Hivi UN inashindwa nini kuitambua Palestina kama nchi huru?

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,982
4,457
Nimekaa nikawaza sana ila sijapata jibu mpka sasa. Israel inatambulika kimataifa,kwanini Palestina haitambuliki kimataifa?

Mpaka sasa bado sijaona faida ya UN mpaka sasa,hakuna mgogoro UN imeweza kuuthibiti kama mlezi wa dunia, kwanini isitambue Palestina kama nchi huru, iwe na jeshi lake, polisi wake, wanunue silaha zao kama Israel?

Kwanini Israel iko huru kufanya watakavyo kuliko Palestina tofauti na makubaliano ya 1947?
 
UN ni kwa ajili ya kuwadhibiti nyie wanyonge.

Kwa wenye mabavu UN ni uchafu tu.
 
UN nao ni sehemu ya mgogoro huu na ndiyo maana hawawezi kuwa na msaada chanya.
 
UN ndio Marekani haohao na Marekani na Israel ni kitu kimoja, sasa hapo unategemea Parestine itapata msaada wowote kutoka kwa UN?
 
Umewahi kuona nchi yoyote duniani UN wameingilia na nchi Ikawa na amani?
Kila walipo ni mgogoro tu na huko mashariki ya kati wao ndio wanawasha moto
 
Basi kwanini waarabu wasiwe na organization yao na kuisaidia ili ijikwamue iliko na kujulikana?
Kwenye waarabu hao hao hawaaminiani miongoni mwao kuna mamruki, mfano Saudi Arabia na marekani ni kitu kimoja wakati nchi nyingine za kiarabu kama Iran na nyinginezo hazipatani na Mmarekani. Kwa hiyo hao mamruki wanampelekea siri Mmarekani kuhusu mipango mbalimbali ya kimikakati.
 
Umewahi kuona nchi yoyote duniani UN wameingilia na nchi Ikawa na amani?
Kila walipo ni mgogoro tu na huko mashariki ya kati wao ndio wanawasha moto
Naona dunia ilikua afadhali kuliko uwepo wa UN sababu sehemu zenye vita haijawahi kusaidia kabisa
 
Kwenye waarabu hao hao hawaaminiani miongoni mwao kuna mamruki, mfano Saudi Arabia na marekani ni kitu kimoja wakati nchi nyingine za kiarabu kama Iran na nyinginezo hazipatani na Mmarekani. Kwa hiyo hao mamruki wanampelekea siri Mmarekani kuhusu mipango mbalimbali ya kimikakati.
Hilo ndio kosa lao,hawana umoja kabisa ni kama waafrika tu
 
Nimekaa nikawaza sana ila sijapata jibu mpka sasa. Israel inatambulika kimataifa,kwanini Palestina haitambuliki kimataifa?

Mpaka sasa bado sijaona faida ya UN mpaka sasa,hakuna mgogoro UN imeweza kuuthibiti kama mlezi wa dunia, kwanini isitambue Palestina kama nchi huru, iwe na jeshi lake, polisi wake, wanunue silaha zao kama Israel?

Kwanini Israel iko huru kufanya watakavyo kuliko Palestina tofauti na makubaliano ya 1947?
Mwezi wa futari si ulishaisha jamani?
 
Naona dunia ilikua afadhali kuliko uwepo wa UN sababu sehemu zenye vita haijawahi kusaidia kabisa
Hivi huwa mnaandika mkiwa Bar mnakunywa au ndio kujitoa tu ufahamu makusudi? UN haijawahi saidia sehemu zenye vita???? Mnasikitisha sana labda mmezaliwa mwezi huu au yawezekana ulikiwa jail miaka yako yote so hujui vita zinamalizwa na nani zikitokea duniani
 
Back
Top Bottom