Charity Ngilu: "Kazi ya william ruto ni kutangatanga tu na sio kumsaidia Kenyatta!"

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,208
4,704
"Huyo Ruto hawezi saidia Nchi yetu, anahitaji kutuonyesha factory ata moja ambayo ametengeza. Amekuwa Deputy President miaka tisa sai lakini amefanya nini? Unaangalia mtu na Uongozi wake sio mdomo. Badala ya kumsaidia Rais Uhuru Kenyatta, kazi ni kutangatanga tu.

Gavana wa Kitui - Charity Ngilu.
 
Urais kwa Ruto ni swala la kufa na kupona anaitafuta kwa gharama yoyote ni sawa tu na ccm wanavyotafuta kubaki madarakani kwa gharama yoyote.
 
Back
Top Bottom