sam green
Senior Member
- Feb 21, 2020
- 190
- 293
Habari wakuu, msaada wa mawazo kuhusu jambo linalo nisibu,
Mimi nimeajiliwa sehemu, Nimekaa kwa muda kias, Boss wangu, katika Makubaliano, ni kufanya kaz, huku nikihesabu mshahara wangu Hatimae mshahara umefikia 3 million sasa naona kuna namna anataka kuni dhurumu,
Maaana naona tu miendo naayoleta, sasa alini sajilia line natumia line yenye majina yake
Nikiangalie kwenye line naweza kopa million 1 na laki 2. Tunako elekea naona kama anataka kunitoa kazini, anisimamishe angali hela yangu bado hajalipa
Na hiyo line yeye hajui kama kuna uwezekano wa kupata 1.2 Million nataka siku anayonitoa kazini nikope huo mkopo. Naomba ushauri wadau maaans siku si nyingi nahis kazi nakatizwa bila kupewa hela yangu