Nataka kununua Land Rover Discovery

Nataka kununua Land Rover Discovery

Discovery ipi? Kuna generation I, II, III, IV etc Suspension za umeme (Discovery ii na kuendelea) utaziweza ikifika wakati wa replacement? Discovery generation ya kwanza ndio kidogo naona kwa mazingira yetu inafaa; lakini kupata ambayo bado iko kwenye hali nzuri ni kipengele.
 
Cheki ushauri huu Forecaster
 
Discovery za SA ukiipata ambayo ipo vizuri kutoka kwa kaburu uta enjoy maisha sema hapo home gari nyingi zilikuja kutoka UK na zilikua engine zishafika mwisho watu wakazivamia kwa Tsh 25m mpaka 30m ndio zimejaa garage sasa hivi ila kama una pesa chukua disco 4 ya kuanzia 2014 kuja juu na kipengele cha kodi itabidi uchukue ya 2016 au 2017 ambayo itakua ndani ya muda wa uchakavu..
Naleta sana hizo gari ila kwa watu walio serious..
20260603_105742.jpg
20260605_102456.jpg
20260605_102456.jpg
20260605_102645.jpg
20260605_103057.jpg
20260605_103333.jpg
20260605_105534.jpg
20260605_105014.jpg
 
Discovery za SA ukiipata ambayo ipo vizuri kutoka kwa kaburu uta enjoy maisha sema hapo home gari nyingi zilikuja kutoka UK na zilikua engine zishafika mwisho watu wakazivamia kwa Tsh 25m mpaka 30m ndio zimejaa garage sasa hivi ila kama una pesa chukua disco 4 ya kuanzia 2014 kuja juu na kipengele cha kodi itabidi uchukue ya 2016 au 2017 ambayo itakua ndani ya muda wa uchakavu..
Naleta sana hizo gari ila kwa watu walio serious..View attachment 3653024View attachment 3653025View attachment 3653025View attachment 3653026View attachment 3653027View attachment 3653029View attachment 3653031View attachment 3653030
Ford Ranger unyama sana
 
Mungu akubariki sana kwa ushauri mzuri sana huu.
 
Duh mabalaa haya nimeona Ford ranger hapo balaa tupu dah umasikini kumanyoko
 
Huyu pesa iko mfukoni sio bank
Nimeshauri tu kwa nia njema na sijasema pesa haipo, zingatia neno uchumi wa kati.

Hizi gari na hawa mafundi wetu unawezakujikuta unawajua mafundi wote Sar na bado gari inasumbua.

Hapo umeshapoteza pesa ya kununua gari nyingine. Toyota hata kama dashboard imetapakaa alerts ila bado itakusogeza mahali unaenda, hizi gari kabila nyingine uvumilivu huo hazina, umeme mwingi na sensor za kutosha, hapo haujagusa bei ya spare.

Uko salama lakini?
 
Discovery za SA ukiipata ambayo ipo vizuri kutoka kwa kaburu uta enjoy maisha sema hapo home gari nyingi zilikuja kutoka UK na zilikua engine zishafika mwisho watu wakazivamia kwa Tsh 25m mpaka 30m ndio zimejaa garage sasa hivi ila kama una pesa chukua disco 4 ya kuanzia 2014 kuja juu na kipengele cha kodi itabidi uchukue ya 2016 au 2017 ambayo itakua ndani ya muda wa uchakavu..
Naleta sana hizo gari ila kwa watu walio serious..View attachment 3653024View attachment 3653025View attachment 3653025View attachment 3653026View attachment 3653027View attachment 3653029View attachment 3653031View attachment 3653030
Mkuu nimeiona landrover defender hapo...asking price kwa hapo sauzi ni bei gani kwa fedha za mama
 
Back
Top Bottom