Ushauri: Nataka kutumia mchango wa harusi kujenga nyumba

ommytk

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
247
500
Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa

Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba akaaawambie wajumbe kuwa corona hakuna mikusanyiko naoa kimya kimya na watu wachache tu

Naomba ushauri
 
Torabola

Member
Dec 8, 2020
52
125

Itakua poa
 
Paroco

JF-Expert Member
Dec 24, 2017
1,984
2,000
Usiwaze hivyo kabisa mzee. Labda punguza gharama za sherehe tuu.

Vinginevyo uchafu wa jina utakaojizolea hauji pata marafiki kamwe ktk maisha yako na Mungu atakuhukumu kadiri ya utapeli wako.

Fanya ulicholenga.
 
Mnyatiaji

JF-Expert Member
Dec 13, 2018
2,957
2,000
Ndugu maisha ni mafupi unaweza jenga nyumba hiyo afu kabla ya sherehe ukatangulia mbele za haki sasa wewe fanya tu hiyo ela tumia kama ilivyochangwa kwa dhumuni husika afu suala la kujenga nyumba tafuta pesa yako mwenyewe
 
  • Thanks
Reactions: Cyb

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom