Wana lipwa?Hela yake ndogo sana kuwa premium membership humu , baada ya makato na tozo, unabakiwa na aftatu
Mbaga Jr atakupa ushuhudaWana lipwa?
Si nilikwambia masikini mtaanzishiwa uzi orodhesheni majina yenu hapo chini mpate chochote kitu😁🐕😂 Haya
H hapana, labla uje mwngn na aseme walalahoi Tuweke majina tuokoteSi nilikwambia masikini mtaanzishiwa uzi orodhesheni majina yenu hapo chini mpate chochote kitu😁🐕
Majina na namba😂H hapana, labla uje mwngn na aseme walalahoi Tuweke majina tuokote
Ngoja nimfuate pm, uzuri mpesa yangu ina visa hvy mtonyo unaingia Hata akiwa PalestineMajina na namba😂
Pesa sikuhizi inaingia kutoka popote tu changamkia fursa hiyo mwanetu!Ngoja nimfuate pm, uzuri mpesa yangu ina visa hvy mtonyo unaingia Hata akiwa Palestine
Ah fresh, ngoja nikaombe msaadaPesa sikuhizi inaingia kutoka popote tu changamkia fursa hiyo mwanetu!
Duh ! tajiri mpya Jf , kazi tunayo mwaka huuWanipe premium membership
Ntaweka heshima sana
Nttatoa Pesa kwa kwa wahitaji
Ntaweka kila jambo Sawa
Heshima Muhimu
We cheka TU🤣🤣