CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 4,984
- 4,083
BEI YA PAMBA JUU,TOKA TZS 810 FY2020|21 HADI TZS 1,800 FY2021|22,KILA KONA YA NCHI NI SAMIA, SAMIA, SAMIA
Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg FY 2020|21 mpaka Tshs 1,720-1,800/kg FY2021|22 kwa kilo,
Hii ni sawa na ongezeko chanya la 125% liicha ya awali bei hiyo kuzinduliwa kuwa Tshs 1,050/kg FY2021/22,
Kwalugha rahisi kama sio Mama Samia bei ya Pamba leo ingesalia kuwa ni Tshs 1,050/kg.
Ni dhahiri hapa Mama kapindua Meza,Kasi hii ya Rais Samia Watoto wa Mjini wanaiita "Utajua Hujui" kwa muda huu mfupi wa Mama Samia bei ya Mbaazi, Kawaha, Alizeti, Korosho,Chai zote ziko juu na malipo yote yanafanyika mkono kwa mkono tena by " Cash money"
Huko nyuma hawa wakulima wa Pamba Pamoja na kupewa bei ndogo ya Pamba yao bado Watoto hawa wa Masikini waliuza Pamba yao kwa Mkopo,
Yaani " Masikini anamkopesha Tajiri " ( this could only happen in Tanzania) huwezi kukuta utaratibu huu popote duniani ila sasa "Mama hataki dhuluma, tumwombee"
Turufu pekee ya kisiasa Kanda ya Ziwa ni "Bei ya Pamba" Tangu Miaka ya 2000 Chama cha UDP cha Mzee John Cheyo na baadae Chadema kwa agenda ya "Bei ya Pamba" kwa kutumia slogani yao ya " NO CASH NO COTTON " yaani "HUNA HELA HUNA PAMBA"
wamekuwa wakiihenyesha CCM katika kila Uchaguzi kosa la CCM ikiwa ni kushindwa kudhibiti "Bei Ya Pamba " Mzee John Cheyo alifanikiwa kuitoa Pamba toka Tshs 300 hadi Tshs 800 baadae Rais Jakaya Mrisho Kikwete akaipaisha mpaka kufikia wastani wa Tshs 1,420 FY2005|06-2015|16.
Baada ya hapo bei ya Pamba imekuwa ikishuka kutoka Tshs 1,420 ya JK, to1,000 then 1,100 kisha 810 FY2020/21,
Hi ni sawa na kusema,tangu Uhuru bei ya Pamba haijawahi kufikia Tshs 1,720-1,800/kg ila ni kwa awamu hii ya Sita na Mhe Samia Suluhu ndio Rais,
Wakati Mzee Jakaya anaondoka madarakani 2014|15 bei ya kuuza pamba nje ilikuwa Tshs 2,165/kg au US$ 1,038/Tani huku Mkulima akiuza kwa Tshs 1,420/kg,
Wanunuzi|Walanguzi wa Pamba walipata faida ya Tshs 735/kg ya Pamba walioinunua,Lakini FY 2017|18 bei ya kuuza Pamba nje ilifikia US$ 1,371/Tani au Tshs 3,099,629/tani sawa na Tshs 3,010/kg huku Mkulima huyuhuyu akiuza Pamba kwa Tshs 1,100/kg, yaani katika kila "Kilo moja" ya Pamba walanguzi|Wanunuzi walipata faida ya Tshs 2,000/kg ya Pamba watakayouza nje.
Hii ni sawa na kusema Mnunuzi|Mlanguzi wa pamba FY2014|15 alipata faida ya Tshs 735/Kg kwa kununua Pamba kwa Tshs 1,420/kg toka kwa mkulima,
Na Mnunuzi huyo wa Pamba FY 2017|18 alipata faida ya Tshs 2,000/kg tena kwa Pamba aliyoichukua kwa mkopo kwa bei ya Tshs 1,100/kg baada ya kuiza nje kwa Tshs 3,010/kg.
Leo Mama Samia ameamua kupunguza faida ya Wanunuzi|Walanguzi wa Pamba ili kumtetea huyu Mlalahoi kwa Vitendo kwa kumwongezea Tshs 700/kg ya Pamba atakayouza iliyokuwa iende kwa Mnunuzi kama faida Mama ameirudisha kwa Mkulima na hii ndio maana halisi ya "Mama"