nchi

  1. Saint Ivuga

    Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

    Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi. Hii kauli imemaliza...
  2. Chagu wa Malunde

    Miaka 44 ya CCM inayoongoza nchi huku kikiwa kimekufa

    Jana chama cha mapinduzi kiliadhimisha miaka 44 tangu kianzishwe. Ni umri wa mtu mzima ambae anaenda kuzeeka. Lakini CCM hii iliyoanzishwa wakati Mwl. Julius Nyerere akiwa mkuu wa nchi imebadilika. Maana sio ile ambayo watanzania tulizoea kuiona ikitetea, haki sawa kwa watanzania, kupinga...
  3. S

    Ni vikwazo gani Tanzania na baadhi ya nchi nyingine za Afrika zitawekewa baada kukataa chanjo ya Covid -19?

    Shirika la Afya duniani (WHO) limetangaza mpango wa muda kuhusu jinsi nchi zitakavyopewa chanjo za corona mwaka huu, huku Tanzania na Burundi zikiwa hazimo. WHO limasema kuwa chanjo hizo ambazo ni dozi milioni 336 za AstraZeneca/Oxford na Pfizer-BioNTech, zitatolewa kwa muhula wa kwanza na wa...
  4. BAK

    Askofu Mwamakula: Serikali iache kuendesha nchi kwa misingi ya ubaguzi

    Mheshimiwa Jaffo, wakati ule Halmashauri nyingi zikiwemo zile zenye nguvu ya kiuchumi zilipokuwa zikishikiliwa na kuongozwa na UPINZANI, Serikali yenu iliamua kuzinyang'anya ukusanyaji wa mapato. Kwa sababu hali ile haikuwa ya kawaida, wengi tulijua kuwa mlifanya vile ili kuwakomoa viongozi wa...
  5. Kipenzi Changu

    Balozi wa Tanzania aliyechanjwa Corona Israel arejeshwe nyumbani mara moja

    Amekiuka msimamo wa nchi anaweza kutuletea corona ya ajabu-ajabu. Kazi ipo mwaka huu.
  6. J

    Kama kweli Corona imerudi tutaisikia bungeni kwenye mkusanyiko wa nchi nzima!

    Nakumbuka ile Corona ya awamu ya kwanza ni mbunge Mtulia ndiye aliyetupa uhakika kuwa ipo na tukaambiwa ametoka nayo jimboni kwake Kinondoni. Ukifanya sampling bunge ndio chombo pekee kinachobeba watu kutoka pande zote za nchi hii bara na visiwani. Lakini wabunge ndio watu pekee ambao hukaa...
  7. Behaviourist

    Hii nchi imepata viongozi walahi!!

    🤣🤣🤣
  8. S

    Hivi Magufuli angekuwa ni Rais wa mojawapo ya Nchi Wahisani, angetoa misaada kwa nchi zinazoendelea?

    Ukweli ni kwamba, nchi zetu hizi zinazoendelea, hasa hizi za Afrika, hazipigi hatua kubwa kimaendeleo na kuondokana na umasikini kutokana na mambo kama rushwa, ubinafsi wa viongozi, kukosekana kwa utawala bora, demokrasia,katiba mbovu,vipaumbele vibovu, n.k. huku chanzo kikuu kikiwa ni nchi...
  9. Tony254

    Angalia Jinsi hapa Afrika Mashariki Tanzania ndio imebarikiwa kupata mvua nyingi kushinda Kenya, Uganda

    Yaani wamebarikiwa sana na mwenyezi Mungu. Ukiangalia predicted rainfall patterns ya East Africa utagundua kwamba Tanzania ndio nchi pekee inayopokea mvua katika kila corner ya Tanzania. Nchi zingine hazipokei mvua katika kila kona. Lakini 100% ya Tanzania inapokea mvua. Sasa ni kwa nini...
  10. J

    Waziri Kalemani: Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika!

    Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika. Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo. Ukaguzi huo umefanyika mjini...
  11. GREAT VISIONAIRE

    Kenya yaingia katika recession; GDP yapungua, watu milioni 3 wakosa ajira

    Madhara ya covid 19 yameishambulia kenya na kuwa nchi ya kwanza kwa sub saharan africa kuingia katika recession tokea miaka 30 iliyopita. Miezi mitatu ya mwisho october mpaka december 2020, GDP ya Kenya ilishuka kwa 5.5% na uzalishaji katika sekta za usafirishaji, viwanda, biashara vilishuka...
  12. Q

    WHO kutoa ‘Kadi ya Chanjo ya Corona’ itakayokuruhusu kuingia nchi nyingine

    Shirika la Afya Duniani WHO linajiandaa kutoa cheti au kadi ya chanjo ya Corona (Covid-19 vaccination certificate) itakayotumika dunia nzima, na huwezi kusafiri au kupata VISA kama hautakuwa umechanjwa. Kwa sasa chanjo inayotakiwa ili usafiri au ukienda kuomba VISA ni chanjo ya homa ya manjano...
  13. S

    Mwambieni Rais Magufuli apunguze sauti. Nchi hii bila wazungu ni tajiri kwa kipi?

    Vitu vingi ambavyo Magufuli anaviona kama ni utajiri wa nchi hii vinamtegemea mzungu. Wazungu wakiacha kununua Tanzanite itageuka kuwa kete za kuchezea bao. Vivyo hivyo kwenye dhahabu, almasi, chuma, bati, n.k . Madini kama uranium hatuyawezi kabisa hata kuyatumia, achilia mbali kuyachimba...
  14. I

    Wanaomaliza vyuo vikuu kipindi hiki cha awamu ya tano mpaka nawaonea huruma. Ajira zote zimezimwa kana kwamba nchi imesimama

    Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe. Elimu sasa hivi haina value tena Kama kipindi cha JK ambapo kuna vipaumbele...
  15. F

    Wanasheria wa nchi hii mko wapi? Simameni muwaambie akina Mwigulu Nchemba ukweli kuhusu haki katika sheria zetu

    Law is an art, na sisi kama Taifa katika Sheria tumerithi doctrines mbalimbali kutoka common law na hivyo suala la kujua Kiingereza (English) haliepukiki! Tanzania tunajenga utamaduni wa ajabu sana kwamba kama mtu fulani au kikundi fulani hakijui jambo fulani badala ya kuwekeza katika kujifunza...
  16. Sijali

    Yaelekea kuna mkanganyiko wa ufahamu baina ya wale wanaosema Tanzania ni nchi maskini na wale wanaosema ni nchi tajiri

    Yaelekea kuna mkanganyiko wa ufahamu baina ya wale wanaosema Tanzania ni nchi maskini na wale wanaosema ni nchi tajiri. Wote hawakukosea. Makosa yapo katika kinachokusudiwa. Miaka yote ya uongozi wa Mwalimu Nyerere alikuwa akisema Tanzania ni nchi maskini. Wakati mwingine alisema bara zima la...
  17. tang'ana

    Kwanini ukiwa nchi za wazungu husikii njaa hovyo kama ukiwa bongo?

    Hello jf.. Nimebahatika kutembea nje ya bara la africa sehemu kama Sydney,London,Denver,New york,Istanbul,Melbourne na Madrid. Nimegundua ukiwa huko hata husikii njaa hovyo tofauti na bongo ukiamka tu asubuhi unaamka na ubao wa kufa mtu. Kwa nin iko hivyo?
  18. U

    Rais wa Ethiopia kutembelea Tanzania kwa ziara ya siku moja

    Rais huyo wa nchi ya Ethiopia Mheshimiwa Sahle Work Zewde atawasili nchini kesho Januari 25, 2021 kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku moja Taarifa kwa mujibu wa Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi
  19. The Assassin

    Tanzania bado nchi masikini sana, 90% ya magari yanayotimika Tanzania yana umri zaidi ya miaka 10

    Nashukuru mwaka jana baada ya uchaguzi waziri Mpango alikiri kua umasikini Tanzania ndio nyumbani kwao. Ukitaka kujua kama raia wa Tqnzania ni mafukara angalia, magari zaidi ya 90% yanayotembea Tanzania ukiachia magari ya serikali yana umri zaidi ya miaka 10. Maana yake ni kua watanzania bado...
  20. Red Giant

    Nchi inaweza kuwa ya viwanda bila kuwa na chuma?

    Baada ya vita ya Korea, Korea kaskazini ikaanza kuhangaika kujenga uchumi wake. Ikagundua kuwa ili iwe na uchumi imara inahitaji viwanda. Ikagundua pia, kuwa viwanda haviwezekani bila kuwa na chuma. Ikasema ngoja iende Japan ikanunue kinu cha kufulia chuma. Marekani aliposikia habari hiyo...
Back
Top Bottom