Yanga itacheza na Rivers Jumapili Mkapa Stadium. Naionea huruma Tanzania inaenda kuingia kwenye aibu kubwa ya mwaka.
Hii timu mazoezi inafanyia mitandaoni. Hii timu mazoezi inafanyia kwenye magazeti. Pre Season ya maana kabisa ilichezea kichapo kikali ikakata ringi kipindi cha kwanza tu. Pre...
Anaandika Dotto Bulendu
Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
Kwa kifupi serikali ya sasa imerudisha mambo yote yasofaa ambayo mwenzao hayati Magufuli aliyaongelea kuwa ndiyo yalorudisha nyuma nchi hii.
Kwa utafiti mdogo ambao mtu yeyote aweza kuufanya hadi sasa ni kwamba;
1. Wafanyabiashara wote wakubwa na walipa kodi wakubwa wote wamesamehewa kulipa...
Serikali ya Tunisia imeidhinisha hati ya kukamatwa kwa aliyekuwa mgombea urais wa nchi hiyo kwa mwaka 2019, Nabil Karoui pamoja na kaka yake ambaye ni Mbunge, Ghazi Karoui kwa kosa la kuvuka mpaka wa nchi hiyo kwa njia haramu (pasipo vibali) hali iliyopelekea kukamatwa kwao na kuwekwa kizuizini...
Kwa miaka takriban mitatu niliishi mjini Tokyo, Japan. Ukiachilia mbali maajabu katika mifumo ya usafiri hasa treni katika mji huo, jambo ambalo lilinistaajabisha kila siku ni jinsi mji huo ulivyo msafi ilihali ni nadra sanaa kuona dastibini au mahara pa kutupa takataka katika maeneo ya public...
|MASWALI KUMI KWA POLEPOLE
Na. Emmanuel Allute Jr,
1. Kwanza nakupa tano kwakuwa umekiri Corona ipo na inaua,Kwataarifa tu duniani,zaidi ya watu 217M wamepatwa na Corona na kati yao watu 4.51M wamekufa,wamo wachungaji,Mapadre,Masista,Ma-alhaji,Wainjilisti...
Naangalia Azam News hapa(UTV live) ambapo taarifa ya habari ndio inaendelea. Katika taarifa yao, wameripoti kesi ya Mbowe inayoondelea Mahakama Kuu ila katika picha za Mahakamani, sijaona uwepo wa Wawakilishi wa Mabalozi waliohudhuria hiyo kesi.
Je, uwepo wao si muhimu, ni bahati mbaya tu au...
Habari zenu wakuu,
Nina mdogo wangu kamaliza form six mwaka huu (PCB)na kapata division two ya 11. Ameomba degree DOCTOR OF MEDICINE hapa nchini amekosa, Kwa sasa familia tumeamua akasome nje ya Nchi. Naomba kujua yafuatayo kwa wale wazoefu:
Ni chuo gani Rwanda kinatoa degree bora ya udaktari...
Mara nyingi Huwa napendelea kuonekana mjinga ( being underated/ underestimated). Napendelea kujiweka muonekano usiolingana na uwezo wa akili yangu, kipato changu na elimu yangu.
Wiki iliyopita nilijaza fomu la online loss report Kisha nikaenda kituo cha police kuthibitishiwa hiyo loss report...
Kwema Wakuu!!
Moja ya mambo ambayo yananikera, yananifanya nisiishi Kwa Amani, nisiishi Kwa furaha ni kuona kundi Fulani linanyanyaswa. Kwa kweli katika vitu navichukia kuliko vyote ni kuona uonevu, unyanyasaji, ukandamizaji pamoja na dhulma ndani ya jamii.
Mimi hata awe mzazi wangu akileta...
Dawa ya moto ni moto, ili katiba mpya ipatikane basi ni mwendo wa makongamano uanze.
Kama lile la Mwanza liliwatetemesha na kukubali matokeo basi tujipange kama chama tuanzishe makongamano tena.
My take: Hakuna kubaki nyuma na kurudi nyuma. Mbele kwa mbele kudai katiba mpya.
Hivi karibuni jeshi la polisi nchini Tanzania limekuwa na mazoea ya kutumia neno Gaidi na Ugaidi katika nchi yetu inayosemekana kuwa ni kisiwa cha amani!
Kwa matukio ya hivi karibuni hususani lile la mbowe la kupewa kesi ya ugaidi na hili la ndugu hamza ambalo IGP Siro amesubutu kumuita Gaidi...
"Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"
-------
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa...
Ni wazi kuwa ziara za Rais kwenye nchi jirani au kokote kule ni kuboresha mahusiano kati ya nchi hizo na Tanzania ili watanzania tufaidike. Sasa ili wananchi wafaidike wanatakiwa kwenda huko kiurahisi, lakini ajabu Tanzania taratibu za mtu kutoka nje ni ngumu sana. Kuna masuala mengi uhamiaji...
BEI YA PAMBA JUU,TOKA TZS 810 FY2020|21 HADI TZS 1,800 FY2021|22,KILA KONA YA NCHI NI SAMIA, SAMIA, SAMIA
Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg FY 2020|21 mpaka Tshs 1,720-1,800/kg FY2021|22 kwa kilo,
Hii ni sawa na ongezeko chanya la 125% liicha ya awali bei hiyo kuzinduliwa...
Kutoa taarifa za uhalifu za kila namna ndio wajibu wa kila mtanzania.
Kulipenda taifa letu kwa moyo wote.
Kuwa walipa kodi ili ziweze kusaidia watanzania kwa hali yoyote ni jambo la msingi.
Kutokukubali kufuga wahalifu, wavuta bangi, wanywa konyagi, wauza madawa ya kulevya na wanaofanya...
Saa kumi hiyo ishafika mabingwa wa nchi wanaanza Press conference bahati mbaya kuna jitu pori sijui linguruwe pori liko addicted sana na chochote kinachosemwa na mabingwa
Utasikia ohooooo alivyoona press yangu akajifanya kuitisha yake na kuweka billions 20 ili kuwatuliza, na leo utasikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.