Nataka kutoka familia ya Nyerere

Nataka kutoka familia ya Nyerere

Unajua saying,Did he jump or was he pushed?
Nataka kutoka familia ya nyerere.
How do I do it legally?
Mkuu Poppy, Poppy Hatonn , kwa vile wewe ni mtu enlightened, ni mtu wa meditation, being a first born you were supposed to be the chosen one, lakini imetokea kama kwa Caine and Abel and Essau and Issac, hivyo na wewe kuwa tu mpole kama Essau, your time is almost up, resort to deep meditation, ili uumalize huu mwendo peaceful, as long as you have food to eat and shelter, live your short remaining life in this world to the fullest, enjoy life, do good deeds, and never mind kabisa this time, you will be repaid everything that you were supposed to be in your next reincarnation!.

Mfano hata Mzee wako baada ya kuondoka, was reincarnated into Humphrey Polepole Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa? na GE2025 - Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake? but very unfortunately wale wale watu wabaya waliomtoa JPM, wakamuondoa tena!.

Kama uliweza kuvumilia yote kwa miaka yote, huwezi kushindwa kuvumilia na kustahimili muda huu wa jioni kabisa, ukiona giza limekuwa kubwa sana, ujue ni karibu kunapambazuka, don't do anything silly this time, subiri kukuche!.

Wish you all the best.

Mzee Pasco
 
Mkuu Poppy, Poppy Hatonn , kwa vile wewe ni mtu enlightened, ni mtu wa meditation, being a first born you were supposed to be the chosen one, lakini imetokea kama kwa Caine and Abel and Essau and Issac, hivyo na wewe kuwa tu mpole kama Essau, your time is almost up, resort to deep meditation, ili uumalize huu mwendo peaceful, as long as you have food to eat and shelter, live your short remaining life in this world to the fullest, enjoy life, do good deeds, and never mind kabisa this time, you will be repayed everything that you were supposed to be in your next reincarnation!.

Mfano hata Mzee wako baada ya kuondoka, was incarcerated into Humphrey Polepole Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa? na GE2025 - Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake? but very unfortunately wale wale watu wabaya waliomtoa JPM, wakamuondoa tena!.

Wish you all the best.
Mzee Pasco

Watu wa meditation... Anasema kuhusu Yeye na familia yao mwitongo... Au ni coded ya Bwana tuidai kwa nguvu wa familia ya Chimwaga/Lumumba?
 
Hawa,viongozi serikalini,wanakuja hapa nyumbani,wanatoa rushwa ya mamilioni ya shilingi,kugombanisha wanafamilia,ili kuleta mfarakano katika familia,kuleta chawa hapa.
Ndio maana nasema,napaswa kuhama tu hapa.
And I don't want to discuss this, unless mtu anataka kuniambia amenitafutia apartment ya kwenda kuishi.
 
Hawa,viongozi serikalini,wanakuja hapa nyumbani,wanatoa rushwa ya mamilioni ya shilingi,kugombanisha wanafamilia,ili kuleta mfarakano katika familia,kuleta chawa hapa.
Ndio maana nasema,napaswa kuhama tu hapa.
And I don't want to discuss this, unless mtu anataka kuniambia amenitafutia apartment ya kwenda kuishi.
Kuna vitu vya familia hupaswi kuvisema in public,dont complain family issues in public utaonekana kama ni ile hali fulani kama ni imekurudia!,ila kama ni imekurudia,then unastahili kusaidiwa ukiwemo msaada mkubwa kwa modes wa jf!

Ila its about time Tanzania tuanzishe huduma za nursing homes, wewe upatiwe a private room na mhudumu anayejua Thai massage or Swedish massage akuhudumie una relax kabisa mpaka kuchwe salama!

Kwa jinsi Baba yako anavyo chukia rushwa,ni aibu kwa mtoto wa nyumbani kutoa tuhuma za watu wanatoa rushwa ya mamilioni ya shilingi, kugombanisha wanafamilia, ili kuleta mfarakano katika familia ya Mwalimu, bila uthibitisho wowote!

P
 
Back
Top Bottom