nchi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Azam katika taarifa yao ya habari ya saa mbili usiku huu, wameonyesha uwepo wa wakilishi wa Mabalozi wa Nchi za nje?

    Naangalia Azam News hapa(UTV live) ambapo taarifa ya habari ndio inaendelea. Katika taarifa yao, wameripoti kesi ya Mbowe inayoondelea Mahakama Kuu ila katika picha za Mahakamani, sijaona uwepo wa Wawakilishi wa Mabalozi waliohudhuria hiyo kesi. Je, uwepo wao si muhimu, ni bahati mbaya tu au...
  2. Ugumu wangu

    JamiiForums Tanzania Vile mtakavyopata taabu siku tukipata nafasi ya kuongoza nchi kwa hii Katiba mnayokataa kuibadilisha

  3. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozi wa kusoma chuo nje ya nchi

    Habari zenu wakuu, Nina mdogo wangu kamaliza form six mwaka huu (PCB)na kapata division two ya 11. Ameomba degree DOCTOR OF MEDICINE hapa nchini amekosa, Kwa sasa familia tumeamua akasome nje ya Nchi. Naomba kujua yafuatayo kwa wale wazoefu: Ni chuo gani Rwanda kinatoa degree bora ya udaktari...
  4. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa serikali juu polisi. Wanachukiwa sana mtaani

    Mara nyingi Huwa napendelea kuonekana mjinga ( being underated/ underestimated). Napendelea kujiweka muonekano usiolingana na uwezo wa akili yangu, kipato changu na elimu yangu. Wiki iliyopita nilijaza fomu la online loss report Kisha nikaenda kituo cha police kuthibitishiwa hiyo loss report...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nchi hii Hakuna Daraja la Kwanza wala la pili. Wote Wana haki Sawa

    Kwema Wakuu!! Moja ya mambo ambayo yananikera, yananifanya nisiishi Kwa Amani, nisiishi Kwa furaha ni kuona kundi Fulani linanyanyaswa. Kwa kweli katika vitu navichukia kuliko vyote ni kuona uonevu, unyanyasaji, ukandamizaji pamoja na dhulma ndani ya jamii. Mimi hata awe mzazi wangu akileta...
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kuenzi jitihada za kudai katiba mpya za kamanda Mbowe, makongamno yendelee nchi nzima

    Dawa ya moto ni moto, ili katiba mpya ipatikane basi ni mwendo wa makongamano uanze. Kama lile la Mwanza liliwatetemesha na kukubali matokeo basi tujipange kama chama tuanzishe makongamano tena. My take: Hakuna kubaki nyuma na kurudi nyuma. Mbele kwa mbele kudai katiba mpya.
  7. Duplicate_90

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi wanalichukulia poa sana Neno ugaidi.. kwa akili yao finyu hawajui km wanaichafua nchi!

    Hivi karibuni jeshi la polisi nchini Tanzania limekuwa na mazoea ya kutumia neno Gaidi na Ugaidi katika nchi yetu inayosemekana kuwa ni kisiwa cha amani! Kwa matukio ya hivi karibuni hususani lile la mbowe la kupewa kesi ya ugaidi na hili la ndugu hamza ambalo IGP Siro amesubutu kumuita Gaidi...
  8. mshale21

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Iko nchi Ulaya GB1 unanunua kwa Dola 15

    "Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15" ------- Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa...
  9. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Bila ya kurahisisha taratibu zetu za uhamiaji, ziara za Rais Samia nchi jirani zitakuwa ni kazi bure

    Ni wazi kuwa ziara za Rais kwenye nchi jirani au kokote kule ni kuboresha mahusiano kati ya nchi hizo na Tanzania ili watanzania tufaidike. Sasa ili wananchi wafaidike wanatakiwa kwenda huko kiurahisi, lakini ajabu Tanzania taratibu za mtu kutoka nje ni ngumu sana. Kuna masuala mengi uhamiaji...
  10. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Bei ya Pamba Tanzania imepanda kwa 125% toka mwaka wa fedha 2020/21 - 2021/22

    BEI YA PAMBA JUU,TOKA TZS 810 FY2020|21 HADI TZS 1,800 FY2021|22,KILA KONA YA NCHI NI SAMIA, SAMIA, SAMIA Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg FY 2020|21 mpaka Tshs 1,720-1,800/kg FY2021|22 kwa kilo, Hii ni sawa na ongezeko chanya la 125% liicha ya awali bei hiyo kuzinduliwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuipende nchi yetu, tupinge uhalifu kwa kila namna

    Kutoa taarifa za uhalifu za kila namna ndio wajibu wa kila mtanzania. Kulipenda taifa letu kwa moyo wote. Kuwa walipa kodi ili ziweze kusaidia watanzania kwa hali yoyote ni jambo la msingi. Kutokukubali kufuga wahalifu, wavuta bangi, wanywa konyagi, wauza madawa ya kulevya na wanaofanya...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi lopolopo linavyosubiria press conference ya mabingwa wa nchi

    Saa kumi hiyo ishafika mabingwa wa nchi wanaanza Press conference bahati mbaya kuna jitu pori sijui linguruwe pori liko addicted sana na chochote kinachosemwa na mabingwa Utasikia ohooooo alivyoona press yangu akajifanya kuitisha yake na kuweka billions 20 ili kuwatuliza, na leo utasikia...
  13. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nini kifanyike Tanzania iwe miongoni mwa nchi zilizoendelea duniani?

    Tanzania ni nchi katika dunia au Bara lá afrika ambayo ina kila rasilimali zinazohitajika katika maendeleo mfano madini,Ardhi nzuri, watu wachapakazi na vivutio vingi vya utalii Pamoja na hayo bado nchi ya Tanzania umaskini ni jambo lililokithiri sana hususa ni kwa vijana jambo linalopelekea...
  14. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Zijue nchi ambazo kubusiana hadharani ni kosa la jinai

    Wakati kwenye maeneo mengine kubusu au kukumbatiana kati ya mwanamke na mwanaume ni jambo la kawaida, kwenye maeneo mengine ni kosa kubwa. Baadhi ya nchi za kimagharibi zimewapa raia wake uhuru kiasi cha kuweza hata kufanya matendo ya faragha hadharani. Lakini baadi ya nchi, hasa zile zenye...
  15. BLUE BALAA

    JamiiForums Tanzania Wale waliosoma nje ya nchi shahada ya kwanza, mtoto anaweza kuharibikiwa?

    Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa sana katika hili swala wa watoto kusoma nje ya Tanzania. Binafsi nina binti yangu nataka kumpeleka CANADA (Alberta for her Economics course first degree) ila napata comments tofauti ambazo wengine wananiambia degree ya kwanza usimpeleke mtoto nje ya nchi kwani...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Yanayotendeka katika nchi hii yanasikitisha, Watanzania pigeni magoti mbele ya Mungu atajibu

  17. H

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu inapita kwenye kipindi ambacho sio kirahisi

    Salam, Nafikiri sio wote tunaweza kufanana namna ya kuona,lakini wapo tutakao kubaliana kama nchi,tunapita mahali pa tension ya aina yake. Maeneo mengi ya maisha yameguswa kwa namna yake.Dini,siasa,uchumi,afya saikolojia,mpaka kwenye social media,tension inayotokana na kipindi ambacho...
  18. Victoire

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

    Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wapinzani tafuteni watu wasomi wenye Bachelor, Masters na PhD kwa ajili ya kuchukua nchi 2025

    Wapinzani tafuteni watu wasomi wenye bachelor, masters na PhD kwaajili ya kuchukua nchi 2025. Tafuteni wachumi, wanasheria, wanasayansi, mainjinia, wahasibu, watu wasiasa, wanahistoria wenye bachelor, masters, PhD, waandikisheni, jazeni kwenye chama. Fanyeni hivyo, nendeni vyuoni andikisheni...
  20. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Tuache kabisa kuchezea sheria za nchi kukomoana. Ugaidi si jambo dogo

    Wasalaam wanajukwaa, Naweza kudiriki kusema kwamba kuna mahali kama taifa tumeshiba sana tuna la amani na ulivyo na amani tuliyonayo ndiyo maana kikundi kidogo cha watu wachache wasiofikiria mbali hakioni aibu kumbambikia kiongozi mkubwa kesi mbaya ya ugaidi ilimradi tu akose dhamana akae...
Back
Top Bottom