanzania tuko kwenye orodha ya nchi zisizo na furaha? Je, ni kweli hatuna furaha?

    Inasikitisha kuona nchi yangu pendwa iko kwenye orodha za juu ya nchi zisizo na furaha kabisa duniani. Nina maswali machache ya kujiuliza na kuulizana:- 1. Je ni kweli hatuna furaha 2. Nini kimepelekea kuondoka kwa furaha yetu 3. Tufanyeje ili tuwe wenye furaha?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…