Matapeli na wahalifu kutoka nje ya nchi wameanza kuongezeka Tanzania; wananchi msiwape imani wageni chukueni taadhari

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
882
4,127
Ndoa za kitapeli zimekuwa nyingi kwa sasa nchini ambapo wazee kutoka Ulaya na maeneo mengine wamejikita kuwaoa au kuolewa na ndugu zetu.

Wengi wanakwepa sheria za nchi za mgeni kuishi au kufanya kazi Nchini.Baadhi wanakwepa kodi ila wengi watakuwa wahalifu wanaosakwa huko kwao wameamua kujificha Tanzania.

Tulioishi nje tunafahamu hii mikakati yakukwepa sheria za ndani. Lakini kwa tuna athari kubwa zaidi kwasababu wananchi wetu niwakatimu sana bila kujua dunia haina ukarimu.

Wananchi chukueni taadhari na hawa wageni raia wa Nigeria, Ghana na Mataifa ya magharibi wanaoishi na wototo wenu. Kama siyo waalifu basi niwakwepa kodi. Tusanuke.

Unaweza ukaishi na gaidi au muuaji bila kujua....tuwachunguze hawa watu ikiwemo kuwaripoti kwenye mamlaka husika. Lakini pia vyombo vya dola acheni kuwaogopa wazungu ni wepesi sana kutumika kutengeneza mikakati ya uhalifu. Nimeona rafiki yangu alivyopigwa kitapeli, anakuja kushtuka tapeli yupo south Afrika anakula raha.

Mtanzania akiambiwa ni mwanahisa wa kampuni anafurahia kumbe amewekwa kufanikisha kufungua kampuni na wakimaliza kutumia details zake hakuna cha faida wa gawio.....labda wakuajiri kwa low pay. Mwanahisa asiye na say
 
Kuna Vijana wa Kinejeria wamevamia Nchi kama kumbikumbi. Kigamboni, Sinza na Mbezi Beach ndiyo maeneo yaliyo na hawa viumbe wengi. Kazi inafanyika Tanzania hatujawahi kukaa kinyonge mjue
 
Ndoa za kitapeli zimekuwa nyingi kwa sasa nchini ambapo wazee kutoka Ulaya na maeneo mengine wamejikita kuwaoa au kuolewa na ndugu zetu.

Wengi wanakwepa sheria za nchi za mgeni kuishi au kufanya kazi Nchini.Baadhi wanakwepa kodi ila wengi watakuwa wahalifu wanaosakwa huko kwao wameamua kujificha Tanzania.

Tulioishi nje tunafahamu hii mikakati yakukwepa sheria za ndani. Lakini kwa tuna athari kubwa zaidi kwasababu wananchi wetu niwakatimu sana bila kujua dunia haina ukarimu.

Wananchi chukueni taadhari na hawa wageni raia wa Nigeria, Ghana na Mataifa ya magharibi wanaoishi na wototo wenu. Kama siyo waalifu basi niwakwepa kodi. Tusanuke.

Unaweza ukaishi na gaidi au muuaji bila kujua....tuwachunguze hawa watu ikiwemo kuwaripoti kwenye mamlaka husika. Lakini pia vyombo vya dola acheni kuwaogopa wazungu ni wepesi sana kutumika kutengeneza mikakati ya uhalifu. Nimeona rafiki yangu alivyopigwa kitapeli, anakuja kushtuka tapeli yupo south Afrika anakula raha.

Mtanzania akiambiwa ni mwanahisa wa kampuni anafurahia kumbe amewekwa kufanikisha kufungua kampuni na wakimaliza kutumia details zake hakuna cha faida wa gawio.....labda wakuajiri kwa low pay. Mwanahisa asiye na say
Tanzania Tumedanganywa.

1.Hakuna kullizana majina na kabila
2.Hakuna kuulizana kazi
3. Hakuna kullizana dini.
4. Hakuna kuulizana makazi.

Hovyo kabisa . Hapo ndipo wavamizi wanatumia huu mwanya kukaa bongo bila wasiwasi.
 
Mpaka mtu una tapeliwa maana yake tamaa umeweka mbele au tuseme tapeli labda katumia njia za giza.

Yote kwa yote afisa uhamiaji ni jukumu lao hili wafuatilie.
 
Lakini si kuliruhusiwa sera ya mgeni kumiliki aridhi na kujenga kama Mtz

Sasa kama mnaowasema ndio hao?
 
Back
Top Bottom