nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Nimeokota chungu kizuri njia panda kilikuwa na madawa, nataka nikasafishe nitumie kupikia. Ni sawa kweli?

    Habari zenu wana Forum, Leo wakati natembea nimekuta chungu kizuri sana kimefunikwa njia panda. Nilivyokiangalia, ndani kilikuwa na mabaki ya madawa fulani hivi ya kienyeji na bado kiko kwenye hali nzuri sana na hakijavunjika. Kwa jinsi kilivyo kizuri na thabiti, nimeona ni haramu kukiaacha...
  2. JamiiForums Tanzania Nataka nifungue mgahawa ambao nitakuwa nikionyesha video za Prof Janabi muda wote kama burudani

    Nimeamua kuja na huu ubunifu. Hela nitapiga. Unapata msosi huku ukitazama video za Prof Janabi akishauri mambo ya afya. Itakuwa ni burudani kwa wateja wangu. Natumaini wateja watafurahi. Una maoni gani kuhusu hii idea?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Sioni uwezekano wa kupata katiba kufika mwaka 2029. Serikali inaona bado hakuna kikubwa

    Jaji mstaafu Joseph Warioba, ameonesha wasiwasi wake juu ya uwezekano wa nchi kupata Katiba Mpya kabla ya kuingia kwenye mchakato wa uchaguzi wa mwaka 2029. Akizungumza leo Agosti 28, 2026, katika mkutano wa wadau wa masuala ya kidemokrasia uliofanyika katika makao makuu ya Chama cha Wanasheria...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kwa tunapoelekea Tutakua Tunasalia ndani

    I hope mko poa wakuu. Hivi ni hili kanisa letu au yote ya kilokole michango ni mingi yaani hawaangalii unaingiza sh ngapi ni michango tu ata ukitoa ulichonacho unaambiwa ni kidogo mara sijui unamubia Mungu mara wewe ni kaidi. Mungu atanisamehe kwenye haya maamuzi. Kuna; -Mchango wa ujenzi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Gari ya Town Ace pickup 4W ipoje? Nataka kuijua kabla sijafanya maamuzi ya kuinunua?

    Nahitaji gari town Ace pickup 4W mpya au used naomba msada kwa mwenye uelewa nazo anipitishe kwenye darasa kabla sijachukua hatua yeyote ya manunuzi. Asante πŸ™πŸΎ Naishi Lindi.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua Land Rover Discovery

    Kwa wenye uzoefu wa Land Rover Discovery nahitaji hii gari je ipo poa Maana naona napewa ushauri kibao hadi unasita...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua kuhusu update ya michango ya CHADEMA

    Naona kimya kimetawala kuhusu update ya michango ya baraza kuu la chadema. Je lengo limetimia au vipi? Kama lengo limetimia mbona hamuwaambii watu waache kuchangia?
  8. JamiiForums Tanzania Nataka kufungua kiwanda cha Condom, vikinga Ukimwi+STDs na dawa za kuzuia harufu mbaya kwenye papuchi

    Bidhaa nitakazo zalisha kiwandani ni 1. Condom (bei ya jumla 500/= condom 3) 2. Mafuta ambayo unayapaka kwenye mkuyenge kabla hujamla mtoto ukishapaka unakula kavu kavu na hupati maambukizi ya HIV wala STDs zote. (bei ya jumla ni 8000/= 3. Tiba ya kuzuia harufu kwa wadada maana sikuhizi kati ya...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri, nataka kufanya biashara ya daladala. Wazoefu naomba ushauri

    Nataka kuingia kwenye biashara ya daladala, lakini nahitaji ushauri wa wazoefu. Kwa walio kwenye biashara hii, ni mambo gani muhimu ninayopaswa kuzingatia kabla ya kuanza?
  10. JamiiForums Tanzania Nataka niuache udomo zege nimechoka

    Eti wakuu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 ambaye sijawahi kua na mahusiano yoyote naombeni ushauri wenu,nitatokaje kwenye huu uduwanzi wa kutokuweza kutongoza ukizingatia nahitaji kua na family kama ilivo kawaida kwa kijana wa kiume
  11. S

    JamiiForums Tanzania Leo nataka niwaeleweshe juu ya ishu ya "vacancy not budgeted" kwenye mchakato wa uhamisho wanaokutana huu ujumbe

    LEO NATAKA NIWAELEWESHE JUU YA ISHU YA "VACANCY NOT BUDGETED" kwenye mchakato wa uhamisho wanaokutana huu ujumbe
  12. JamiiForums Tanzania Nauza kiatu, njoo na ofa yako

  13. JamiiForums Tanzania Nataka kutoka familia ya Nyerere

    Unajua saying,Did he jump or was he pushed? Nataka kutoka familia ya Nyerere. How do I do it legally?
  14. JamiiForums Tanzania Nawezaje kukopa kupitia Mtandao wa Simu?

    Habari wakuu, msaada wa mawazo kuhusu jambo linalo nisibu, Mimi nimeajiliwa sehemu, Nimekaa kwa muda kias, Boss wangu, katika Makubaliano, ni kufanya kaz, huku nikihesabu mshahara wangu Hatimae mshahara umefikia 3 million sasa naona kuna namna anataka kuni dhurumu, Maaana naona tu miendo...
  15. JamiiForums Tanzania Nataka kuwa na mahusiano na mwanamke wa miaka kuanzia 27 Hadi 30+

    Mimi ni kijana Niko mbeya natamani tu kuwa na mwanamke wa miaka iyoo maana Hawa wa 2000 mbona kama pasua kichwa sana, na mimi nna miaka 28, kama upo interested DM, uwe vyovyote Ile usiwe mnene, kama love wa jua Kali,,, ukiwa Black πŸ–€ utakua vizuri maana weupe ndo sawa na wale wale wa 2000, πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
  16. JamiiForums Tanzania Nataka premium membership sasa niweke heshima

    Wanipe premium membership Ntaweka heshima sana Nttatoa Pesa kwa kwa wahitaji Ntaweka kila jambo Sawa Heshima Muhimu
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nataka nianze kubeti

    Wakuu Habari za Uzima, Baada ya kutafuta kazi na kukosa, na Zingine nikipata wananikataa Wakishajua nina Usikivu Hafifu "Hearing Loss " Basi Nimeamua Kuingia kwenye BETTING, Kuna Hela nimepata hapa Elfu10 ndo nataka nianze Nayo, Niwe Natafuta Odds 3 za Uhakika Hata mara 3 kwa wiki sio...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya Ufugaji kuku kunishinda Nataka nigeukie Sungura, Nitatoboa kweli?

    Wakuu, Kufuga kuku kuna changamoto nyingi na gharama kubwa ! Hapa nimekumbuka hivi viumbe Sungura nilivifuga sekondari vinazaliana haraka na vina nyama tamu san!! Nataka nifuge hivi sasa! Kwa ajili ya chakula tu kwangu Maoni ya Mdau
  19. JamiiForums Tanzania Nataka nibadili jina langu JF baada ya watu kulisema sana

    Mzuka wana jamvi ? Kuna wapuuzi humu JF walikuwa wanafananisha jina langu na la ID ya Chizi Maarifa wakati ni majina mawili tofauti yasiyo fanana sasa baada ya kelele zao nimeona nibadilishe jina na nataka nichague jina Moja kati ya yafuatayo 1. Ghayo de Nyangwisi 2. Ghayo de Nyambumbu 3...
  20. JamiiForums Tanzania Nataka kununua shamba kwa wakwe

    Habari wana jamvi? Kama ilivyo kwenye kichwa cha habari. Shemeji yangu yaani kaka wa mke wangu anataka kuniuzia shamba sasa nikasema mambo ya kwa wakwe napo kuna kuwaaga na changamoto zake ngoja nipate japo uzoefu kwa wadau. Bei nipeni tahadhari wakuu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…