Ni kwanini waliosomea Ujasusi ( Unjagu ) nchini Israeli 'wanaogopeka' sana kuliko waliosomea nchi zingine?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,545
108,873
Kama kawaida najua hapa JamiiForums kuna Watu Wajuvi ( Pundits ) kabisa wa Mambo haya na mbalimbali hivyo hamtoshindwa 'Kunielimisha' Mimi Ngumbaru ( Layman ) niliyetukuka.

Sina uhakika sana ila nimewahi kuona mahala ( katika Bandiko ) kuwa Majasusi ( Manjagu ) wa nchi ya Rwanda 'wanaogopeka' mno Ukanda huu kwakuwa Rwanda imeingia Makubaliano 'Maalum' ya kupeleka huko Watu wake ili 'wakapikwe' na 'wakaivishwe' vyema na Wayahudi ambao inasemekana kuwa ndiyo 'Mama' wa Sekta hii duniani.
 
Kwenye sekta hii sijui kitu
 
Israel ilianza ujasusi toka miaka 4000 kabla ya Yesu[KK] hivi, pale Musa alipomtuma Caleb na wenzie kuipeleleza Canaan [ Hesabu 13 ; 1]. Leo [ 2021] MOSSAD wana miaka 6000 hivi ya uzoefu, na damu yao ina vinasaba vizuri sana kwenye upelelezi. Hao FBI, Scotland Yard, KBF, na wengine, wanaheshimu na kufuata hatua zao ili wawe bora zaidi.
 
Israel ilianza ujasusi toka miaka 4000 kabla ya Yesu[KK] hivi, pale Musa alipomtuma Caleb na wenzie kuipeleleza Canaan. Leo [ 2021] wana miaka 6000 hivi ya uzoefu, na damu yao ina vinasaba vizuri sana kwenye upelelezi. Hao FBI, Scotland Yard, KBF, na wengine, wanaheshimu na kufuata hatua zao ili wawe bora zaidi.
Shikamoo sana na mno tu Mkuu wangu.
 
Kama kawaida najua hapa JamiiForums kuna Watu Wajuvi ( Pundits ) kabisa wa Mambo haya na mbalimbali hivyo hamtoshindwa 'Kunielimisha' Mimi Ngumbaru ( Layman ) niliyetukuka.

Sina uhakika sana ila nimewahi kuona mahala ( katika Bandiko ) kuwa Majasusi ( Manjagu ) wa nchi ya Rwanda 'wanaogopeka' mno Ukanda huu kwakuwa Rwanda imeingia Makubaliano 'Maalum' ya kupeleka huko Watu wake ili 'wakapikwe' na 'wakaivishwe' vyema na Wayahudi ambao inasemekana kuwa ndiyo 'Mama' wa Sekta hii duniani.
Labda kwa sababu MOSSAD ni shirika hatari sana la kijasusi.
 
Israel ilianza ujasusi toka miaka 4000 kabla ya Yesu[KK] hivi, pale Musa alipomtuma Caleb na wenzie kuipeleleza Canaan. Leo [ 2021] wana miaka 6000 hivi ya uzoefu, na damu yao ina vinasaba vizuri sana kwenye upelelezi. Hao FBI, Scotland Yard, KBF, na wengine, wanaheshimu na kufuata hatua zao ili wawe bora zaidi.

Nchi ya Israel imeanzishwa mwaka 1948 kwa hisani ya Uingereza.
 
Najua wapi unataka kunipeleka, lakini Mimi nakupa jibu moja tu, Kubali Myahudi katuzidi uwezo wewe na mimi katika Historia na maarifa. Karibu ugali ndugu, kama umefunga nisamee na funga njema.

Mkuu. mi nimetaja tu mwaka ambao Taifa la Israel limeanzisha, ni 1948.

Au nimesema uongo ndugu yangu?

Au Taifa la Israel halijaanzishwa mwaka 1948 kwa msaada wa Beberu Uingereza..?!
 
Tanzania [Tanganyika then], ilipata uhuru 1961, lakini haimaanishi ya kwamba haikuwai kuwepo huko nyuma[ Kumbuka Chifu Mangungo wa Msovero morogoro alivyoiuza nchi kwa Carl Peters wa Ujerumani miaka ya 1884]. China ilipata Uhuru 1944, toka kwa Wajapani lakini China ilikuwepo toka miaka mingi nyuma.

Hivyo hivyo kwa Israel, Miaka 4000 BC walikuwa {Israel}Canaan, alafu wakaenda Misri, then wakarudi { Israel} Canaan, alafu Wakachukuliwa na kutawaliwa na Babuloni na Waamedi[ Iraq, kuwait na Iran], Alafu wakarudi Israel {Canaan}, Alafu wakatawaliwa na kuchukuliwa na Warumi hadi Ulaya ya leo.

Hao Waingereza mwaka 1948 walipiga muhuri tu Zion {Sayuni} arudi pale Israel. Kama Waingereza wasingefanya hivyo basi, Mungu mwenyewe angewarudisha hata kwa unyakuo. USICHEZE NA BARAKA ZA MUNGU NDUGU YANGU.
 
Kwa sababu waliweza ,walimuua Yesu bila kosa;) halafu pia Israel ndio ina satelaiti maalumu kwa ajili ya intellejensia tu
 
Kutunza Siri za ukweli wa Dunia na Dunia ikaamini hilo tu ndio ambalo wengine wanalifuata huko.
Taifa hilo kunasibishwa kama Taifa teule kuna vitu vingi vilivyojificha na ili ugundue sharti uwe karibu nao.
 
Idiocentric
Tanzania [Tanganyika then], ilipata uhuru 1961, lakini haimaanishi ya kwamba haikuwai kuwepo huko nyuma[ Kumbuka Chifu Mangungo wa Msovero morogoro alivyoiuza nchi kwa Carl Peters wa Ujerumani miaka ya 1884]. China ilipata Uhuru 1944, toka kwa Wajapani lakini China ilikuwepo toka miaka mingi nyuma. Hivyo hivyo kwa Israel, Miaka 4000 BC walikuwa {Israel}Canaan, alafu wakaenda Misri, then wakarudi { Israel} Canaan, alafu Wakachukuliwa na kutawaliwa na Babuloni na Waamedi[ Iraq, kuwait na Iran], Alafu wakarudi Israel {Canaan}, Alafu wakatawaliwa na kuchukuliwa na Warumi hadi Ulaya ya leo. Hao Waingereza mwaka 1948 walipiga muhuri tu Zion {Sayuni} arudi pale Israel. Kama Waingereza wasingefanya hivyo basi, Mungu mwenyewe angewarudisha hata kwa unyakuo. USICHEZE NA BARAKA ZA MUNGU NDUGU YANGU.
 
"Wakaenda misri then wakarudi" kuna tatizo kidogo hapa mkuu.
 
Back
Top Bottom