Baada ya suala la Ngorongoro, Tundu Lissu ameenda Belgium & USA

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,100
49,795
Je Tundu Lisu Ameenda kutoa ripoti na mrejesho Kwa Wanaomfadhili? Huyu bwana huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka, akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu.

Je, Serikali haioni ni wakati muafaka sasa kumdhibiti huyu kibaraka kabla ya kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa wanaomtuma huko Ulaya kwa kina Armstadam?

"Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA ameondoka nchini siku ya juzi kupitia mpaka wa Namanga kuelekea Nairobi akiwa ameanza safari ya kuelekea katika nchi Ubelgiji na Marekani."

View: https://twitter.com/Nipashetz/status/1702221539293135325?t=-_SmKjNv1bZJvmjmqLYuUA&s=19

My Take
Serikali msichezee amani yetu Kwa kuchekea Hawa vibaraka waliovaa ngozi ya kondooo, wengine hatuna pa kukimbilia, familia zetu ziko Tanzania, huyo mnaemchekea familia yake ipo huko anakokwenda.

20230912_082634.jpg
 
Huyu bwana Huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka ,akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu.

Je Serikali haioni ni wakati muafaka Sasa kumdhibiti Ili asije kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa wanaomtuma huko Ulaya kwa kina Armstadam?

View: https://twitter.com/earadiofm/status/1701828413105815922?t=YBj2HGNAPz1j0Ovi2iQHdw&s=19

My Take
Serikali msichezee amani yetu, wengine hatuna pa kukimbilia,familia zetu ziko Tanzania,huyo mnaemchekea familia yake ipo huko anakoenda.

Huko Ulaya na US si ndio huko serikali ina madeni yasiyolipika? Si ndio huko mama alianzia filamu ya Royal Tour, au rais akienda ulaya ni sahihi, lakini akienda Tundu Lisu ndio nongwa?
 
Huyu bwana Huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka ,akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu.

Je Serikali haioni ni wakati muafaka Sasa kumdhibiti Ili asije kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa wanaomtuma huko Ulaya kwa kina Armstadam?

View: https://twitter.com/earadiofm/status/1701828413105815922?t=YBj2HGNAPz1j0Ovi2iQHdw&s=19

My Take
Serikali msichezee amani yetu, wengine hatuna pa kukimbilia,familia zetu ziko Tanzania,huyo mnaemchekea familia yake ipo huko anakoenda.

View attachment 2747518

Acha ukasuku, katika mikutano aliyofanya wapi palitokea vurugu? Mnaaminishwa ujinga na viongozi wabovu walioshindwa uongozi na kukimbilia fitina
 
Huyu bwana Huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka ,akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu.

Je Serikali haioni ni wakati muafaka Sasa kumdhibiti Ili asije kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa wanaomtuma huko Ulaya kwa kina Armstadam?

View: https://twitter.com/earadiofm/status/1701828413105815922?t=YBj2HGNAPz1j0Ovi2iQHdw&s=19

My Take
Serikali msichezee amani yetu, wengine hatuna pa kukimbilia,familia zetu ziko Tanzania,huyo mnaemchekea familia yake ipo huko anakoenda.View attachment 2747518

ukiuliza majority ya watu walioichoka ccm, kuwaambia haya ni furaha kwao. wengi wanaamini kama huko anakoenda TL wanaweza kutoa msaada wowote kuiondosha sisiemu, basi bora aendelee tu kwenda huko, manake bila hivyo masisiemu watauza kila kitu kwenye hii nchi. hapo sasa ccm ndio wajiulize, kwa naman wanavyoendesha nchi wanajenga uzalendo kwa watu au wanabomoa?
 
ukiuliza majority ya watu walioichoka ccm, kuwaambia haya ni furaha kwao. wengi wanaamini kama huko anakoenda TL wanaweza kutoa msaada wowote kuiondosha sisiemu, basi bora aendelee tu kwenda huko, manake bila hivyo masisiemu watauza kila kitu kwenye hii nchi.
Wamlaumu mzungu kwamba anachukua mbuga zao harafu tena aende huko huko Kwa mzungu wanamtumia kuharibu Nchi.

Taahira ndio atakuelewa.
 
Acha ukasuku, katika mikutano aliyofanya wapi palitokea vurugu? Mnaaminishwa ujinga na viongozi wabovu walioshindwa uongozi na kukimbilia fitina
Amekuwa anaeneza chuki, jitie ufahamu mwenzio ana pa kukimbilia, familia yake Iko huko Kwa bwanzake
 
Kumbe ni Lissu ni mwenyekiti wa chama cha Chadema? Wewe na EA radio pengine mnatatizo la kutunza kumbukumbu au mmechanganyikiwa au pengine hamjui ni nani amekwenda uko mlipopataja

Haya ni matatizo ya watu kukurupuka ili mradi tu aonekane ameleta uzi
 
Kwa hali hii ni vema CCM ikapigwa kwa kutumia silaha zote zilizopo. Hivyo ni vema Lissu akaijulishe Dunia yale yaliyojificha ndani ya kilemba cha Bi mkubwa na serikali yake.
Ikiwemo DP-WORLD na Loliondo gate!
DP-WORLD
 
hii nchi watu wote ni wajinga,mama mboga wanateseka barabarani biashara ngumu ila ni wafuasi wa chama kinachowaumiza

hakika kila mtu ni mjinga
 
Nchi imekopa ila hatutumiwi kama Lisu msaliti kuvuruga amani ya Nchi Kwa sababu yeye ana pa kukimbilia.
Sio amani ya nchi, sema kuondoa uoga wa wananchi. Nchi gani ya kumtumia Lisu, ni kipi wamekosa kwa hawa majizi wa kura wa CCM hadi wamtumie Lisu?
 
Kama anatumiwa kutupa wananchi wa Tz elimu nzuri ya kisiasa ni jambo zuri sana la kupongeza.
Hongereni Wazungu.
Changa la macho Kwa sababu Yuko Nje ya Utawala ila nadhani unalijua kilichozikita Nchi zingine ambazo Wapinzani walitumiwa.
 
Sio amani ya nchi, sema kuondoa uoga wa wananchi. Nchi gani ya kumtumia Lisu, ni kipi wamekosa kwa hawa majizi wa kura wa CCM hadi wamtumie Lisu?
Ulaya na Marekani Kwa sababu Lisu Yuko kinyume na sera za Russia na China
 
Back
Top Bottom