Nataka nikaishi Burundi au Rwanda; naombeni ushauri na muongozo cha kufanya

Habari wadau..!
Nataka kuhama Tanzania niende nikaishi zangu Burundi au Rwanda naombeni ushauri na muongozo wa maisha kule.
Kama ulipitia mafunzo ya JKT ukahitimu iwe kwa mujibu wa sheria au kwa kujitolea utaweza kuishi Rwanda. Kama uliishawahi kuhukumiwa kufungwa ukatoka jela baada ya kutumika kifungo chako utaweza kuishi Burundi. Nchi mbili ndogo ndogo zinazofana na kutofautiana padogo, zenye idadi kubwa ya watu.
 
Back
Top Bottom