Kwa tunapoelekea Tutakua Tunasalia ndani

Kwa tunapoelekea Tutakua Tunasalia ndani

Chubby255

New Member
Joined
Jul 27, 2026
Posts
4
Reaction score
18
I hope mko poa wakuu.
Hivi ni hili kanisa letu au yote ya kilokole michango ni mingi yaani hawaangalii unaingiza sh ngapi ni michango tu ata ukitoa ulichonacho unaambiwa ni kidogo mara sijui unamubia Mungu mara wewe ni kaidi. Mungu atanisamehe kwenye haya maamuzi.
Kuna;
-Mchango wa ujenzi
-Mchango wa viti
-Kutegemeza
-Fungu la kumi
-Bado unaambiwa sijui kuna mchango wa kanda
-Bado wanakwaya hamjavaa sare
-Bado kumtembelea mchungaji na chochote kitu
- kuna Limbuko
-Bado hamjatunisha mfuko hapo
- Bado huo mmoja unajumlisha umeme, Bill ya maji, Spika zikiharibika au maiki ( Nimeusahau jina)
Eeeh baba Michango ni Mingi sio kwamba hatupendi kwenda hemani kwako 😮‍💨
 
Back
Top Bottom