nchi

  1. JamiiForums Tanzania Kwa maneno ya Lissu, basi chadema haina political figure yoyote nchi nzima

  2. T

    JamiiForums Tanzania Safari moja nje ya nchi imenigharimu zaidi ya laki nne(400,000) kwenye vipimo vya Corona tu

    Nilikuwa na safari moja nje ya nchi. Kabla ya kuanza safari, nilitakiwa kupima Corona hapa Tanzania ambayo ni dola 100 (231,000), nilivyofika kwenye ile nchi (West Africa). Sheria ya ile nchi ilinilazimu nifanye self isolation kwa siku 7, then nikaenda kupima ile rapid test (ilikuwa Bure)...
  3. JamiiForums Tanzania Ole Sabaya kaa kimya uchunguzwe, acha kuchonganisha mamlaka za nchi. Utaingia matatizoni

    Wakuu amani iwe juu yenu, Hili naomba niliseme wazi na Sabaya mwenyewe najua yupo humu asome na asikie ujumbe impate. Kama hataki aache lakini matokeo atayapata muda sio mrefu. Hii ni tahadhari kwake kama ana masikio asikie, kama ana ubongo aelewe. Kuna kundi la vijana wa CCM ambalo hata mimi...
  4. JamiiForums Tanzania Ni nchi gani yenye mipango miji mibovu zaidi ya Tanzania?

    Nilikua napita pita kwenye Google Earth nimegundua miji mingi Tanzania imekaa hovyo hovyo sana. Kuna nchi ziko jangwani kabisa lakini wamejenga kwa mpango mzuri. Hata DRC ambayo kuna migogoro kila mara bado kumepangwa vizuri. Tanzania badala ya kujenga miji mipya wanabomoa ya zamani na kujenga...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwa tuhuma alizonazo Ole Sabaya, anaweza akakimbia nchi, awekwe chini ya ulinzi

    Kuna tuhuma ambazo zinamkabili Sabaya, ni nyingi na za ukatili kubwa, uvujifu wa haki za watu Hai, mateso mauaji , utekaji etc etc uliokithiri. Katika hali ya kawaida, kwa level ya tuhuma hizo, za mauaji ya wazi, utekaji etc inatoa uhalali wa kumweka kizuizini asitoroke ili haki itendeke...
  6. JamiiForums Tanzania Hii nchi ilikuwa inaweza kwenda zake tu, angalia soko la Bilioni 1 na nyumba ya Milioni 350

  7. B

    JamiiForums Tanzania TANU na CCM walikuwa wanawasomesha watu wa propaganda nje ya nchi kwa ajili yakukabiliana na Nani wakati wa chama kimoja?

    Chama Cha mapinduzi pamoja na TANU enzi zetu vilikuwa vinapeleka vijana kwenda kusoma propaganda na mambo ya siasa nje ya nchi. Baadhi yao ni akina Mrema wa TLP, baada ya watu hao kurejea nchini hakukuwa na propaganda tena kwa sababu walikuwa chama kimoja. Hata tulipoingia vyama vingi bado watu...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya Ajabu sana. Tuna kiwango kikubwa sana cha ustaarabu

    Habari za wakati ndugu zangu wapendwa; Andiko langu hili ninaliandika katika hali ya furaha na huzuni kwani najua kwamba kila atakaeseoma atatoa na tafakari yake. Mimi ni Mtanzania ambaye kwa kiasi fulani huwa ninafuatilia siasa na uchumi wa nchi yetu.Kwa kipindi cha zaidi ya Miaka 30...
  9. JamiiForums Tanzania Mkuu wa nchi kutokusafiri au kusafiri mara kwa mara

    Ndani ya miaka 10 ya utawala wa awamu ya nne, ilitufanya wananchi tuamini kuwa ni jambo la lazima kwa mkuu wa nchi kuwa anasafiri mara kwa mara ndani na nje ya nchi. Lakini kwenye miaka 5 ya awamu ya tano, ikatufanya wananchi tuamini tofauti tena, kuwa kumbe sio jambo la lazima sana kwa mkuu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania kwanza: Ndoto tunayotamani kwa manufaa ya nchi yetu

    Tanzania kwanza kwa neno hilo tu! Tunapata picha ya kizalendo na kitaifa inayo ibua hisia na kuleta maswali ya kwanini na lini kuhusu mstakabari makin na misingi imara ya kisiasa, kielimu, kiuchumi na kiutamaduni kwa Tanzania. Ifikie mahali tukubali kuwa tumeshindwa kuipambania tanzania kwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Waliojenga katika maeneo ya viwanda Pugu Road na maeneo mengine ya nchi wajiandae

    Kuna clip iko kwenye mitandao ikimuonyesha Waziri wa Ardhi, Bwana Lukuvi akitaka maeno ya yaliyotengwa kwa akili ya viwanda huko barabara ya Pugu na sasa yanatumika kwa shughuli nyingine yachunguzwe na hatua zichukuliwe. Ameagiza vibali vichunguzwe na waliobadili matumizi ya viwanja hivyo kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kufungulia Nchi? Kurudi Kujivunia Umaskini?

    Inawezekana wakati mama anaenda kufungulia nchi anaweza kufungulia hizi hisia za kutukuza na kukumbushana juu ya kile kinachoitwa umaskini wetu? Tunatakiwa kutokujaribu au kuthubutu kufanya makubwa kwa sababu sisi ni masikini? Ndio mwanzo wa kuanza kuombaomba tena...maskini wa fikra...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kwanini waliosomea Ujasusi ( Unjagu ) nchini Israeli 'wanaogopeka' sana kuliko waliosomea nchi zingine?

    Kama kawaida najua hapa JamiiForums kuna Watu Wajuvi ( Pundits ) kabisa wa Mambo haya na mbalimbali hivyo hamtoshindwa 'Kunielimisha' Mimi Ngumbaru ( Layman ) niliyetukuka. Sina uhakika sana ila nimewahi kuona mahala ( katika Bandiko ) kuwa Majasusi ( Manjagu ) wa nchi ya Rwanda 'wanaogopeka'...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Kama ni gari ya chini kwa Mzee Mwinyi, kwanini isiwe IST au Fun Cargo za bei rahisi?

    Kulingana na hali halisi ya nchi yetu ya umasikini ningeshauri kuliko kumpa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi Benzi ya milioni 300 ambayo nasikia hata hivyo ameikataa bora tungempa zawadi ya gari aina ya IST au Fun cargo ambazo ni za chini zaidi kwa urefu na bei ni nafuu. Ni ushauri wangu tu...
  15. JamiiForums Tanzania Ni vyema Katiba Mpya ikaelekeza kuwa Rais anapofariki akiwa madarakani Bunge livunjwe na tuingie kwenye uchaguzi huku nchi ikiwa chini ya Jeshi

    Kipengele cha katiba kinachosema Rais akifariki madarakani basi makamu wake ataapishwa kuwa Rais tunaomba kibadilishwe.. Rais akifariki uchaguzi ufanywe upya Gesi kwenda Kenya mbona Kama umepigwa. JPM angepewa hilo jengo ungesikia " nimerigawa kwa wananchi ritatumika kama hospital ya waja...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Picha ya Mwanayanga aliyeitia aibu nchi jana

    Huwezi amini kakabidhiwa wizara nyepesi kabisa ya tararira za kina diamond, mabantu harmonize na kina yanga na simba lakini inamsumbua. Huyu angepewa wizara kama ya mambo ya ndani au fedha na ulinzi ingekuwa hali nyingine. Naanza kuamini kule Karagwe ile ranchi ambayo mtu fulani alisema...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi mtu mmoja aliisimamisha nchi?

    Najiuliza hili swali hadi nachoka. Kwa mapinduzi yanayoendelea leo kupitia awamu ya sita iliwezekanaje? Ni utii wa aina gani watu hujengewa? Au ni uoga wa aina gani watu hupandikizwa? Au ni heshima? Leo hii Rais aliye madarakani anasema ni mpumbavu pekee asiye ns akili kufikiria uhusiano na nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania na Kenya tukiendelea kutekenyana Uganda wao mbioni ku launch kinu cha nyuklia na kuwa nchi ya pili Afrika

    Habari wadau.! Wakati Tz na Kenya wao mambo yao yanalega lega na kupinda pinda huku mama akipambana kuyanyoosha wao waganda wapo mbioni ku launch kinu cha nyuklia kwa "mpango wa amani" ambapo nuklia hiyo itazalisha takribani 41,700Megawatts mpaka kufikia 2040. Uganda wameingia mkataba na...
  19. JamiiForums Tanzania Takwimu za Serikali zinaonyesha 6% tu ya Watanzania ndio wanaolipa kodi

    Takwimu za serikali zinaonyesha Watanzania sasa wako ama wanakafiriwa kuwa Milioni 60. Kwenye takwimu hizo, wazee ni Milioni 2 na ushee ila hawajafika Milioni 3. Wazee wa kuanzia umri wa miaka 61. Maximum ni Milioni 3. Kwenye hizo takwimu ina maana nguvu kazi ni watu Milioni 57, yaani ambao...
  20. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Rais Samia kuziangalia bidhaa zilizopanda bei kutokana na matamko ya kisiasa na kuumiza wananchi wa hali ya nchi

    Nakumbuka mwaka 2016 bei ya sukari ilikuwa shilingi 1,800 kwa kilo. Bei ya mfuko wa cement ilikuwa 11,000 hadi 12,000. Bei ya mafuta ya kula nayo ilikuwa chini sana lakini baada ya kuwekwa zuio la kutoingiza hizo bidhaa bei ilipanda kwa zaidi ya 60% na imekataa kushuka licha ya kutangaziwa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…