nchi

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini waliosomea Ujasusi ( Unjagu ) nchini Israeli 'wanaogopeka' sana kuliko waliosomea nchi zingine?

    Kama kawaida najua hapa JamiiForums kuna Watu Wajuvi ( Pundits ) kabisa wa Mambo haya na mbalimbali hivyo hamtoshindwa 'Kunielimisha' Mimi Ngumbaru ( Layman ) niliyetukuka. Sina uhakika sana ila nimewahi kuona mahala ( katika Bandiko ) kuwa Majasusi ( Manjagu ) wa nchi ya Rwanda 'wanaogopeka'...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Kama ni gari ya chini kwa Mzee Mwinyi, kwanini isiwe IST au Fun Cargo za bei rahisi?

    Kulingana na hali halisi ya nchi yetu ya umasikini ningeshauri kuliko kumpa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi Benzi ya milioni 300 ambayo nasikia hata hivyo ameikataa bora tungempa zawadi ya gari aina ya IST au Fun cargo ambazo ni za chini zaidi kwa urefu na bei ni nafuu. Ni ushauri wangu tu...
  3. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Ni vyema Katiba Mpya ikaelekeza kuwa Rais anapofariki akiwa madarakani Bunge livunjwe na tuingie kwenye uchaguzi huku nchi ikiwa chini ya Jeshi

    Kipengele cha katiba kinachosema Rais akifariki madarakani basi makamu wake ataapishwa kuwa Rais tunaomba kibadilishwe.. Rais akifariki uchaguzi ufanywe upya Gesi kwenda Kenya mbona Kama umepigwa. JPM angepewa hilo jengo ungesikia " nimerigawa kwa wananchi ritatumika kama hospital ya waja...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Picha ya Mwanayanga aliyeitia aibu nchi jana

    Huwezi amini kakabidhiwa wizara nyepesi kabisa ya tararira za kina diamond, mabantu harmonize na kina yanga na simba lakini inamsumbua. Huyu angepewa wizara kama ya mambo ya ndani au fedha na ulinzi ingekuwa hali nyingine. Naanza kuamini kule Karagwe ile ranchi ambayo mtu fulani alisema...
  5. Nchi Kavu

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu mmoja aliisimamisha nchi?

    Najiuliza hili swali hadi nachoka. Kwa mapinduzi yanayoendelea leo kupitia awamu ya sita iliwezekanaje? Ni utii wa aina gani watu hujengewa? Au ni uoga wa aina gani watu hupandikizwa? Au ni heshima? Leo hii Rais aliye madarakani anasema ni mpumbavu pekee asiye ns akili kufikiria uhusiano na nchi...
  6. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania na Kenya tukiendelea kutekenyana Uganda wao mbioni ku launch kinu cha nyuklia na kuwa nchi ya pili Afrika

    Habari wadau.! Wakati Tz na Kenya wao mambo yao yanalega lega na kupinda pinda huku mama akipambana kuyanyoosha wao waganda wapo mbioni ku launch kinu cha nyuklia kwa "mpango wa amani" ambapo nuklia hiyo itazalisha takribani 41,700Megawatts mpaka kufikia 2040. Uganda wameingia mkataba na...
  7. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Serikali zinaonyesha 6% tu ya Watanzania ndio wanaolipa kodi

    Takwimu za serikali zinaonyesha Watanzania sasa wako ama wanakafiriwa kuwa Milioni 60. Kwenye takwimu hizo, wazee ni Milioni 2 na ushee ila hawajafika Milioni 3. Wazee wa kuanzia umri wa miaka 61. Maximum ni Milioni 3. Kwenye hizo takwimu ina maana nguvu kazi ni watu Milioni 57, yaani ambao...
  8. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Rais Samia kuziangalia bidhaa zilizopanda bei kutokana na matamko ya kisiasa na kuumiza wananchi wa hali ya nchi

    Nakumbuka mwaka 2016 bei ya sukari ilikuwa shilingi 1,800 kwa kilo. Bei ya mfuko wa cement ilikuwa 11,000 hadi 12,000. Bei ya mafuta ya kula nayo ilikuwa chini sana lakini baada ya kuwekwa zuio la kutoingiza hizo bidhaa bei ilipanda kwa zaidi ya 60% na imekataa kushuka licha ya kutangaziwa kuwa...
  9. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania CCM mpya mwacheni Rais Samia afanye yake, huyu ni Rais wa nchi sio wa CCM. Mlivyolivuruga Taifa inatosha, ni muda wa nchi kufufuka

    Wanajamvi Salaam, Tangu mama Samia apokee Kijiti cha kuwa Rais wa JMT. Binafsi sijawahi kuandika chochote humu ama kumpongeza ama kumkosoa Ila kwa yanayoendelea sasa,Sisi Wazalendo halisia kamwe hatuwezi kukaa kimya tena Lazima tuwajibu hawa waliojiita eti Wazalendo kwa kutafuna nchi. Leo...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wanaoitwa Wazee wa Dar es Salaam ambao kila Rais wa Tanzania anatamani kukutana nao ni akina nani?

    Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao. Natanguliza shukrani.
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Nchi ni lazima iwe na maono ya kimaendeleo kwa miaka mingi. Tunafanya mambo kwa kukimbia kimbia tu

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amesema kwa sasa Tanzania haina maono ya muda mrefu kwa ajili ya Maendeleo ya Wananchi bali kuna Ilani za Vyama na mipango ya muda mfupi. Amefafanua kuwepo kwa maono ya muda mrefu kutasaidia hata kumpima Rais anapoingia Madarakani kwa namna...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nchi hii ilichezewa sana, au nchi hii itachezewa sana?

    Hayo maneno manee ya kwanza katika kichwa cha mada hii sio mageni kwetu, na wala sitopenda kuyaandikia kwa kirefu juu yake. Haya manne niliyoongeza mimi, hata kama yanafanana na yale ya mwanzo, yanatofauti yake. Kama ni kweli hii nchi "ilichezewa sana"; tulipoyasikia hayo maneno tulielewa...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Huku Mtu akishakuwa Polisi anaona kuweka Watu ndani ni raha. Watu wanarundikwa tu mahabusu

    Spika wa Bunge la Tanzania amesema Polisi wanakamata Watu hovyo wengine wenye heshima zao na wanajulikana wanakoishi lakini wanarundikwa tu Rumande bila ulazima wowote. Ndugai amesema "inatakiwa tujifunze kwa Nchi za wengine ambapo Mtu huwa anaitwa kituoni na kufanyiwa mahojiano kisha...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania BAWACHA kuongea na waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi

    Hii ndio taarifa yao mpya waliyoisambaza kwa vyombo vyote vya habari duniani Wote Mnakaribishwa . Tunasisitiza kwa wale wote watakaohudhuria kufuata mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya corona
  15. Mhere Mwita

    JamiiForums Tanzania Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge. Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
  16. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania Singida ilistahili kuwa makao makuu ya nchi na sio Dodoma

    Kama kweli kigezo ni mkoa kuwa katikati ya nchi, basi singida ndio katikati na imeunganisha mikoa mingine mingi sana! Singida ilistahili kuwa makao makuu ya nchi hii na si vinginevyo Tazama ramani ujionee tunavyoina singida kupitia kona zote za nchi
  17. M

    JamiiForums Tanzania Siyo sahihi viongozi wote wakuu wa nchi kuwa mahali pamoja kwa wakati mmoja, ni hatari kwa Taifa

    Nimekua nafuatilia matukio mbalimbali siku hizi, mara nyingi unakuta viongozi wote wakuu wa nchi wakiwa pamoja wamelundikana pamoja kwenye tukio moja. Hii kitu haina afya kwa usalama wa nchi kwa sababu ikitokea dharura, nchi inaweza kuparalyse kwa sababu Line of Succession nzima inaweza...
  18. T

    JamiiForums Tanzania CCM kimefungua kurasa mpya ya mabadiliko makubwa ndani ya nchi yetu

    Mkutano mkubwa wa kihistoria wa CCM ukiwa umekwisha na kushuhudia mabadiliko makubwa ya uongozi ndani ya chama, ni jukumu letu wanaCCM kushirikiana na uongozi mpya kwa ajili ya nchi na Chama chetu. Napenda kuwapongeza viongozi wateule na wakuchaguliwa na kuahidi kushirikiana nanyi katika uongozi...
  19. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Foleni ya Tabata - Tazara imeanza kuwa tishio kwa uchumi wa nchi, nini kifanyike?

    Napendekeza wajenge flyover juu ya Tazara flyover ili zinazotokea Buguruni kwenda bandarini nazo zipite juu. Nakaribisha maoni
  20. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ni siri gani za nchi ambazo viongozi wanaapa kwamba hawatatoa?

    Natamani kujua ikiwa hii nchi ni yetu sote iweje kukawa na mambo ambayo yatabaki kua Siri za watu wachache tu? Je huu hauwezi kutumika kama mwanya wa kufichiana maovu?Na ikitokea mtu akatoa hizo siri nini hukumu yake? Na ningependa kufahamu mifano ya hizo Siri!
Back
Top Bottom