Hivi kuna hivi vifaa nchi hii?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,336
Habari za muda huu wadau,

Nauliza kwenu hivi naweza kupata wapi vifaa vya kutengeneza ''Mini Tv cable"..Yani nakua na visimbuzi vitatu Azam,DSTv na startimes halafu na vicombine chanell zake naangalia kwenye tv 3 tofauti pia.

Let say Nina king'amuz Cha Azam , DSTv na startimes.. ..jikon. waangalie Sinema zetu wakimalza wanahamia magic Swahili au starswahili.

Wakati huohuo sebleni waangalie supersport 3 bila kubadil king'amuz wanaeza kuangalia tv3 ama azamsport1?
 
Most of time wanatumia Modulator, zinaconvert signal kwenda analog waya wa Coaxial, vya kawaida vyenye input 1 ama 2 bei zake ni za kawaida tu ila jinsi unavyokua na input nyingi ndio jinsi bei inakua ndefu, inafika laki 4 na zaidi kwa input nyingi.

Kifaa kinakua kama hivi
images.jpeg-51.jpg

Kariakoo utapata, hasa. Maeneo ya uhuru na msimbazi, mahotel, cable tv na majumba makubwa mengi wanatumia ni kitu chenye demand huku kwetu.
 
View attachment 2748467

Kariakoo utapata, hasa. Maeneo ya uhuru na msimbazi, mahotel, cable tv na majumba makubwa mengi wanatumia ni kitu chenye demand huku kwetu.

Ukiacha hii technology gani ingine inaweza kutumika kuwezesha hili?
 
Ya bei rahisi splitter,
_20230914_012942.JPG

Splitter inaweza kuwa ya Hdmi ama hizo RCA sema Hio badala ya kutumia remote kubadili Chanel unatumia hicho kidude kubadili kifaa gani kionekane kwenye tv.

Kwa wanaojiweza Receiver/Home thatre/ Amplifier zinakuja na option ya ku combine vifaa vyako Vyote waya mmoja tu utaenda kwenye tv, weakness ya njia hii utatumia remote ya receiver kubadili chanell.
Onkyo-TX-NR585-front-and-back-770x665.jpg

Pia kama njia ya juu inayotumia analog waweza tumia digital pia, Sema digital siku zote converter ni Gharama. Huku Tanga ama Dar pia kuna watu wanarusha Mawimbi Digital wanatumia Terestrial hizi DVB T kama Azam. Ila vifaa vitakua bei sana.
 
Ya bei rahisi splitter,
View attachment 2748514

Splitter inaweza kuwa ya Hdmi ama hizo RCA sema Hio badala ya kutumia remote kubadili Chanel unatumia hicho kidude kubadili kifaa gani kionekane kwenye tv.

Kwa wanaojiweza Receiver/Home thatre/ Amplifier zinakuja na option ya ku combine vifaa vyako Vyote waya mmoja tu utaenda kwenye tv, weakness ya njia hii utatumia remote ya receiver kubadili chanell.
View attachment 2748518

Pia kama njia ya juu inayotumia analog waweza tumia digital pia, Sema digital siku zote converter ni Gharama. Huku Tanga ama Dar pia kuna watu wanarusha Mawimbi Digital wanatumia Terestrial hizi DVB T kama Azam. Ila vifaa vitakua bei sana.
Hakuna technology ya kutumiwa na nchi nzima?
 
Sheria haziruhusu, ila watu wanafanya siku nyingi, cable tv.
Mkuu unaweza tupo garama ya kununua hivyo vifaa ili nijue namna ya kudili na Hawa jamaa wa visimbuzi maana Kuna sehemu tupo kotazi Kama garama itakuwa imepoa tununue vifaa tu tuunge na dish la DSTV
 
Juu tayari tumeshazungumzia mkuu, Ki proffesional itakucost kama 1M kuconvert ving'amuzi vingi kwenda analog, kila King'amuzi kinatoa chanell moja ama mbili. Ila kama ni King'amuzi kimoja haifiki hata 50,000 ama kama ni chini ya vitano pia bei inakua around 300,000
 
Mkuu please mimi bado sijaelewa vizuri,naomba nisaidie:

1.Je,ni kwamba ninaweza kucombine ving'amuzi vingi kisha nikatumia TV screen moja kuangalia channel yoyote ninayoitaka kutoka mojawapo ya king'amuzi?

2.Je,ni kwamba ninaweza kucombine ving'amuzi vingi kisha nikaweka TV screen kwenye vyumba tofauti tofauti na kila chumba wakaangalia channel yoyote wanayoita kutoka mojawapo ya king'amuzi?

3.Je,kila king'amuzi kitakuwa na dish lake?

4.Je,kwenye hizo TV screen, nitaweza kupata matangazo katika HD?

5.Je,ninaweza kutumia kin'gamuzi kimoja kisha kila chumba kikawa na TV screen yake na kila mmoja kuchagua channel anayoitaka?
 
Moja na mbili zote ni sahihi, mfano una Startimes, Azam, Dstv unacombine vyote vitatu na kupata chanell tatu ambazo unabadilishia kwenye tv. Kuna ving'amuzi kama vya dstv vina output mbili kama wanavyotumia mabanda ya mpira kuonyesha mechi 2 ina maana kwa case hii utapata Chanel 4 badala ya 3.

Na sababu ni analog na Coaxial zina uwezo wa kusafirisha data umbali mrefu unaweza Unga tv za kijiji kizima.

Kama muelekeo ni mmoja unaweza ku share Dish, ila kama muelekeo tofauti inabidi kila kimoja kiwe na Dish lake.

Analog most of time inakoma 480p-540p mkuu, sababu output ya zile decoder hivi vifaa inachukua kwa RCA ila naamini kama una kifaa cha kisasa ambacho kitapokea HDMI na una Coaxial zile nene 720P it's possible ile 1080p na 4k ngumu. Issue ni kwamba analog lazima iwe na Chenga chenga hata kama ni HD.

Huwezi, na ndio busara ya juu ya kuwa na ving'amuzi vingi, at best utapata chanell 2 kila kingamuzi, wale jamaa wa Cable wanakuwa na ving'amuzi 10 ama zaidi ndio maana unapata chanell kibao za kuchagua.
 
Shukran mkuu
 
Back
Top Bottom