Zijue nchi ambazo kubusiana hadharani ni kosa la jinai

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
3,032
4,028
Wakati kwenye maeneo mengine kubusu au kukumbatiana kati ya mwanamke na mwanaume ni jambo la kawaida, kwenye maeneo mengine ni kosa kubwa.

Baadhi ya nchi za kimagharibi zimewapa raia wake uhuru kiasi cha kuweza hata kufanya matendo ya faragha hadharani. Lakini baadi ya nchi, hasa zile zenye misingi imara ya kidini, zimepiga marufuku kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani.

Kwa kuwa lengo letu ni kukupa maarifa, basi fahamu maeneo 10 ambayo ni marufuku kubusu au kukumbatiana baina ya mwanamke na mwanaume hadharani.

1. Qatar
Qatar ni nchi yenye utamaduni wa Kiislamu ambayo hairuhusu mtu kubusu au kukumbatiana hadharani. Hata hivyo matendo haya baina ya wanafamilia au marafiki wa jinsia moja (wasio mashoga) siyo jambo baya.

2. India
Kwa mujibu wa sheria za India, mtu atakayekutwa akifanya au kuonyesha maswala ya kimapenzi hadharani anaweza kukabiliwa na kifungo kisichopungua miezi mitatu pamoja na faini.

3. China
Kutokana na utamaduni wa China, kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani ni kinyume cha maadili.

4. Dubai
Dubai ni mji ulioko katika falme za Kiarabu ambao sheria zake zinazuia watu kuonyesha hisia au kufanya matendo ya kimapenzi hadharani.

5. Thailand
Thailand ni nchi nzuri ya kuvutia hasa kwa utalii, lakini swala la kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani halikubaliki katika maeneo mengi.

6. Indonesia
Unaweza ukatembelea fukwe na maeneo yenye vivutio mbalimbali nchini Indonesia; lakini uwe makini na swala la kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani kwani halikubaliki.

7. Vietnam
Pamoja na mabadiliko mbalimbali kwenye utamaduni wa Vietnam, bado maeneo mengi hasa ya vijijini hayakubaliani na swala la kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani. Unaweza usilishuhudie hili hadi pale utakapotoka nje ya miji mikubwa kama vile Hanoi na Saigon.

8. Chuo Kikuu cha Zimbabwe
Kwenye chuo kikuu cha zimbabwe, mwanafunzi anaweza kufukuzwa chuoni kwa kosa la kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani. Hairuhusiwi kubusu, kukumbatia au hata kukaa kimapenzi kwenye viunga vya chuo.

9. Misri
Kwa kupitia tovuti ya Egyptian Streets, mwanadada Farah anaeleza jinsi alivyokutana na wakati mgumu kumkumbatia au kumbusu mpenzi wake wa Misri waliekutana huko Ulaya.

Ni wazi kuwa kanuni za Misri haziruhusu kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani.

10. Iran
Iran ni nchi nyingine ambayo ina misingi mikubwa katika imani ya Kiislamu, imepiga marufuku kufanya matendo kama vile kubusu au kukumbatia hadharani.

11. TANZANIA?
Toa mawazo yako

Tunapowaambia nchi yetu ina uhuru wa mambo mengi mtuelewe jamani

kissing.PNG
 
Kwa hiyo huo ni Uhuru wa wananchi wa hizo nchi kuandamana kuudai?!!!😲🤣🤣

Kupenda kuigaiga tamaduni za watu ndio asili ya umaskini wenyewe........

Wazungu kamwe hawataki kuwa kama sisi waafrika,kwani ni lazima sisi TUWAIGE WAISHIVYO mpaka kubusiana baba na mama hadharani mbele ya wapita njia?!!!
 
View attachment 1907433
Nchini Rwanda kumbatio ni ishara ya kusalimia watoto,baba ,shemeji,wakwe, wafanyakazi wa sekta moja,majirani kumubatiana mnapokutana ni ishara ya upendo na amani na pia Kuna maeneo mwanaume hubebwa na wake zao Mara baada ya kutoka kazini na kuoshwa pia

Nchi nyingi za kiislam kubusiana au kukumbatiana hadharani ni kosa ila kuna umalaya na usheitwani wa kiwango Cha dodoma na gomola hata maeneo Kama Zanzibar huwezi kuona ila ndio wanaongiza kwa ushoga afrika mashariki na kati

USSR
 
Kwa hiyo Zanzibar inaongoza kwa ushoga zaidi ya kwingineko afrika mashariki na Kati ?!!!

Duuuh 😲😲

Kwa hiyo Lamu iliyoharibiwa na wataliani na waarabu hakuna ushoga mwingi?!!!

Kwa hiyo nchi za ulaya ambako ndoa za jinsia moja husheherekewa kumetokana na wenzetu Waislam ?!!

Kwa hiyo ushoga uliokithiri Ugiriki na Italia unatokana na hao waislam ?!!

Kumbe ni haohao waislam ndio walioruhusu Katiba za Afrika ya Kusini ,Msumbiji na Kongo kutambua mahusiano ya mashoga ?!!

Kama si chuki na hao ndugu ni nini ?!!

Nipinge kwa hoja kuntu.....
 
Wakati kwenye maeneo mengine kubusu au kukumbatiana kati ya mwanamke na mwanaume ni jambo la kawaida, kwenye maeneo mengine ni kosa kubwa.

Baadhi ya nchi za kimagharibi zimewapa raia wake uhuru kiasi cha kuweza hata kufanya matendo ya faragha hadharani. Lakini baadi ya nchi, hasa zile zenye misingi imara ya kidini, zimepiga marufuku kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani.

Kwa kuwa lengo letu ni kukupa maarifa, basi fahamu maeneo 10 ambayo ni marufuku kubusu au kukumbatiana baina ya mwanamke na mwanaume hadharani.

1. Qatar
Qatar ni nchi yenye utamaduni wa Kiislamu ambayo hairuhusu mtu kubusu au kukumbatiana hadharani. Hata hivyo matendo haya baina ya wanafamilia au marafiki wa jinsia moja (wasio mashoga) siyo jambo baya.

2. India
Kwa mujibu wa sheria za India, mtu atakayekutwa akifanya au kuonyesha maswala ya kimapenzi hadharani anaweza kukabiliwa na kifungo kisichopungua miezi mitatu pamoja na faini.

3. China
Kutokana na utamaduni wa China, kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani ni kinyume cha maadili.

4. Dubai
Dubai ni mji ulioko katika falme za Kiarabu ambao sheria zake zinazuia watu kuonyesha hisia au kufanya matendo ya kimapenzi hadharani.

5. Thailand
Thailand ni nchi nzuri ya kuvutia hasa kwa utalii, lakini swala la kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani halikubaliki katika maeneo mengi.

6. Indonesia
Unaweza ukatembelea fukwe na maeneo yenye vivutio mbalimbali nchini Indonesia; lakini uwe makini na swala la kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani kwani halikubaliki.

7. Vietnam
Pamoja na mabadiliko mbalimbali kwenye utamaduni wa Vietnam, bado maeneo mengi hasa ya vijijini hayakubaliani na swala la kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani. Unaweza usilishuhudie hili hadi pale utakapotoka nje ya miji mikubwa kama vile Hanoi na Saigon.

8. Chuo Kikuu cha Zimbabwe
Kwenye chuo kikuu cha zimbabwe, mwanafunzi anaweza kufukuzwa chuoni kwa kosa la kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani. Hairuhusiwi kubusu, kukumbatia au hata kukaa kimapenzi kwenye viunga vya chuo.

9. Misri
Kwa kupitia tovuti ya Egyptian Streets, mwanadada Farah anaeleza jinsi alivyokutana na wakati mgumu kumkumbatia au kumbusu mpenzi wake wa Misri waliekutana huko Ulaya.

Ni wazi kuwa kanuni za Misri haziruhusu kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani.

10. Iran
Iran ni nchi nyingine ambayo ina misingi mikubwa katika imani ya Kiislamu, imepiga marufuku kufanya matendo kama vile kubusu au kukumbatia hadharani.

11. TANZANIA?
Toa mawazo yako

Tunapowaambia nchi yetu ina uhuru wa mambo mengi mtuelewe jamani

View attachment 1907433
Hebu kwanza tujifikirie sisi wenyewe tupo tayari kuona:-
1 - Mama zetu wanakumbatiana na kubusiana na wanaume labda ni jirani au wafanyakazi wenzao hadharani?
2 - Dada zetu wanakumbatiana na kubusiana na vijana wenzi wao wa kiume hadharani?
3 - Wake zetu wanakumbatiana na kubusiana na wafanyakazi wenzi wao wa kiume au jirani zao wa kiume?
 
Tanzani au nchi nyingi za Africa hatuna mazoea kama hayo, ndo maana sidhani kama inaruhusiwa au inakatazwa
 
Kwa hapa sidhani kama kuna kinachozuiwa, unaweza hata ukamaliza mchezo kabisa. Hata kurusha risasi haizuiliwi
hebu nenda kituo cha polisi na mwenza wako mvue nguo kisha uanze kumininia njugu ndani ya mwili wa mwenza wako kwa starehe zenu uone kama mtasalimika
 
Wakati kwenye maeneo mengine kubusu au kukumbatiana kati ya mwanamke na mwanaume ni jambo la kawaida, kwenye maeneo mengine ni kosa kubwa.

Baadhi ya nchi za kimagharibi zimewapa raia wake uhuru kiasi cha kuweza hata kufanya matendo ya faragha hadharani. Lakini baadi ya nchi, hasa zile zenye misingi imara ya kidini, zimepiga marufuku kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani.

Kwa kuwa lengo letu ni kukupa maarifa, basi fahamu maeneo 10 ambayo ni marufuku kubusu au kukumbatiana baina ya mwanamke na mwanaume hadharani.

1. Qatar
Qatar ni nchi yenye utamaduni wa Kiislamu ambayo hairuhusu mtu kubusu au kukumbatiana hadharani. Hata hivyo matendo haya baina ya wanafamilia au marafiki wa jinsia moja (wasio mashoga) siyo jambo baya.

2. India
Kwa mujibu wa sheria za India, mtu atakayekutwa akifanya au kuonyesha maswala ya kimapenzi hadharani anaweza kukabiliwa na kifungo kisichopungua miezi mitatu pamoja na faini.

3. China
Kutokana na utamaduni wa China, kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani ni kinyume cha maadili.

4. Dubai
Dubai ni mji ulioko katika falme za Kiarabu ambao sheria zake zinazuia watu kuonyesha hisia au kufanya matendo ya kimapenzi hadharani.

5. Thailand
Thailand ni nchi nzuri ya kuvutia hasa kwa utalii, lakini swala la kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani halikubaliki katika maeneo mengi.

6. Indonesia
Unaweza ukatembelea fukwe na maeneo yenye vivutio mbalimbali nchini Indonesia; lakini uwe makini na swala la kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani kwani halikubaliki.

7. Vietnam
Pamoja na mabadiliko mbalimbali kwenye utamaduni wa Vietnam, bado maeneo mengi hasa ya vijijini hayakubaliani na swala la kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani. Unaweza usilishuhudie hili hadi pale utakapotoka nje ya miji mikubwa kama vile Hanoi na Saigon.

8. Chuo Kikuu cha Zimbabwe
Kwenye chuo kikuu cha zimbabwe, mwanafunzi anaweza kufukuzwa chuoni kwa kosa la kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani. Hairuhusiwi kubusu, kukumbatia au hata kukaa kimapenzi kwenye viunga vya chuo.

9. Misri
Kwa kupitia tovuti ya Egyptian Streets, mwanadada Farah anaeleza jinsi alivyokutana na wakati mgumu kumkumbatia au kumbusu mpenzi wake wa Misri waliekutana huko Ulaya.

Ni wazi kuwa kanuni za Misri haziruhusu kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani.

10. Iran
Iran ni nchi nyingine ambayo ina misingi mikubwa katika imani ya Kiislamu, imepiga marufuku kufanya matendo kama vile kubusu au kukumbatia hadharani.

11. TANZANIA?
Toa mawazo yako

Tunapowaambia nchi yetu ina uhuru wa mambo mengi mtuelewe jamani

View attachment 1907433
Tendo linaloashiria kuongeza binadamu linapogeuka tatizo. Anyway ni ishu ya kiimani zaidi. Lakini nchini Tanzania bila hata sheria wananchi wake hawana utamaduni huo. Dunia ngumu sana kuishi
 
Kwa hiyo huo ni Uhuru wa wananchi wa hizo nchi kuandamana kuudai?!!!

Back
Top Bottom