Tundu Lissu kama Mtanzania mwenzetu alikuwa na haki zote kuhoji alipo Rais wa JMT. Maana ibara ya 18 (b) imebainisha wazi kuwa mtanzania yoyote anayo haki ya kikatiba, kutafuta habari, kupokea habari na kushirikiana na watanzania wenzake kupata habari kwa manufaa ya taifa letu.
Tundu Lissu ni...
Katika hali inayoashiria kuwa ni 'dongo' kwa nchi zinazopuuzia kujilinda na Corona, Rais Kenyatta amesema kama taifa waliamua kunusuru uhai wa raia badala ya uchumi kwa sababu unaweza kufufua uchumi lakini huwezi kufufua mtu aliyekufa. Ndiyo sababu walichukua hatua hizo tangu mwanzo kupambana na...
Taifa linalokuwa na tasnia ya habari iliyojaa uoga ni taifa mfu. Maana ni taifa ambalo haliwezi kupata taswira au picha kamili ya jinsi hilo taifa lilivyo.
Nini kinawapa wanahabari kupata kigugumizi juu ya kuhoji juu ya taharuki, sekeseke na hofu iliyotanda hapa nchini?
Ni makosa kuandika na...
Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki.
Mfano People Daily online hasa la leo.
Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
Jumla ya nchi saba tayari zimesitisha utoaji wa chanjo💉 ya Astrazeneca:
✓ Denmark
✓ Iceland
✓ Austria
✓ Estonia
✓ Lithuania
✓ Luxembourg
✓ Latvia
Sababu ya kusimamishwa kwa shughuli hii ni kesi nyingi za watu kurudi hospitali na kugundulika damu yao inaganda, hali ambayo imezua hofu.
Je...
Wakati nchi nyingi za bara la afrika zimekuwa zikitia aibu na marais ambao wakichaguliwa aidha wanakaa nunusu kwa nusu Ulaya na nyumbani au kuamia kabisa Ulaya, Marekani au hata Falme za kiarabu na kuwa na miji huku na kuona hayo ni maisha ya kiongozi. Hii imekuwa aibu na fedhea sana kwa bara...
MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema kuwa kutokana na umahiri wa maabara zilizopo kwenye Mamlaka hiyo zimeweza kutoa huduma ya upimaji wa sampuli mbalimbali kutoka Katika nchi tofauti za Afrika.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa TMDA ,Adam Fimbo katika mkutano maalum na waandishi wa...
Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Athuman Diwani (Kushoto) akiwa amesimama na Rais John Magufuli (Kulia)
Usuli
Tarehe 03 Machi 2021, akiwa anatekeleza majukumu yake kama Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki la Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima, aliitisha mkutano wa maripota kutoka...
Habari zenu wajumbe....
Kwa muda mrefu kidogo nimekua nikijiuliza hili swali.
Ni kwanini kuna mkanganyiko katika ugawaji wa masafa ya vituo vya redio ?
Nitaeleza kwa mifano ili hoja yangu ieleweke vema kwa namna hali ilivyo sasa hivi.
Kituo chetu cha redio (cha mfano) tutakiita ''Tikiti maji...
Inashangaza sana kuona watu wanailaumu nchi ya Kenya kuzuia mahindi toka Tanzania kuingizwa nchini humo.
Watu wengi wanailaumu Kenya kana kwamba haina mamlaka ya kulinda raia wake na mipaka yake.
Kama mahindi ya Tanzania au nchi nyingine yamepimwa mamlaka husika za Kenya na kuonekana yana sumu...
Kuhusu mahindi yetu kuwa Yana sumu au hayana sumu, mamlaka husika zihakiki ubora huo kwenye viwanda maalum vya kusaga mahindi yetu vitakavyo kuwa vimeidhinishwa angalau kila mkoa. Vilevile madawa yenye sumu yadhibitiwe yasiweze kumfikia mkulima ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa wakulima wetu...
Mamlaka nchini Senegal imetoa agizo kwa mashirika yanayotoa huduma ya mtandao kuzima intaneti nchi nzima, wakati maandamano dhidi ya kuzuiliwa kwa kiongozi wa upinzani yanazidi kuongezeka, shirika la kuangalia mtandao NetBlocks limeripoti leo Ijumaa.
Kulingana na NetBlocks, huduma ya intaneti...
Hapo vip!
Hili tatizo laumeme tunaomba wahusika waliangalie kwa jicho la kiuchumi.
Uchumi wa watanzania wengi unategemea umeme, sasa kama umeme unakatwa kirahisi rahisi tu. Tafsiri yake nikwamba serikali na Tenesco mmekuwa chanzo cha umaskini kwa Watanzania.
Tunaomba serikali iwe sereous na...
Naam sasa nchi zimeamuka, nchi mbali mbali duniani zinapeleka oda zao kupata chanjo ya CORONA. teyari jirani zetu Kenya chanjo hiyo imetua nchini mwao kwa GULF air majuzi.
Nchi zingine zimeenda mbali zaidi hazitoruhusu wageni kuingia nchini mwao pasi na kupata chanjo hiyo ya Corona
Pia shirika...
Waungwana habari ya leo fuatana nami kwenye simulizi yangu hii ambapo niliwahi kwenda kwa waganga wa kienyeji sehemu mbalimbali nchini na nje ya nchi baada ya kukutana na changamoto mbalimbali za kimaisha.
Kiukweli ni vigumu kumjua yupi ni mganga wa kweli na yupi ni mganga feki ni kama vile...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema kununua ndege siyo kipaumbele sahihi kwa maendeleo ya nchi yetu ukilinganisha na Elimu, Afya na Miundombinu.
Mbowe amesema uwekezaji kwenye ATCL unahitaji mtaji mkubwa, utaalamu uliotukuka kwa watu wetu na mbinu za kisasa kuhimili ushindani wa soko...
Wapendwa salaam!
Kama kuna kitu kinanisikitisha katika nchi hii ni vyama vya upinzani kulala usingizi wa wa pono. Tulidhani kua wao ndio mbadala wa pili wa serikali lakini wamekaa kimya huku mambo mengi yakienda ndivyo sivyo.
Kwahiyo baada ya kuporwa vitu vingi kwenye uchaguzi ndio kifo chako...
Nimegundua mwaka ni mdogo sana katika maisha,
Kama yalivyo mafupi maisha yenyewe. Hatahivyo vinaunogosha na kuukimbiza mwaka ni pamoja na MATUKIO (mnapigwa matukio, mnapigwa matukio, mkija kujistukia mwaka huo umeisha unakuja mwingine)
Ingawa mengine yanatokea tu kwa matakwa ya 'muweza' yapo...
Katika nchi jirani kuna social media kama JF ambapo tunaweza kujiandikisha kama tunavyofanya hapa JF? Itapendeza kuona wenzetu wanasema nini kuhusu sisi, sisi kuwajua wao wanasemaje kuhusu kwao etc etc.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.