nchi

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tunaposema CHADEMA ni taa ya nchi hatutanii, hebu angalia video hii

    John John Mnyika alishaweka angalizo mapema sana kuhusu chanjo ya COVID-19, sasa angalieni kilichosemwa leo .
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliharibu sana hii nchi, Rais Samia atapata tabu kuongoza asipokuwa mkali

    Wakuu Habari Baada ya ziara ya Samia ya kwenda Kenya na kuondoa mtanziko wa kibiashara na kidiplomasia kati ya nchi hizi mbili na malori ya Tanzania kuruhusiwa kupeleka bidhaa zetu huko nilisoma maoni ya baadhi ya Watanzania ndipo nikajua Magufuli aliharibu hii nchi kiasi gani. Kwanza kitendo...
  3. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Israel ikimaliza Palestine itavamia na nchi Jirani

    Kwema wakuu. Palestine wametepeta, wameshakubali yaishe. Miaka Saba ijayo nchi yote itakuwa imekaliwa na Simba wa yuda Kuwaonea huruma Palestine ni kupoteza muda, kwani watu wanaopigana nao ni watu wasiosikia la mtu, wao atakaye jichanganya ni kipigo tuu Baada ya Israel kuidhibiti kabisa...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Serikali yasema Mahakama inashikiliwa na inalenga kudhoofisha nchi

    Zimbabwe's justice minister has accused the judiciary of overreach and said it had been "captured" by "foreign forces" in order to destabilise the county. It came after the high court ruled that President Emmerson Mnangagwa's extension of the chief justice's term by five years was illegal. In...
  5. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kwa maneno ya Lissu, basi chadema haina political figure yoyote nchi nzima

  6. T

    JamiiForums Tanzania Safari moja nje ya nchi imenigharimu zaidi ya laki nne(400,000) kwenye vipimo vya Corona tu

    Nilikuwa na safari moja nje ya nchi. Kabla ya kuanza safari, nilitakiwa kupima Corona hapa Tanzania ambayo ni dola 100 (231,000), nilivyofika kwenye ile nchi (West Africa). Sheria ya ile nchi ilinilazimu nifanye self isolation kwa siku 7, then nikaenda kupima ile rapid test (ilikuwa Bure)...
  7. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya kaa kimya uchunguzwe, acha kuchonganisha mamlaka za nchi. Utaingia matatizoni

    Wakuu amani iwe juu yenu, Hili naomba niliseme wazi na Sabaya mwenyewe najua yupo humu asome na asikie ujumbe impate. Kama hataki aache lakini matokeo atayapata muda sio mrefu. Hii ni tahadhari kwake kama ana masikio asikie, kama ana ubongo aelewe. Kuna kundi la vijana wa CCM ambalo hata mimi...
  8. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Ni nchi gani yenye mipango miji mibovu zaidi ya Tanzania?

    Nilikua napita pita kwenye Google Earth nimegundua miji mingi Tanzania imekaa hovyo hovyo sana. Kuna nchi ziko jangwani kabisa lakini wamejenga kwa mpango mzuri. Hata DRC ambayo kuna migogoro kila mara bado kumepangwa vizuri. Tanzania badala ya kujenga miji mipya wanabomoa ya zamani na kujenga...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwa tuhuma alizonazo Ole Sabaya, anaweza akakimbia nchi, awekwe chini ya ulinzi

    Kuna tuhuma ambazo zinamkabili Sabaya, ni nyingi na za ukatili kubwa, uvujifu wa haki za watu Hai, mateso mauaji , utekaji etc etc uliokithiri. Katika hali ya kawaida, kwa level ya tuhuma hizo, za mauaji ya wazi, utekaji etc inatoa uhalali wa kumweka kizuizini asitoroke ili haki itendeke...
  10. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ilikuwa inaweza kwenda zake tu, angalia soko la Bilioni 1 na nyumba ya Milioni 350

  11. B

    JamiiForums Tanzania TANU na CCM walikuwa wanawasomesha watu wa propaganda nje ya nchi kwa ajili yakukabiliana na Nani wakati wa chama kimoja?

    Chama Cha mapinduzi pamoja na TANU enzi zetu vilikuwa vinapeleka vijana kwenda kusoma propaganda na mambo ya siasa nje ya nchi. Baadhi yao ni akina Mrema wa TLP, baada ya watu hao kurejea nchini hakukuwa na propaganda tena kwa sababu walikuwa chama kimoja. Hata tulipoingia vyama vingi bado watu...
  12. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya Ajabu sana. Tuna kiwango kikubwa sana cha ustaarabu

    Habari za wakati ndugu zangu wapendwa; Andiko langu hili ninaliandika katika hali ya furaha na huzuni kwani najua kwamba kila atakaeseoma atatoa na tafakari yake. Mimi ni Mtanzania ambaye kwa kiasi fulani huwa ninafuatilia siasa na uchumi wa nchi yetu.Kwa kipindi cha zaidi ya Miaka 30...
  13. Ngamanya Kitangalala

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa nchi kutokusafiri au kusafiri mara kwa mara

    Ndani ya miaka 10 ya utawala wa awamu ya nne, ilitufanya wananchi tuamini kuwa ni jambo la lazima kwa mkuu wa nchi kuwa anasafiri mara kwa mara ndani na nje ya nchi. Lakini kwenye miaka 5 ya awamu ya tano, ikatufanya wananchi tuamini tofauti tena, kuwa kumbe sio jambo la lazima sana kwa mkuu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania kwanza: Ndoto tunayotamani kwa manufaa ya nchi yetu

    Tanzania kwanza kwa neno hilo tu! Tunapata picha ya kizalendo na kitaifa inayo ibua hisia na kuleta maswali ya kwanini na lini kuhusu mstakabari makin na misingi imara ya kisiasa, kielimu, kiuchumi na kiutamaduni kwa Tanzania. Ifikie mahali tukubali kuwa tumeshindwa kuipambania tanzania kwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Waliojenga katika maeneo ya viwanda Pugu Road na maeneo mengine ya nchi wajiandae

    Kuna clip iko kwenye mitandao ikimuonyesha Waziri wa Ardhi, Bwana Lukuvi akitaka maeno ya yaliyotengwa kwa akili ya viwanda huko barabara ya Pugu na sasa yanatumika kwa shughuli nyingine yachunguzwe na hatua zichukuliwe. Ameagiza vibali vichunguzwe na waliobadili matumizi ya viwanja hivyo kwa...
  16. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Kufungulia Nchi? Kurudi Kujivunia Umaskini?

    Inawezekana wakati mama anaenda kufungulia nchi anaweza kufungulia hizi hisia za kutukuza na kukumbushana juu ya kile kinachoitwa umaskini wetu? Tunatakiwa kutokujaribu au kuthubutu kufanya makubwa kwa sababu sisi ni masikini? Ndio mwanzo wa kuanza kuombaomba tena...maskini wa fikra...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini waliosomea Ujasusi ( Unjagu ) nchini Israeli 'wanaogopeka' sana kuliko waliosomea nchi zingine?

    Kama kawaida najua hapa JamiiForums kuna Watu Wajuvi ( Pundits ) kabisa wa Mambo haya na mbalimbali hivyo hamtoshindwa 'Kunielimisha' Mimi Ngumbaru ( Layman ) niliyetukuka. Sina uhakika sana ila nimewahi kuona mahala ( katika Bandiko ) kuwa Majasusi ( Manjagu ) wa nchi ya Rwanda 'wanaogopeka'...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Kama ni gari ya chini kwa Mzee Mwinyi, kwanini isiwe IST au Fun Cargo za bei rahisi?

    Kulingana na hali halisi ya nchi yetu ya umasikini ningeshauri kuliko kumpa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi Benzi ya milioni 300 ambayo nasikia hata hivyo ameikataa bora tungempa zawadi ya gari aina ya IST au Fun cargo ambazo ni za chini zaidi kwa urefu na bei ni nafuu. Ni ushauri wangu tu...
  19. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Ni vyema Katiba Mpya ikaelekeza kuwa Rais anapofariki akiwa madarakani Bunge livunjwe na tuingie kwenye uchaguzi huku nchi ikiwa chini ya Jeshi

    Kipengele cha katiba kinachosema Rais akifariki madarakani basi makamu wake ataapishwa kuwa Rais tunaomba kibadilishwe.. Rais akifariki uchaguzi ufanywe upya Gesi kwenda Kenya mbona Kama umepigwa. JPM angepewa hilo jengo ungesikia " nimerigawa kwa wananchi ritatumika kama hospital ya waja...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Picha ya Mwanayanga aliyeitia aibu nchi jana

    Huwezi amini kakabidhiwa wizara nyepesi kabisa ya tararira za kina diamond, mabantu harmonize na kina yanga na simba lakini inamsumbua. Huyu angepewa wizara kama ya mambo ya ndani au fedha na ulinzi ingekuwa hali nyingine. Naanza kuamini kule Karagwe ile ranchi ambayo mtu fulani alisema...
Back
Top Bottom