Umechangia sh ngapi?Naona kimya kimetawala kuhusu update ya michango ya baraza kuu la chadema. Je lengo limetimia au vipi ? Kama lengo limetimia mbona hamuwaambii watu waache kuchangia?
Cha ajabu ikitajwa huko Lumumba mnatetemeka kuliko hata kikitajwa chauma chenye wafuasi nchi nzima.Hawana watu , mtoto wa zuchu alishaipata ndani ya siku tatu tu ..Kama wangekuwa na wanachama wale matajiri kama wa katoro basi ni siku mbili tu , maana wale kutoa mil 100 kama buku tu ..CHADEMA ni wapiga domo tu , hawana kipya , iko hivyo hata wapiga kura wao .
Hawana pesa bhanaCha ajabu ikitajwa huko Lumumba mnatetemeka kuliko hata kikitajwa chauma chenye wafuasi nchi nzima.
Unatokea Tanga, lakini mambo yako kama ya mkazi wa Mchambawima! Mara uongelee habari ya mtoto wa Zuchu! Mara hawana pesa bhana!!Hawana pesa bhana
Akil zako zmejaa mav matupu fckHawana watu , mtoto wa zuchu alishaipata ndani ya siku tatu tu ..Kama wangekuwa na wanachama wale matajiri kama wa katoro basi ni siku mbili tu , maana wale kutoa mil 100 kama buku tu ..CHADEMA ni wapiga domo tu , hawana kipya , iko hivyo hata wapiga kura wao .
Mi naona kiuhalisia hapo imeonyesha chadema ndio Ina watu wengi sana, watu wanachanga bukubuku wengine miamia, mpaka imefika hapo maana yake wanawatu wengi sana, tofauti na kama ingechangwa na matajiri wawili au watatu huwezi kujua unaungwa mkono na watu kiasi gani.Hawana watu , mtoto wa zuchu alishaipata ndani ya siku tatu tu ..Kama wangekuwa na wanachama wale matajiri kama wa katoro basi ni siku mbili tu , maana wale kutoa mil 100 kama buku tu ..CHADEMA ni wapiga domo tu , hawana kipya , iko hivyo hata wapiga kura wao .
Unaambiwa ukweli , mimi na wewe sio ndugu bro , acha shobo ...Mtanga wa kweli hawezi kuwa chawa wa CHADEMA, endelea kunywa pombe za ofa .Unatokea Tanga, lakini mambo yako kama ya mkazi wa Mchambawima! Mara uongelee habari ya mtoto wa Zuchu! Mara hawana pesa bhana!!
Watu wa Tanga mbona hatuna swaga hizi za kwako?
Mkiambia ukweli mnalia .Akil zako zmejaa mav matupu fck
Ndiyo maana marafiki zako ni akina Zuchu. Sasa nimepata picha.Unaambiwa ukweli , mimi na wewe sio ndugu bro , acha shobo ...Mtanga wa kweli hawezi kuwa chawa wa CHADEMA, endelea kunywa pombe za ofa .
Shule tatizo kwa vile unaamini kukinukisha ni harufu nzuri , huu ujinga peleka huko porini kwenu ...Tanzania ina watu mil 65 -70 , sasa chukua watu mil 1 tu , kila mmoja atoe buku ni shilingi ngapi ?Mi naona kiuhalisia hapo imeonyesha chadema ndio Ina watu wengi sana, watu wanachanga bukubuku wengine miamia, mpaka imefika hapo maana yake wanawatu wengi sana, tofauti na kama ingechangwa na matajiri wawili au watatu huwezi kujua unaungwa mkono na watu kiasi gani.
Halafu pia matajiri wanaoipenda chadema sio kwamba hawapo, wapo sana tuu, ila sasa uhakika wa maisha Yao na biashara zao kwa ujumla utakua salama kiasi gani baada ya kuichangia chadema?
Zenji ni ndugu zetu kuliko wewe , so hauwezi kuwa mtanga ukawa chawa wa CHADEMA ni msaliti ...Chama cha kanisa hakituhusu hata siku moja .Ndiyo maana marafiki zako ni akina Zuchu. Sasa nimepata picha.
Jizi na lipenda rushwa bila aibu linashangiaHawana watu , mtoto wa zuchu alishaipata ndani ya siku tatu tu ..Kama wangekuwa na wanachama wale matajiri kama wa katoro basi ni siku mbili tu , maana wale kutoa mil 100 kama buku tu ..CHADEMA ni wapiga domo tu , hawana kipya , iko hivyo hata wapiga kura wao .
Changia CHADEMA ikukomboe kutoka kwenye huu mnyororo wa kuwalamba binadamu wenzako miguu. Kumchangia mtoto wa Zuchu hakutakuletea ukombozi wowote ule, ukiwemo ule wa kifikra.Zenji ni ndugu zetu kuliko wewe , so hauwezi kuwa mtanga ukawa chawa wa CHADEMA ni msaliti ...Chama cha kanisa hakituhusu hata siku moja .
Unalia sas?Jizi na lipenda rushwa bila aibu linashangia
Haiwezekani , hiko ni chama cha TEC. watoe pesa za sadaka ..Kila kiongozi anaitwa ''john'' so hakinihusu . Mkitutukana watu wa pwani, mnatukana wote mpaka zenji .Hivyo, zenji ni ndugu zetu .Changia CHADEMA ikukomboe kutoka kwenye huu mnyororo wa kuwalamba binadamu wenzako miguu. Kumchangia mtoto wa Zuchu hakutakuletea ukombozi wowote ule, ukiwemo ule wa kifikra.