Iran nchi inayoongoza kwa kuikopesha Tanzania

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
10,005
2,000
Naam, siyo wengine bali ni walewale watoto wa Ayatollah ndiyo wanaoongoza kutupiga tafu kwenye mikopo Siyo China, wala Marekani wanaoongoza kutukopesha ili tufanye mambo ya maendeleo, bali ni Wairani.

Wairan ni watu walionyooka sana, hawapendi kuburuzwa, ni watu wanaojiamini. Pamoja na wao kuwekewa vikwazo viiiingi vya kiuchumi lakini bado wana hela za kutukopesha.

Hebu cheki takwimu hizi.

IMG-20210618-WA0041.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom