Raia Iran wafanya maandamano ya furaha, maana furaha ni haram kwa hiyo nchi inayooongzwa kidini

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,439
Nchi ya Iran inayoongozwa kwa itikadi za dini ya kiislamu huwa imeharamisha vitu vingi sana ikiwemo kucheza kwa furaha, sasa raia wa Iran wameanzisha aina mpya ya maandamano ili kujitoa kwenye utumwa wa kidini, wanacheza kwa furaha nchi yote na kupachika video kwenye mitandao, japo pia wanakamatwa kamatwa kisa furaha.

Dini ikifuatwa neno kwa neno yaani inapaswa uwe umenuna muda wote, kila kitu haram hata mchezo wa mpira haram, kucheka haram, yaani hehehee
===============

View: https://www.youtube.com/watch?v=J4oNKD3xqNI

It all started when a 70-year-old fish market stall owner nicknamed “Booghy” was grooving in public, in violation of Iranian law.
A new form of protest against the government is rocking Iran: a viral dance craze set to an upbeat folk song where crowds clap and chant the rhythmic chorus, ‘oh, oh, oh, oh.’

In cities across Iran men and women of all ages are gyrating their hips, swirling their arms in the air, and chanting the song’s catchy lines, according to videos posted on social media, television news channels like BBC Persian and Iranians interviewed.

https://www.nytimes.com/2023/12/16/...rans-clerics.html?mwgrp=a-dbar&smid=url-share
 
Sikiliza Mr uharo hizo porojo unazoleta JF unaokotoa kwenye vijiwe vya mataputapu unaleta JF eti Iran mpira marufuku🤣 hii timu ya taifa ya wapi
 
Attachments

  • IMG_8237.jpeg
    IMG_8237.jpeg
    67.5 KB · Views: 1
Irani hataki usenge kwenye taifa lake kiashawambia yeyote ambaye anataka mambo ya kishoga kwa hapa Iran atanyongwa waende mataifa yanaopenda ushoga.
 
Nchi ya Iran inayoongozwa kwa itikadi za dini ya kiislamu huwa imeharamisha vitu vingi sana ikiwemo kucheza kwa furaha, sasa raia wa Iran wameanzisha aina mpya ya maandamano ili kujitoa kwenye utumwa wa kidini, wanacheza kwa furaha nchi yote na kupachika video kwenye mitandao, japo pia wanakamatwa kamatwa kisa furaha.

Dini ikifuatwa neno kwa neno yaani inapaswa uwe umenuna muda wote, kila kitu haram hata mchezo wa mpira haram, kucheka haram, yaani hehehee
===============

View: https://www.youtube.com/watch?v=J4oNKD3xqNI

It all started when a 70-year-old fish market stall owner nicknamed “Booghy” was grooving in public, in violation of Iranian law.
A new form of protest against the government is rocking Iran: a viral dance craze set to an upbeat folk song where crowds clap and chant the rhythmic chorus, ‘oh, oh, oh, oh.’

In cities across Iran men and women of all ages are gyrating their hips, swirling their arms in the air, and chanting the song’s catchy lines, according to videos posted on social media, television news channels like BBC Persian and Iranians interviewed.

https://www.nytimes.com/2023/12/16/...rans-clerics.html?mwgrp=a-dbar&smid=url-share

Iran ni miongoni mwa mataifa machache sana hapa duniani ambayo yenye watu (Waajemi)wenye akili kubwa sana. Endapo kama watawala wa nchi hiyo wangewaongoza vizuri wananchi hao basi Iran ingekuwa miongoni mwa nchi zenye Uchumi mkubwa zaidi hapa duniani, isingekosekana kwenye kundi la nchi kumi bora kwa uchumi mkubwa. Mfumo wao wa Utawala unaofuata misimamo mikali zaidi ya kidini (Sharia) ndiyo inayowaangusha sana watu hawa.
 
Hiki nimewahi kukisema humu, dini imechelewesha sana Iran, hao Waajemi ni aina ya watu wenye akili sana.
 
Nyie mnaoongozwa vizuri huko njini kwenu mumewazidi kipi iran taja hata kimoja tukijue
Iran kamatieni hapo hapo mupo sehem sahihi
Iran taifa teule
Iran ni miongoni mwa mataifa machache sana hapa duniani ambayo yenye watu (Waajemi)wenye akili kubwa sana. Endapo kama watawala wa nchi hiyo wangewaongoza vizuri wananchi hao basi Iran ingekuwa miongoni mwa nchi zenye Uchumi mkubwa zaidi hapa duniani, isingekosekana kwenye kundi la nchi kumi bora kwa uchumi mkubwa. Mfumo wao wa Utawala unaofuata misimamo mikali zaidi ya kidini (Sharia) ndiyo inayowaangusha sana watu hawa.
 
Nyie mnaoongozwa vizuri huko njini kwenu mumewazidi kipi iran taja hata kimoja tukijue
Iran kamatieni hapo hapo mupo sehem sahihi
Iran taifa
Iran ni miongoni mwa mataifa machache sana hapa duniani ambayo yenye watu (Waajemi)wenye akili kubwa sana. Endapo kama watawala wa nchi hiyo wangewaongoza vizuri wananchi hao basi Iran ingekuwa miongoni mwa nchi zenye Uchumi mkubwa zaidi hapa duniani, isingekosekana kwenye kundi la nchi kumi bora kwa uchumi mkubwa. Mfumo wao wa Utawala unaofuata misimamo mikali zaidi ya kidini (Sharia) ndiyo inayowaangusha sana watu hawa.
Huenda wewe ndio hujanielewa sasa
Hakuna mahali popote pale ambapo nimesema kwamba nchini kwetu aidha tunaongozwa vizuri au vibaya. Elewa comment yangu please.
 
Back
Top Bottom