Wale waliosoma nje ya nchi shahada ya kwanza, mtoto anaweza kuharibikiwa?

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,198
2,000
Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa sana katika hili swala wa watoto kusoma nje ya Tanzania. Binafsi nina binti yangu nataka kumpeleka CANADA (Alberta for her Economics course first degree) ila napata comments tofauti ambazo wengine wananiambia degree ya kwanza usimpeleke mtoto nje ya nchi kwani anaweza kuharibikiwa na asisome kabisa.

Naomba ushauri kwa wadau wa elimu na wale mliosoma nje.
 
ziloi

JF-Expert Member
Apr 15, 2018
750
1,000
Mkuu hapa nina ushahidi kidogo, Binafsi nilisoma bara la Asia japo sikufanikiwa kumaliza kwa matatizo ya hapa na pale.

Ila ukweli ni kwamba watoto wa kike niliokuwa nawafahamu kutokea nyumbani na nchi jirani tabia zao za wazi wazi hazikuwa nzuri. Sikuwahi shuhudia kwa macho yangu sabb sikuwa mtu wa club na disco ila tuhuma zilikuwa nyingi sana juu yao.

Pia kwa kipindi kile kuna wimbi la wadada wengi sana walikuja huko kwa visa za student while hawakuwa wanafunzi. Kazi zao zilikuwa ni kujiuza na kutuma pesa nyumbani, so wengi wao tulikuwa tunaishi either floor moja au mtaa mmoja. Na kama ujuavyo ndugu wa kiafrika tukionana ugenini sote tayari ni ndugu, Hivyo kuna baadhi ya watoto wa kike wanafunzi walishawishika na life style yao na kujikuta huko.

Wanaume tulijikuta kwenye biashara ya nywele na Bangi. Japo wapo ambao huenda na hadhima moja na hadi kufanikiwa kurudi akiwa salama.
 
kolola

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
3,968
2,000
Ni kipindi kigumu kwa binti hasa teenager kuweza kuyamudu maisha ya ughaibuni unless awe gifted. Fanya evaluation kwanza. Ila kama umechanjwa ni bora ukambakisha hapa asome first degree ili akomae kiakili na baadaye akasome Masters na PhD nje
 
Thanks for your comments ila kuchanjwa vina uhusiano gani hapa?
 
kolola

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
3,968
2,000
Thanks for your comments ila kuchanjwa vina uhusiano gani hapa?
Kama hujachanjwa wewe ni king’ang’anizi na hukubali ushauri wa mtu. Mtu kama huyo hupaswi kupoteza muda ati una mshauri. Imagine watoto wanatoka Vijijini wakija kusoma UDSM wanaharibikia hostel za mabibo! Je akiwa Canada ambapo anajua hutakaa umkanyage bila visa
 
BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,198
2,000
Kama hujachanjwa wewe ni king’ang’anizi na hukubali ushauri wa mtu. Mtu kama huyo hupaswi kupoteza muda ati una mshauri. Imagine watoto wanatoka Vijijini wakija kusoma UDSM wanaharibikia hostel za mabibo! Je akiwa Canada ambapo anajua hutakaa umkanyage bila visa

You are right ndugu - Mimi nimechanja siku ya kwanza
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
8,820
2,000
Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa sana katika hili swala wa watoto kusoma nje ya Tanzania. Binafsi nina binti yangu nataka kumpeleka CANADA (Alberta for her Economics course first degree) ila napata comments tofauti ambazo wengine wananiambia degree ya kwanza usimpeleke mtoto nje ya nchi kwani anaweza kuharibikiwa na asisome kabisa.

Naomba ushauri kwa wadau wa elimu na wale mliosoma nje.
Kama unaona tabia za mwanao zinafanana na tabia za watu wa huko basi usimpeleke.

Tabia kama vile

Kuvaa vimini..

Kwenda club...

Ana boyfriend...

Mnaangalia mziki pamoja hasa hii miziki ya kisasa...

Munaangalia bongo movie pamoja.

Anapenda kuvaa mawigi..

Mfano wa tabia kama hizi akiwa nazo mtoto alafu unampeleka kwenye Nchi ambazo tabia kama zake ziko mre advanced basi jua utaumia tu mkuu

Watu washika dini wakienda huko wanayumba sikuambii mtu mwenye tabia kama hizo.

Kama unamtaka binti yako angalia tabia hizo hapo juu kama anazo bora umuache hapa hapa kwanza mpaka atakapotungamana.
 
Duuu kuna mtoto asiyo na hizo tabia kweli sasa hivi?
 
Otterhound

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
2,691
2,000
Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa sana katika hili swala wa watoto kusoma nje ya Tanzania. Binafsi nina binti yangu nataka kumpeleka CANADA (Alberta for her Economics course first degree) ila napata comments tofauti ambazo wengine wananiambia degree ya kwanza usimpeleke mtoto nje ya nchi kwani anaweza kuharibikiwa na asisome kabisa.

Naomba ushauri kwa wadau wa elimu na wale mliosoma nje.

Ni akili ya m2 mzee,, yeye binti kama tabia zake mbaya hata umpereke wapi ataharibikiwa tu. Kwani wanaosoma viyuo vya hapa hawaharibikiwi!!!! Kama co asilimia 90% bac 95% ya mabinti wa bongo ni wachafu na wazinifu.
 
Sukumagang

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
19,971
2,000
Namfuatiliaje yeye yuko Canada mimi niko Bongo? Kwenye email? Kwenye simu?
Hakikisha anakutumia matokeo yake hata ya test tu. Maana wengi wakifika huko shule wanaacha. Unashangaa miaka inafika hata degree hana na pesa ulikuwa anamtumia. Ila wewe ndo unamjua zaidi binti yako. Kwanza anapenda shule haswa haswa ?Ana malengo ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom