nchi

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunahoji uraia wa Watanzania wenye majina ya asili ya Burundi/Rwanda na si nchi nyingine?

    Kumekuwa na tabia ya kuhoji uraia wa Watanzania wenye majina yanayofanana na ya nchi za Rwanda na Burundi, kwanini hatuhoji uraia wa watu wenye majina yanayofanana na Wajaluo wa Kenya au Wamakonde wa Msumbiji, au Wamalawi, Zambia au majina ya Kiarabu na Kizungu? Hapa napata uelewa kwanini...
  2. Bishop Hiluka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yajibu marufuku ya Uingereza kwa kuwawekea raia wa nchi hiyo masharti

    Kenya imejibu marufuku ya Uingereza kwa kuwawekea raia wa nchi hiyo watakaowasili sharti la kuwa karantini kwa siku 14. Raia wa Uingereza watakapokuwa wamejitenga, watahitajika kupimwa ikiwa wamepata maambukizi ya virusi vya corona au la mara mbili siku ya pili na ya nane wakiwa karantini kwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania, ona nchi yetu ilikokuwa imefikishwa kwa sheria kandamizi, nikosa lakini linastahili kuingizwa kwenye kutakatisha fedha? (money laudering)

    Selling charcoal and money laundering My aunt was found selling charcoal without a permit to sell or buy forest produce. At the time of her arrest she had already sold a number of bags of charcoal and had some amount of cash in her poach. She is now being charged with selling forest produce...
  4. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yatoa misaada ya teknolojia kwa nchi 5 za Afrika

    Wanaosema kwamba Kenya inaomba omba chakula na kutegemea msaada kutoka nchi za ulaya. Tazameni hapa Kenya ikitoa msaada wa teknolojia. Tunapatia nchi 5 za Africa tablets 45,000 ili kuwasaidia kufanya census yao kidijitali. Isitoshe tutawafunza jinsi ya kufanya census kidijitali. Sisi hatutoi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kabla ya kuja wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru

    Kuna wakati miaka ya nyuma Zitto Kabwe akiwa mbunge kutokea Kigoma alidai hapo zamani kabla ya ujio wa Wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru. Sijajua ukweli wa jambo hili ila ninachokumbuka kabla ya ukolomi wachagga walikuwa na Rais wao ila sijui kama Moshi ilikuwa ni nchi...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Urusi: Twitter yapigwa faini kwa kuweka maudhui yasiyoendana na Maadili ya Nchi hiyo

    Mahakama ya mji mkuu wa Moscow nchini Urusi, imeitoza Twitter faini ya fedha ruble milioni 3.2 kwa ukiukaji wa kiutawala. Kesi iliyowasilishwa na Idara ya Teknolojia ya Habari ya Serikali ya Urusi na Mamlaka ya Usimamizi wa Mawasiliano ya Umma (Roskomnadzor) dhidi ya Twitter ilisikilizwa katika...
  7. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Zijue kampuni za Kimataifa za kutengeneza simu za mkononi na NCHI zinazozimiliki

    Zijue kampuni za simu na NCHI zinazozimiliki. 1. Samsung-Korea Kusini 2. Tecno-China 3. Huawei-China 4. Lenovo-Hongkong 5. Nokia-Finland 6. Blackberry-Canada Tupieni nyingine
  8. Woga tupa kulee

    JamiiForums Tanzania Hakika Mungu yupo na Watanzania. Ogopa Sana nchi ambayo watu wake si wepesi wa kuingia mtaani

    Tanzania ni nchi ambayo tumependelewa na Mungu. Nchi ambayo wananchi wake ni wapole na taasisi zake ikiwemo idara ya ujasusi na vyombo vya usalama ni imara mno na ambavyo haviwezi kuruhusu mtu yeyote wa mamlaka na cheo chochote achezee hatma njema ya nchi yetu. Ukifanya hivyo, wananchi wa...
  9. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango leo kaongea kama mkuu wa Nchi

    Nimejiuliza sana, Akiongea mbele ya hadhira ya mashahidi wa kiapo pale Ikulu Chamwino makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania daktari Isdory Mpango pamoja na kutoa maagizo mbalimbali kwa wateule na watendaji wa Serikali lakini ni dhahiri ameongea kama yeye ndiye mkuu wa Nchi. 'Nataka kufika...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla amchambua Dkt. Bashiru, adai aliandaliwa kuwa Rais 2025

    Mwana JF nguli, Akihojiwa Radio DW Pascal Mayala, amemchambua Dr Bashiru. Amesema Dr Bashiru kapata ajali kubwa sana kisiasa na hatoinuka tena. Pia kadai Magufuli amiini usiamini alikuwa akimwandaa Dr Bashiru kuwa Rais 2025. Mayala amedai Dr Bashiru aliyeibukia kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya...
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Wafanyabiashara wa nchi hii kila siku wanalalamika, mnahitaji kengele gani igongwe?

    Leo spika Job Ndugai amewaapisha wabunge walioteuliwa jana na Rais Samia Suluhu na kuahirisha Bunge kwa ajili ya hafla ya kuwaapisha mawaziri jioni ya leo. Pamoja na mambo mengine, Spika Ndugai amewaambia mawaziri na mawaziri watarajiwa kwamba Bungeni ndio nyumbani na uwaziri ni matembezi...
  12. captain 21

    JamiiForums Tanzania Tutegemee kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi yetu ikikua zaidi na kuongoza ndani ya nchi za Afrika Mashariki

    Kama ukichunguza vizuri utagundua katika serikali iliyopita ya Dkt. JPM katika miaka yote ya uongozi wake kwa wastani kasi ukuaji wa uchumi ilikua ni zaidi ya asilimia 6.8 hadi 7. Na ni dhahiri kuwa ndani ya Afrika Mashariki kuna nchi moja tu ambayo ndiyo ilikua ikitupa Changamoto ambayo ni...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya chama

    Hii ndio taarifa mpya kwa wakati huu inayozunguka dunia nzima , kwamba Chadema yenye Makao Makuu yake Kinondoni , Nje ya Jiji la Dar es Salaam itakuwa na Mkutano na waandishi wa Habari Tarehe 1/4/2021 kwenye ofisi za Makao Makuu yake . Waandishi wote mnakaribishwa lakini mnakumbushwa kuzingatia...
  14. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya maajabu, 70% na zaidi inategemea kilimo na haina kiwanda cha mbolea,mbegu wala kutengeneza trekta

    Leo naandika ni mwezi wa 3 mwaka 2021 Nchi ya Tanzania haina kiwanda cha; ~Mbolea ~Mbegu ~Utengenezaji matrekta. Tunategemea kilimo kwa kiwango chote katika uzalishaji na fursa za kiuchumi. Hatuna chuo kikuu cha Tafiti za Mbegu na magonjwa ya mazao. Nchi imejaa UZEMBE SANA. 80% ya zao...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Wabunge wa upande wa pili (CHADEMA, ACT na CUF) ni vema mkajiunga CCM ili kwa pamoja tujenge nchi

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania. Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nchi 14 zatilia shaka ripoti ya ‘WHO’ kuhusu asili ya COVID-19

    Japan nchi za Umoja wa Ulaya na Marekani zimesema wanasayansi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) walichelewa kufuatilia asili ya Virusi vya Corona. Aidha wamesema hawakupewa ushirikiano wa kutosha na China kwa kuwa walinyimwa uwezo wa kupata taarifa sahihi za ugonjwa huo. Hivyo wanaona ni vyema...
  17. S

    JamiiForums Tanzania CCM wameshaivuruga nchi - TAHADHARI

    Kwa kweli namna katiba inavyovurugwa ni wazi kabisa Chama cha Mapinduzi kimeshaivuruga nchi na sasa, na sasa kila mmoja anaongoza kivyakevyake, msemo wa Kiswahili maarufu ule usemao mwenye nguvu mpishe, ndio tunaokwenda nao sio tena kufuata ule msemo wa Uongozi ni dhamana. Mnavuruga Katiba ya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa CCM ni ishara kwamba nchi imeibiwa tena mikononi mwao

    Hizi siku tatu nimeshtuka kwamba tulikuwa tunaibiwa na watu wale wale tulioaminishwa niwazalendo. Chama Cha mapinduzi lini mtatuondolea wezi Hawa kwenye mfumo? Nadhani ccm imekomaa na usajili wao umejikiti kwa wwnamtando zaidi ya uadilifu kuliko kurecrutit watu wenye uchungu na nchi. Uchaguzi...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Bila Shaka CCM inahitaji utulivu ili nchi itulie

    Ni wazi wapinzani wa CCM watatumia fursa zote halali na haramu ili kuimaliza CCM ikiwa madarakani na ni haki yao kufanya hivyo. CCM ilipoteza mvuto kipindi flani hadi kufanya zoezi la kuvua gamba japo gamba liliishia kiunoni. Mwaka 2015 CCM ilipitia changamoto nzito sana baada ya mgawanyiko...
  20. 100 others

    JamiiForums Tanzania Afrika ingekuwa nchi, imagine wazo la mzee wetu Kwame Nkrumah lingefanikiwa, leo hii uchumi wa dunia tungekuwa tumeushikilia sisi

    Imagine Africa ingekuwa nchi, imagine wazo la mzee wetu Kwame Nkrumah lingefanikiwa, leo hii uchumi wa dunia tungekuwa tumeushikilia sisi, tungekuwa tishio kuliko China ilivyo kwa USA. Uwezo wetu kijeshi, sayansi,elimu na teknolojia ungekuwa tishio. Itazame USA kama nchi 50 ambazo hazina...
Back
Top Bottom