nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. Bei Rahisi Electronics

    JamiiForums Tanzania Nataka nichukue mkopo dhamana mshahara

    Nina shida ya million 5 ni mtumishi wa umma nawezaj kupata mkopo na utaratibu upoje.Napokea laki 5
  2. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua godoro kampuni hii, ushauri

    Nataka kununua godoro la spring kampuni hii, ushauri kwa waliowahi kutumia
  3. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Nataka Niwashitaki CRDB - Nimetoa fedha ATM hazijatoka naomba ushauri

    Juzi 1/10/2025 nilitoa fedha kwenye ATM, hata hivyo pamoja na fedha kutoka kwenye AC yangu fedha hiyo haijatoka kwenye mashine. Fedha hiyo nilitakiwa kulimlipa mdeni amabaye ananida, pamoja na jitihada za kuwasiliana na Branchi husika na kupiga simu kitengo hiduma kwa wateja bado fedha hiyo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 100 nataka nifungue kituo cha tiba(Afya) Tanzania

    Wakuu salaam, Naombeni ushauri kwa wajuzi wa mambo na wenye uzoefu hapo Tanzania nataka nifungue kituo cha Afya kwa Tanzania sasa sijajua na nimeandaa bajeti ya milioni 100 kuanzia manpower,vifaa tiba,majengo na kila kitu na lengo niwasaidie Ndugu zangu waTanzania maana nimewaza kufungua huku...
  5. La Quica

    JamiiForums Tanzania Nataka niachane na huyu Mwanamke bila kuathiri Watoto

    Wakuu. Nimekaa na huyu mwanamke 5 years tumepata 2 boys. Ila sasa simwelewi kabisa dharau shazi hela unampa ila matumizi hayatimii. Kido wetu mdoncho ana 2yrs na miezi miwili. I really want to part ways ila kila nikiwawaza my two kids (all ME) nakuwa reluctant. Nishaurini maana mimi na huyu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua scania G 410, ni shilingi ngapi?

    Wajuzi wa magari nataka kumiliki scania G410, ni shingapi horse na trailer shingap, nichukue trailer double lala ya single.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua shule ya sekondari

    Wadau nipeni ushauri kwenye sector ya elimu, nataka kufungua sekondari vipi biashara katika sector ya elimu hasa sekondari Ikoje. Taratibu zipi zakufuata kufungua sekondari na vigezo Gani vyakuzingatia kudumu kwenye biashara na kupata watoto.
  8. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Sasa Nahitaji Mke

    Sifa zangu: Mwanaume mwenye umri wa miaka 30, kabila maasai Degree ya Kwanzaa Muajiriwa sekta binafsi Mweusi, mrefu na mwili wa wastani Mkristo Sijawahi kuoa na Sina watoto Napenda jogging na kusali Sifa za mwanamke ninayemuhitaji Mkristo kabila lolote Mweusi na mwenye urefu wa wastani Aliye...
  9. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri wakubwa: Nina mpango kuoa Binti wa Kimeru Dada yake Maghayo

    Moja kwa moja . Mimi ni kijana wa Kiume umri miaka 24 nipo Dar , Moja kati ya ndoto zangu kubwa katika maisha ni Kufunga ndoa kwani naamini ni katika njia kuu ya kujizuia na zinaa , kujenga heshima na kuishi maisha Bora ya kiuwanadamu na kujenga familia imara pamoja ya yote ndoa ni ibada kubwa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo la msingi nataka kuwafundisha humu

    Habari zenu ... Kama mtakuwa tayari kuwapa hii elimu adimu ambayo huwezi kuipata popote pale iwe shule au wapi,ila kwa mtu anayefikiria kwa kina sana, sia kila kitu anakubali tu na kushindwa kuhoji kwanini nipo hapa,kwa mtu mwenye uelewa mdogo naomba kabisa upite tu maana nitakuchanganya...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sugu aliimba huu wimbo akiwa na umri gani?

    1996 : Natafuta pasipoti, nataka kusafiri kikafiri, popote nitafika hata south africa, nyumbani nimechoka, nazidi nyanyasika🎶 Sugu alikuwa visionary sanaa, hapa ulikuwa na umri gani?
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Life imekuwa bored. Nataka nirudi Bongo. Huku wazungu hawana Time kabisa na mimi

    Najaribu kutafuta mtu wa kugombana naye sipati. Nimezoea humu JF atajitokeza mtu tutatukanana siku au weeks hapo najisikia saaaaafi kabisa. Hawa jamaa kwenye forums zao na maofisini wapo busy. Tunakosa muda wa kujamiiana na kusababishiana matatizo. Mi napend sana ku socialize(kujamiiana) ila...
  13. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nataka kuuacha huu mzigo wa Milioni 18 humu M-Wekeza mpaka 2030, vipi nitapata kiasi Gani wakuu?

    Hii pesa Sasa hivi Sina matumizi nayo nataka kuuacha humu m wekeza Nije nitoe. Januari 2030 vipi mfumo wao wa compound interest nitaikuta ipo Bei Gani siku ya kuitoa
  14. kyagata

    JamiiForums Tanzania Nataka nichape rafiki wa mchepuko wangu,nitumie mbinu gani?

    Wakuu,hamjambo? Nina mchepuko wangu juzi kati akanitambulisha kwa shosti wake flani hivi,ebana huyo shosti yake ni pisi sio ya nchi hii,udenda ukanitoka asee,nikavizia mchepuko wangu kaenda toilet fasta nikachukua number,sasa nimeishaipigia kuisaundisha ila inanizingua inaniambia eti me ni...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenaa kutoa Pole kwa Familia ya Job Ndugai je, niende kwa Mjane Stellah au niende kwa Mjane Fatuma?

    Ukijijua huna IQ ya Kuuelewa huu Uzi na kunielewa Zanaki, Yao na Tutsi Genius tafadhali achana naa endelea na yako tu.
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nataka nimuoe huyu Lovely Emmy wana JF mje mshiriki sherehe napoopoa mtoto mzuri kipenzi cha dhati

    Lovely Emmy nahisi atakuwa mtoto mzuri laini laini na nyoronyoro mpya humu JF. Nataka nimuwahi kabla watu hawajamwaribu sana. Nimuoe Mimi nina wake wawili kwa sasa. Nahitaji mwingine wa 3 ila awe binti mdogo mdogo but na nyama awe nazo. Ndo maana naona lovely emmy ni chaguo sahihi mimi kumuoa...
  17. Room 28

    JamiiForums Tanzania Nataka gari ya mil5 IST,vitz iwe D fresh?? Sijui kuhusu magari ila Usijaribu kunirubuni

    Matajiri Nashida na kagari flan ivi ka kujifunzia funzia na kwendea sokoni. Location mwanza Nb: huwa napenda kujua na sababu ya kuuza
  18. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nimeuza kiwanja changu milioni 10, nataka ninunue bodaboda 3. Hii biashara mnaionaje?

    Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo Kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda. Nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu. Je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss?
  19. GoLC

    JamiiForums Tanzania Nataka kuweka uzi wa kitabu changu cha hadithi hapa. Zipi faida zake kwa upande wangu?

    Za leo wakuu Nauliza hili, maana pia naona simulizi nyingi humu na za kuvutia zikiwa ndefu vya kutosha. Nitafaidika vipi na utaratibu ni upi wa kuanza kuweka? Natanguliza shukrani zangu
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mliosema Polepole hayuko Tanzania ... mtuambie hapa ni wapi?

    Humphrey Polepole amerecord clip fupi akiwauliza ndugu mnaopinga na kusema hayupo Tanzania Kwa kuhofia usalama wake
Back
Top Bottom