Ukweli Mchungu: Marekani ni nchi ya dunia ya tatu

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,128
Nchi ya dunia ya tatu ni nini? Nchi ya dunia ya tatu ni nchi yoyote ile isiyo na usalama wa uhakika( wa kutosha ) kwa raia wake na watu wote wanao ishi ndani yake.

Vitu hivi huwezi kuvipata Marekani.

Marekani hakuna usalama wa uhakika. Hakuna utu. Watu wanauana kwa sababu za kijinga kabisa. Wanaoneana wivu na husda.

USA to a large extent is a drug infected society ( thanks to Fidel Castro)

Gun culture. Gang culture is a normal thing in the US.

I feel more safe in Kigali or Saudi Arabia than in the US.

Is USA a first world country? In terms of development of infrastructures yes but not in terms of social life.

what about technology? No ! Why? USA technology is a polluting technology.

Polluting technology is close to no technology at all.

Technology must be non polluting for it to be called technology.

# USA is a third world country
 
Mbona ndugu zetu wote waliopo marekani bado wapo hai? Kuogopa kifo ni ujinga you need to live like no tomorrow
 
Hata kudhibiti silaha wameshindwa au ndio democracy wanayo ihubiri ?

Mbona kuna mataifa mengi ya Ulaya yapo safe kuliko U.S.A na ya mtindo wa kidemokrasia kama wa U.S.A
Wao silaha ni biashara kubwa sana kwa makampuni yanayotengeneza na wengi wakubwa wamo kama shareholders kwa hiyo wanaitetea kwa nguvu zote na hakuna wa kuweza kufuta sheria za uuzaji wa silaha

Obama alijifanya kupinga na kuleta sheria ila ilipingwa vikali
Ni nchi pekee unaweza kuwa arsenal ya silaha zote hata Mia hakuna anaekukataza

Kuhusu madawa pia wamo wakubwa maadam wao hawatumii ila yanaingia na mpaka Afghanistan wanajeshi walikwenda kwa ajili ya Opium inayotengenezwa Heroin na ni baishara ambayo inategemewa kwa mapato

Ukiangalia na Mexico wanaoingiza madawa ya kukevya kila leo.

Hiyo nchi sijaipenda maisha yangu na siwezi kwenda hata kutembea
Niko 🇬🇧 kuna amani zaidi ya 🇺🇸 maana hata police hawqtembei na pistols lakini vunja sheria uone
 
Marekani hakuna usalama wa uhakika ni sawa

Ila nataka nikuambie hakuna nchi yoyote yenye kukupa guarantee ya uhakika wa usalama.

Uganda, Kenya na Saud Arabia zote zimezidiana point moja moja kwenye statics ya Global Peace index.

Saud Arabia ni ya 119
Kenya ni ya 120
Uganda ni ya 121

Hizo zote zimezidiwa na Zambia ambayo ni ya 59.

Kwa maana hiyo tukija kwenye hoja yako ni bora ukaishi Zambia kuliko Saud Arabia.
 
Wao silaha ni biashara kubwa sana kwa makampuni yanayotengeneza na wengi wakubwa wamo kama shareholders kwa hiyo wanaitetea kwa nguvu zote na hakuna wa kuweza kufuta sheria za uuzaji wa silaha

Obama alijifanya kupinga na kuleta sheria ila ilipingwa vikali
Ni nchi pekee unaweza kuwa arsenal ya silaha zote hata Mia hakuna anaekukataza

Kuhusu madawa pia wamo wakubwa maadam wao hawatumii ila yanaingia na mpaka Afghanistan wanajeshi walikwenda kwa ajili ya Opium inayotengenezwa Heroin na ni baishara ambayo inategemewa kwa mapato

Ukiangalia na Mexico wanaoingiza madawa ya kukevya kila leo.

Hiyo nchi sijaipenda maisha yangu na siwezi kwenda hata kutembea
Niko 🇬🇧 kuna amani zaidi ya 🇺🇸 maana hata police hawqtembei na pistols lakini vunja sheria uone
Upo sahihi
 
Back
Top Bottom