Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,664
- 22,256
Haki yangu ya msingi naona imeporwa, nataka kufungua kesi dhidi ya malipo ya kodi ya jengo kupitia Luku ila shida iliyopo ni hao ninaowategemea wana maslahi na nafuu waliyoipata, wakili ananyumba anapangisha yeye mzigo wa kuilipia kodi wamemtua na hakimu naye nyumba yake anapangisha naye mzigo wamemtua
Ila sina uhakika hiyo nyumba ya serikali kama analipiwa umeme na serikali au analipa mwenyewe na kama analipa mwenyewe huenda anapewa posho ya umeme, sasa sijui nifanyeje niko njia panda naona kama sasa tumegawanywa kati ya walionacho na walalahoi.