Nataka kununua shamba kwa wakwe

Nataka kununua shamba kwa wakwe

Nonji

Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
30
Reaction score
30
Habari wana jamvi?

Kama ilivyo kwenye kichwa cha habari. Shemeji yangu yaani kaka wa mke wangu anataka kuniuzia shamba sasa nikasema mambo ya kwa wakwe napo kuna kuwaaga na changamoto zake ngoja nipate japo uzoefu kwa wadau.

Bei nipeni tahadhari wakuu.
 
Usinunue mkuu
 
Siku ukifa huku nyuma utaacha mzozo sana.
 
Kama ilivyo kwenye kichwa cha habari. Shemeji yangu yaani kaka wa mke wangu anataka kuniuzia shamba sasa nikasema mambo ya kwa wakwe napo kuna kuwaaga na changamoto zake ngoja nipate japo uzoefu kwa wadau.
Mkuu hili linawezekana bila shida kama eneo umeliona ni potential na una Plan nalo.
Fuata taratibu zote za manunuzi ya hilo eneo, Mikataba ya kisheria na kufuatilia hati then fanya unachotaka kufanya kwenye hilo eneo.

BUT kama eneo sio potential sana na kulikosa hakutaathiri mipango yako, nashauri ACHANA NALO nenda ukatafute eneo jingine.

Be a Man, usipende sana kuwa attached na ndugu wa mke wako, kuna siku utashindwa kufanya maamuzi.
 
Habari wana jamvi?

Kama ilivyo kwenye kichwa cha habari. Shemeji yangu yaani kaka wa mke wangu anataka kuniuzia shamba sasa nikasema mambo ya kwa wakwe napo kuna kuwaaga na changamoto zake ngoja nipate japo uzoefu kwa wadau.

Bei nipeni tahadhari wakuu.
Mwanasheria ahusike..
Ulipe kupitia bank
Ufanye transfer at per
Mashahidi wako wajitambue
 
Nunua ndugu wala usiogope na wanakuuzia kwa heshima yako inaonekana unaaminiwa kiukoo ndiyo kisa cha kukushiriki vinginevyo ungesikia limeuzwa
Huku niliko mashamba wanauziana wao kwa wao hivyo wameona badala ya kumuuzia mtu baki bora wamuuzie mwanandugu.
Nunua bila wasiwasi kama ni kutapeliwa hata mtu baki anakutapeli
 
Unanunua shamba linalomililiwa na Familia?. Au shamba ambalo Huyo Shemej ako amenunua mwenyewe kwa hela yake?. Na akaamua kuuza.

Mashamba ya familia achana nayo kabisa. Sio mashamba tu. Hata mali zinazomilikiwa na familia. Alaf ukanunua ww kama mkwe. Sio kabisa.

Bado watahisi wanamiliki na kujinasibisha na sehem ya Mali husika.

Ila kama jamaa alinunua mwenyewe na anataka kukuuzia ww. Sio kesi.
Fuata taratibu zote . Na nunua.
 
Habari wana jamvi?

Kama ilivyo kwenye kichwa cha habari. Shemeji yangu yaani kaka wa mke wangu anataka kuniuzia shamba sasa nikasema mambo ya kwa wakwe napo kuna kuwaaga na changamoto zake ngoja nipate japo uzoefu kwa wadau.

Bei nipeni tahadhari wakuu.
ni vizuri gentleman
ila make sure umenununua kwanza shamba kama hilo kwenu, kabla hujawanunulia hao wanao shamba huko kwa wakwe zako ambako pia ni kwa Bibi na Babu zao na itapendeza zaidi nadhani 🐒
 
Kama eneo lipo ukweni, mbali na kwenu USINUNUE.
Fikiria siku ikitokea mkeo kafa kabla yako utaenda kulima au kuishi hapo?
Siku ukiachana na mkeo utaenda kufanya chochote hapo?
Dada yetu mmoja mtoto wa mama yetu mkubwa kafa kaacha mume na watoto.
Alistaafu kazi akaacha nyumba yao Dar akaenda kijijini kwa mkewe(kwetu).
Anaishi kama lofa boya au digidigi vile, pale hana ndugu.
Mume wa mama mdogo naye kafanya ujinga huo huo. Sasa anasali anaomba atangulie kufa yeye ..😂😂😂
 
Imfikie The Boss Lady wangu Mademoiselle Labella
Huu ushauri wape ndugu zako wa kiume wasifanye kosa hili.
 
Back
Top Bottom