Ushauri wa bure kwa serikali juu polisi. Wanachukiwa sana mtaani

Restless Hustler

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
4,738
17,926
Mara nyingi Huwa napendelea kuonekana mjinga ( being underated/ underestimated). Napendelea kujiweka muonekano usiolingana na uwezo wa akili yangu, kipato changu na elimu yangu.

Wiki iliyopita nilijaza fomu la online loss report Kisha nikaenda kituo cha police kuthibitishiwa hiyo loss report ili niende stationery ku print. Yule polisi mhusika akanidai TZS 5,000 ilihali huduma ni bure ukishalipia ile TZS 500 kwa control number. Tangu siku ile (na matukio mengine kwa nyakati tofauti tofauti) polisi nawachukulia ni watu wa hovyo hovyo na nawashauri wamama wasiwe wanawazaa watu wa hovyo hovyo kama polisi wa nchi hii, kama bwana Zero anavyomchukulia Hamza kuwa ni mtu wa hovyo hovyo na kuwashauri wamama wasiwe wanawazaa watu wa hovyo hovyo kama Hamza.

Ushauri:
Serikali kwa upande Wake, inapaswa kuipa thamani stahili idara ya polisi kwa kuwaajiri watu wenye elimu nzuri na utimamu wa akili na siyo miguvu tu bila akili ( power without knowledge is globally agreed to be useless). Kuna maelfu ya graduates wanazitaka hizo kazi nawana uwezo mzuri tu.

Serikali wapeni graduates kozi ya JKT angalau ya miezi mitatu Kisha muwapeleke shule ya polisi, muone mapinduzi chanya katika idara hii muhimu iliyoigeuza taswira ya Tazanzania kuwa Taifa la walalamikaji kando na wao kuishi maisha ya kihayawani.
 
Nilisha bambikiwa kesi na hawa policcm sina hamu nao kabisa.
 
Huyu bwana:

IMG_20210829_163746_049.jpg

akikusikia kwa rai tu, usiache kutuletea mrejesho
 
Mkuu umewaza mbali sana, CCM sio wajinga wawapeleke graduates shule ya polisi. graduates yupi atakubali kusimamia wizi WA kura au kukimbia na box la kura? So kupeleka wenye elimu ndogo ndio Namna ya chama tawala kupata kundi la kukilinda.
 
Mara nyingi Huwa napendelea kuonekana mjinga ( being underated/ underestimated). Napendelea kujiweka muonekano usiolingana na uwezo wa akili yangu, kipato changu na elimu yangu.

Wiki iliyopita nilijaza fomu la online loss report Kisha nikaenda kituo cha police kuthibitishiwa hiyo loss report ili niende stationery ku print. Yule polisi mhusika akanidai TZS 5,000 ilihali huduma ni bure ukishalipia ile TZS 500 kwa control number. Tangu siku ile (na matukio mengine kwa nyakati tofauti tofauti) polisi nawachukulia ni watu wa hovyo hovyo na nawashauri wamama wasiwe wanawazaa watu wa hovyo hovyo kama polisi wa nchi hii, kama bwana Zero anavyomchukulia Hamza kuwa ni mtu wa hovyo hovyo na kuwashauri wamama wasiwe wanawazaa watu wa hovyo hovyo kama Hamza.

Ushauri:
Serikali kwa upande Wake, inapaswa kuipa thamani stahili idara ya polisi kwa kuwaajiri watu wenye elimu nzuri na utimamu wa akili na siyo miguvu tu bila akili ( power without knowledge is globally agreed to be useless). Kuna maelfu ya graduates wanazitaka hizo kazi nawana uwezo mzuri tu.

Serikali wapeni graduates kozi ya JKT angalau ya miezi mitatu Kisha muwapeleke shule ya polisi, muone mapinduzi chanya katika idara hii muhimu iliyoigeuza taswira ya Tazanzania kuwa Taifa la walalamikaji kando na wao kuishi maisha ya kihayawani.

ili ccm ibaki madarakani inaitaji polisi wa hovyo hovyo kama sirro
 
Mimi pia Mkuu halafu ilikuwa kesi mbaya sana lakini Mwenyezi Mungu mkubwa pale Oyster Bay polisi waliniweka ndani kama masaa matano nikatoka saa moja usiku na kunitaka niripoti pale kila siku asubuhi saa moja hakukuwa na cha maana baada ya one hour wananiambia unaweza kwenda urudi tena kesho saa moja asubuhi. Wakaanza kuomba rushwa na kunitisha kesi ni mbaya sana nikawaambia sina hela ya mchezo. Bahati nzuri ushahidi ukaniweka huru kwamba sikufanya kosa lolote hata kuniambia niko huru hawakuniambia kwa aibu lakini sikuwasikia tena.

Nilisha bambikiwa kesi na hawa policcm sina hamu nao kabisa.
 
Sina urafiki na polisi, simu yangu haina jina la polisi yoyote. Hata akikusaidia lazima atamtumia mwenzake wakupige pesa, lazima upigwe pesa tu.

Ni watu wa hovyo na nadiriki kusema wengi ni failures tu... futseke zao!
 
Awamu ya tano ya Mwendazake imechangia sawa maovu haya. Matokeo yake wetu kama Siro kazi yao ikawa kutakatisha mauaji ya raia wasio na hatia kama Akwilina. Mbaya zaidi mamlaka ya uteuzi ikawa inateua hooligans kama Sabaya na kuwapa kazi ya kumframe Mbowe ili aondolewe kwenye circulation!

Imagine huu ni mwaka wa tano, watu waliohusika kutaka kumtoa roho Lissu hawajapatikana na IGP katulia kama vile hakuna kilichotokea.
Hii dhambi waliyoifanya CCM ya kumpa illegal immigrant uraisi itawatafuna mpaka waingie kaburini. CCM wameifanya Tanzania katika miaka hii mitano ionekane nchi ya hovyo hovyo!!!!
 
Mara nyingi Huwa napendelea kuonekana mjinga ( being underated/ underestimated). Napendelea kujiweka muonekano usiolingana na uwezo wa akili yangu, kipato changu na elimu yangu.

Wiki iliyopita nilijaza fomu la online loss report Kisha nikaenda kituo cha police kuthibitishiwa hiyo loss report ili niende stationery ku print. Yule polisi mhusika akanidai TZS 5,000 ilihali huduma ni bure ukishalipia ile TZS 500 kwa control number. Tangu siku ile (na matukio mengine kwa nyakati tofauti tofauti) polisi nawachukulia ni watu wa hovyo hovyo na nawashauri wamama wasiwe wanawazaa watu wa hovyo hovyo kama polisi wa nchi hii, kama bwana Zero anavyomchukulia Hamza kuwa ni mtu wa hovyo hovyo na kuwashauri wamama wasiwe wanawazaa watu wa hovyo hovyo kama Hamza.

Ushauri:
Serikali kwa upande Wake, inapaswa kuipa thamani stahili idara ya polisi kwa kuwaajiri watu wenye elimu nzuri na utimamu wa akili na siyo miguvu tu bila akili ( power without knowledge is globally agreed to be useless). Kuna maelfu ya graduates wanazitaka hizo kazi nawana uwezo mzuri tu.

Serikali wapeni graduates kozi ya JKT angalau ya miezi mitatu Kisha muwapeleke shule ya polisi, muone mapinduzi chanya katika idara hii muhimu iliyoigeuza taswira ya Tazanzania kuwa Taifa la walalamikaji kando na wao kuishi maisha ya kihayawani.
Policeccm ni watu wa hovyo toka wanazaliwa,baba zao walizaa watoto wa hovyohovyo
 
Graduates wa kwanza kufikiriwa wawe wa sheria. Polisi wetu wengi hawana msingi wa sheria. Polisi bila sheria amani hakuna. Nilishangaa kuambiwa hata IGP aliopo kitaaluma ni mwalimu, nilichoka!

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
taizo la kazi ya upolisi ni kwamba"baniani mbaya ................

yaani polisi ni sawa na kuletea kiburi daktari wako.

umvizia mmoja umtandike utashikwa ufungwe kwa kesi isiyokupa nafasi hata ya kujitetea.

ukimuua mmoja kama wakikushika watakuua kwa mateso sana,bora ujiue.

ukimtukana mmoja hakurudishii,atakusubiri siku ukanyage sheria.

wao wanajua,ndio maana huwa hawajali kama mnawachukia kiasi gani.ni kama vile mguruwe alivyo anachukiwa halafu hana time ananenepeana tu.
 
Back
Top Bottom