Habari za muda huu wanabodi,
Bila kuchelewa naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Hapa nchini Tanzania tunayo Mamlaka ya Usafirishaji nchi kavu iliyoundwa miaka ya karibuni kuratibu na kusimamia usafirishaji kwa nchi kavu. Mamlaka hii ndiyo yenye jukumu la kupanga na kusimamia gharama za...
mpaka kufika sasa hizi ndiyo nchi ambazo raia wake wameuana sana.
Nigeria vifo 64,201
Brz 57,000
Mex 37000
Sa 21,000
Us 16,000
kwa EA
Tz 3500
Ke 2500
Ug 4500
Watu watano wanaripotiwa kutiwa mbaroni katika nchi za Tanzania, Ghana na Senegal wakihusishwa na jaribio lililotibuliwa la shambulio dhidi ya Watalii wa Israel, Kituo cha Televisheni cha Channel 12 cha Israel kimeripoti.
Kituo hicho kimenukuu taarifa za kiintelijensia zikionesha kuwa watu hao...
Kwanza kwa sasa wana Rais anayejielewa sana. Si mtu wa blah blah. Na pili wanatengewa pesa nyingi sana za maendeleo. Nimesikia wametengewa bilioni 250 ya pesa za Covid.
Ni pesa inayoweza kufanya makubwa sana ukizingatia kuwa Zanzibar ni nchi ndogo na yenye watu wachache sana.
Zanzibar...
WAANDISHI MAKANJANJA NI HATARI NDANI YA NCHI.
Anaandika Robert Heriel.
Leo nitatumia lugha ngumu kidogo, nafahamu nazungumzia kazi za watu ambazo zinawaingizia kipato. Hata hivyo Nia yangu sio kuonyesha ubinafsi, kuwaonea kijicho, isipokuwa kuwataka wabadilike, ili tujenge jamii Bora na taifa...
Mpaka sasa, Jambo lilo wazi katika vita ya Ethiopia ni mkono wa nchi za magharibi katika mgogoro huo.
Baadhi ya viashiria vinavyoonyesha mkono wa nchi za magharibi katika vita hiyo:
matumizi ya magari ya FAO yaliyopeleka msaada wa vyakula na waasi wa TPLF.
Ushahidi wa Marekani na washirika...
Kikatiba endapo Rais aliyepo madarakani hapa Tanzania akifa makamu wake ndiye anatakiwa awe mkuu wa Nchi bila uchaguzi wowote kufanyika.
Jambo ambalo ni hatari mno na ni risk kwa mkuu wa Nchi awaye endapo tu msaidizi wake watakuwa na kuhitilafiana hali ambayo pengine kibinadamu inaweza kuleta...
Nahisi Dodoma, Dar es Salaam na Zanzibar sasa Viti ni vya Moto na imebidi Wanasiasa wa Zanzibar na Kigoma tubuni Mbinu, tugawane Majukumu na kuamzisha Utaratibu wa ghafla wa Kuwatembelea Wastaafu waliotutangulia tulipo sasa maeneo ya Masaki.
Tumeingia Machi na sasa ni Novemba tayari tunaenda...
Kufeli kwa serikali ya CCM sasa kumegonga pentagoni. Jiji la Dar es laam sasa limegeuka jiji la uhaba wa maji na umeme.
Kwenye ishu ya maji, kuna mgao wa siku tatutatu na maji yanatoka masaa machache kisha yanakatika.
Hali hiyo imefanya watu waanze kuhangaika na ndoo na madumu kutafuta maji...
Mbunge Mwita Getere ameitaka Serikali kutafuta Mfumo thabiti ili Wastaafu waweze kupata Fedha zao akisema "Watu wanakufa wanadai hela. Kwanini mtu ametumikia Nchi hii anakufa anadai hela?"
Ameongeza, "Suala la Wastaafu ni kero kubwa katika Nchi yetu. Serikali inatakiwa kujitahidi kwenye suala...
Na Caroline Nassoro
Karne hii ya 21 inajulikana kama karne ya Sayansi na Teknolojia. Sekta hii imepewa umuhimu wa kipekee katika zama hizi, na ni ajabu kama utakuta mtu hana japo simu ya mkononi, kwani siku hiz, hususan simu janja (smart phones) ni sawasawa na benki, shajara, na kila kitu...
Wanabodi,
Kama mtanzania, inawezekana umepata nafasi kufuatilia yanayojiri nchini Scotland kwenye mkutano unaohusu mabadiliko ya tabia nchi. Mkutano huu umehudhuriwa na viongozi wengi akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alihutubia mkusanyiko huo.
Tofauti na nchi kama China, Marekani na...
Leo Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amehutubia mkutano wa Tabia nchi unaofanyika Scotland, katika hotuba yake fupi na kuongelea Tanzania ilivyoathirika na mabadiliko ya tabia nchi ikiwemo kuongezeka kwa kina cha bahari na kutafuna ardhi yenye rutuba, kuyeyuka kwa barafu ya mlima Kilimanjaro pia...
Rais Samia Suluhu kwa kutumia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA,
Huu ni muonekano wa Daraja jipya la Fundimbaga lenye urefu wa mita 45 katika barabara ya Tabora - Fundimbaga,
Daraja hili linalounganisha kata za Matemanga na Marumba Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma...
Awali ya yote Mimi ni mojawapo ya Kijana ambaye nafarijika kuona Mhe.Rais wetu akisafiri nje za Nchi na kufungua Fursa za mambo mengi ikiwemo kuitangaza, Nchi yetu kimataifa pamoja na kuvutia wawekezaji wengi kuja Tanzania pia.
Lakini Kuna kitu nakiona kama hakipo sawa,kwenye suala la Utalii...
Wakati wa uongozi wake aliwahi sema kuwa watu wasimuandame kuwa anasafiri sana. Alisema kuwa huko watu wanapesa sana hivyo ni muhimu atoke akahemee.
So kama JK akiombwa ushauri wa kuongoza nchi bila shaka ushauri wa kutoka na kuomba kwa kila anayeonekana ana pesa utakuwa ni wa kwanza kabisa...
Limkutano huko Arusha lilikuwa na mbwembwe kwelikweli aisee yaani nimekaaa hapa natengeneza apps fulani bando limeisha kabisa kushoto kulia hata buku 3 ya kupata gb 2 sina niweze kuchukua baadhi ya vitu online na kucheki tutorials
Ama kweli hili li nchi nuksi sana , walivyokuwa wanajiliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.