Kama tungebahatika hata kupata chama kimoja tu kinachojiendesha kitaasisi hapa Tanzania, 2025 tunge zungumza mengine, maana kilamtu leo anajua kuwa CCM inakuna nazi.
Lakini lolote linaweza tokea kwani mama tayari amesema kunavijicho choko ndani tena vinapitia kwenye vijigazeti vya Uhuru.
BBC wa ajabu Sana hawa.
Eti Tanzania ni nchi ya 23 kwa nguvu za kijeshi. Eti Congo DRC ni ya 10. Uganda 14 na Kenya 12.
1. Egypt, 2. Algeria 3. Nigeria 4 south Africa 5. Ethiopia 6. Angola 7. Sudan 8. Morocco 9.Libya na 10 ni Congo DRC.
Maajabu hayaishi duniani. Mbona Libya, Ethiopia, Congo...
Tanzania ni nchi ya pili barani Afrika kwa kuwa na Uhuru mkubwa wa kutoa maoni baada ya Africa kusini iko chini kidogo ya Uingereza||
Je! CHADEMA mnalijua hili?!
" Hakuna kama Samia "
GOODNEWZ: Tanzania rasmi nchi ya pili Barani Africa kwa uhuru wa kujieleza|kutoa maoni baada ya Africa ya...
Wasalaam,
Leo ilikuwa maadhimisho ya cku ya demokrasia duniani ambapo kwa hapa tanganyika mgeni rasmi alikua mh Rais wa JMT. Sasa nimesikitika na vijembe alivyokua akirusha wakati akihutubia ikiwemo kauli za kibaguzi dhidi ya wanaume.
Mh Samia hajaongelea hali ya demokrasia hapa tanganyika...
Waziri Mkuu wa Haiti, Ariel Henry amepigwa marufuku kuondoka Nchini humo kufuatia uchunguzi unaoendelea kuhusu kuhusika kwake katika mauaji ya Rais Jovenel Moïse yaliyotokea Julai 2021
Mwendesha Mashtaka anatazamia kufungua mashtaka dhidi ya Henry ambaye ametakiwa kuelezea uhusiano wake na...
Kama anavyotambulishwa, jina lake ni Zacharia Hans Poppe, ambaye alizaliwa mwaka 1956 mjini Dar es Salaam na kukulia mkoani Iringa.
-
Baada ya kumaliza elimu ya sekondari, Zacharia alijiunga na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambako alifikia cheo cha Kapteni
-
Kabla ya kuachishwa kazi na...
Wadau,
Kwa wenye ufahamu naomba kujua ikiwa nataka kusafiri na line ya simu (sim card), nifanyeje ili niweze kukaa nayo nje ya nchi kwa muda mrefu bila kufungiwa.
Natanguliza shukrani
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Taifa la Ethiopia limekaribisha mwaka mpya hivi karibuni, licha ya kuwepo kwa baadhi ya madhila ya vita na njaa hasa upande wa mashariki wa taifa hili. Fahamu zaidi kuhusu kalenda ya mwaka wa kipekee wa Ethiopia kama urithi wa nchi hiyo.
1) Mwaka ambao una miezi 13...
Zipo sababu nyingi za nchi kufahamika kwa jina lililopo, baadhi ya sababu hizo ikiwa ni pamoja na lugha ya asili ya wazungumzaji, wageni au wafanyabiashara waliofika katika eneo hilo, jina la mtu maarufu au eneo maarufu katika nchi hiyo nk. Hakuna sababu moja iliyosababisha kila nchi kupata jina...
Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania,
"Hakuna kama Samia"
Nchi yetu imetajwa kwenye orodha ya nchi kumi zenye gharama ndogo kwenye kununua GB1 ya internet barani Africa kwa tathmini iliyofanywa mwezi uliopita.
Bei ya juu ya...
Shirikisho la Volleyball Afrika limechukua uamuzi wa kuitoa Tanzania ktk Mashindano ya Volleyball ya Mataifa Afrika yanayoendelea Rwanda, kwa kushindwa kulipa ada ya ushiriki $1,000 na $50 kwa kila mtu kwa siku 12
Hii ni aibu kwa Taifa letu
Mawaziri wote kwenye viapo vyao huwa wanaapa kuhifadhi, kuitetea na kuilinda katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Kiapo hicho ni sheria na hupaswa kufuatwa kwa mtu yeyote anayepewa dhamana ya uwaziri kwani anakuwa anafanya kazi kwa niaba ya Rais wa nchi.
Jambo la kushangaza badala ya...
Uongozi wa Taliban nchini Afghanistan umesema upo tayari kufanya kazi na nchi zote duniani isipokuwa Israel.
Msemaji wa Kundi hilo, Suhail Shaheen ameliambia Shirika la Habari la Sputnik News la nchini Urusi kuwa Taliban ipo tayari kufanya kazi na Marekani hata baada ya kusubiri kwa miaka 20...
Hapa chini ni bookings za ATCL & Precision zilizofanywa na vijana fulani wanaotarajia kusafiri miezi kadhaa ijayo.
Tarehe, destinations na madaraja - vyote vinafanana kwa bookings zote mbili.
Tumekuwa tukiaminishwa kuwa ATCL, pamoja na malengo mengine, ipo kwa ajili ya kuwahudumia Watanzania...
Rais wa zamani wa Afghanistan Ashraf Ghani ameomba msamaha kwa watu wa Afghanistan baada ya kukimbilia katika nchi za Falme za Kiarabu.
"Kuondoka Kabul ulikuwa uamuzi mgumu zaidi maishani mwangu," amesema, akiongeza kuwa anajuta kwamba "hakuweza kumaliza hilo kwa njia tofauti."
Bwana Ghani...
Tarehe 8 Septemba ya kila mwaka ni siku ya kimataifa ya kujua kusoma na kuandika, ambayo pia inafahamika kama siku ya kisomo. Siku hii inaadhimishwa ili kufuatilia maendeleo ya sekta ya elimu katika nchi mbalimbali, duniani hasa elimu ya msingi ambayo lengo lake kuu ni kufuta ujinga. Lakini...
Wadau wa Biashara na Uchumi,
Nchi yetu inapitia kwenye hatua za makusudi za kuinua uchumi ulioathiriwa vibaya na corona. Tunatoa wito kwa kila mdau wa sekta yoyote, asimuachie jukumu hili kiongozi wa nchi pekee.
Sisi tumeamua kuangalia upande wa sekta yetu ya usafirishaji. Tumeona namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.