Ofa yangu: Ulfu saba mzee
Naongeza buku mbili hapo kwa juuOngeza iwe 20k nikuachie mkuu
Delivery afanye kwanguNaongeza buku mbili hapo kwa juu
HahahaMkuu kakioshe kwanza 😁
Aiseeh! Kafue Kwanza ndio urudi
Kiatu,Raba?
Nina laki 5 kwenye mfuko wa shati. Njoo ofsi ya Prime Minista tuzungumze.
Sawa mkuu. Kila la heriMkuu nilikua nilipata shida kidogo