nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Nataka niwahakikishie tutawapa umeme Watanzania

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaagiza wataalam kufanya ukarabati wa miundombinu ya umeme kwa wakati ili kuwawezesha wananchi kupata huduma ya umeme ya uhakika. Dkt. Biteko amesema tabia ya kutobadilisha au kukarabati miundombinu kwa wakati pale inapoharibika...
  2. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kujifunza Data analytics Online

    Mimi ni mwanamke nipo below 35yrs ,nilikuwa natafuta skills mpya ya kujifunza ndiyo nikajipata kwenye hiyo data analytics, mimi chuo nimesoma procurement&supplies management je nitaweza kutoboa kwenye hiyo course ya data analytics au ni course ya watu wale vipanga wa PCB? Please ushauri wenu...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nataka nirudi shule nikiwa na 36 kwa kusikia Marekani Waafrika waliosoma wanapewa ajira kiupendeleo na mishahara ni mirefu, nijilipue?

    Nina ajira tayari lakini sioni nikifika mbali, 1.6x million take home baada ya makato Kwa nchi kama Marekani wamarekani weusi wengi hawajaelimika, fursa hizi zinawapita, wameharibika na utamaduni wa kutukuza uhalifu, shortcuts, victim mentality, n.k. wengi wanaishia kuona ujanja ni kujiunga...
  4. JamiiForums Tanzania Morogoro mchele kg 100 imefika bei gani? Nataka nisafirishe mchele kutoka Moro to Dom

    Wanangu wa Morogoro hivi kg 100 ya mchele imefika bei gani?, nataka nisafirishe mchele kutoka Moro to Dom
  5. JamiiForums Tanzania Wakuu tatizo langu la meno liko complicated nataka ushauri wenu

    Wakuu nina tatizo la meno kuuma. Meni ya juu upande wa kushoto. Kiukweli maumivu yake sio ya kutisha kama ambavyo watu wakiumwa jino inavyokuwa. Ila ni maumivu ambayo hayakomi hasa usiku. Kimsingi comfortability hakuna. Nilienda hospitali wakataka kung'oa nikakataa ikabidi wanipe dawa za...
  6. JamiiForums Tanzania Nataka mwanaume mstaarabu, muaminifu, mwenye kazi asiwe kibenteni. Awe na mbinu za hela, awe handsome, mzuri

    1. Nataka mwanaume mstaarabu, muaminifu, mwenye kazi asiwe kibenteni. Awe na mbinu za hela, awe handsome, mzuri, awe anajiheshimu. Asuchepuke. Awe anawahi kurudi nyumbani. Ajue mahaba, asiwe MUONGEAJI, asiwe na maneno makali. Awe mpole. Anajua mahaba. Wanawake WANAOTAKA WANAUME hao PUNDA MIZANI...
  7. JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kutoa pesa kwa wakala mimi nataka pesa yeye ananiambia toa TU

    Wakuu nimeshindwa kufanya muamala hapa maana huyu wakala ananichanganya hapa. Nimemwambia nataka nitoe pesa yeye ananiambia toa TU. Sasa mimi hiyo TU sina nina pesa nataka niitoe. Nimejaribu kuuliza kama kuna mwenye hiyo TU anisaidie hakuna. Naombeni msaada hiyo TU ni nini na inapatikana...
  8. JamiiForums Tanzania Nataka kumuoa msichana aliyeachana na rafiki yangu

    Habari zenu, Nina rafiki ambaye siyo wa karibu sana alikuwa kwenye mahusiano na mtarajiwa wangu sasa baada ya kuachana kwao nilifanikiwa kumshawishi tukaingia katika mahusiano kwa siri kubwa sana (kiukweli nilikuwa nampenda tangu hapo zamani) sasa nataka niende kwao nikajitambulishe
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kufungua mgahawa kwa ajili ya mabasi ya mkoani njia ya Mbeya - Dar

    Habari, Naomba ushauri, Nataka kufungua mgahawa wa kulisha mabasi kwa njia ya Dar - Mbeya, Nimeona kuna changamoto ya vyakula vibaya katika njia hii. Mtaji ninao 120milion, Nina migahawa ya kawaida (restaurant Arusha, Mwanza, Dar Es Salaam inayojulikana kwa jina la ifood hivyo nina uzoefu na...
  10. JamiiForums Tanzania Nataka kisingizio cha kuondoka kwa mpenzi wangu

    Nishaurini jamani wana JF nimfanyeje huyu mwanaume ili akasirike anipige nipate nafasi ya kuondoka, Nataka anipige nikimbie
  11. JamiiForums Tanzania Nataka niingie kwenye kilimo, kwa anayeuza eneo/shamba

    Habari zenu Wana JF, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, nataka niingie kwenye Kilimo na kama unavyojua kilimo chetu hapa kibongo bongo ni kwenye ardhi ingawa teknologia ya sasa unaweza ukalima hata ghorofani ila sana sana wengi wetu tumezoea kulima ardhini. Hivyo basi kama kuna mtu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nataka Kuoa japo sijui Namuoa Nani? Mwanaume mwenzangu umeshawai kutokewa na hali hii?

    Habari wadau. Kuna hali inanitokea inanishangaza sana, nimekua na hamu na ndoa ghafla since mwaka jana. cha kushangaza sasa sijui namuoa nani na nipo 35 yrs. Wanaume tunatumia nguvu kubwa kujitafuta na kulea wadogo zetu na wazazi wetu mpaka tunasahau kuandaa spouse. Hapa wanaume tunakosea...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Nimetafakari Sana!! Nataka hii iwe kama nadhiri kwangu

    Wakuu nimetoka kutakari juu ya maisha ya kuoa nimeona bora jitihada zangu nielekeze kwenye kuwatumikia watu pamoja na kutoa huduma kuliko kuoa.. Ushauri kwa wale walio matowashi humu ndani nipeni changamoto zenu na mlianzaje Asanteni!
  14. JamiiForums Tanzania Nataka Kuhamia Canada

    Kwa ufupi tu Nataka kwenda Kuanzisha Makazi huko Canada. Kwa Anayejua Gharama za Maisha huko pls toa tips, Nyumba za kuishi bei zake wapi pako poa , wapi eneo kwenye Amani kwa black kuishi, gharama za chakula. Pia Nawezaje Kuanzisha duka huko hata languo I'li niasiache asili yangu...
  15. JamiiForums Tanzania Kijana Mmoja ameomba Sparring na mimi,kiukweli nimefurahi mno kwasababu nataka nimuonyeshe kwanini niliitwa UMUGHAKA

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kukuongoza kijana Hance Mtanashati kwa kuomba kufanya Sparring na mimi,haya ndiyo mambo nipendayo UMUGHAKA Nimewahi kumuomba ndugu yako Sparring lakini akaingia mitini na kuendelea kunitukana!. Nashukuru sana kwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya check-up ya mwili mzima, je kuna madhara yoyote?

    Habarini ndugu zangu. Katika kuujali mwili wangu nataka nifanye check up ya mwili mzima kuanzia kichwani mpaka miguunii nijue maendeleo na afya ya viungo vyangu vya ndani. Ni hospital gani naweza pata hii huduma na pia Kwa aliyefanya atupe experience hua inakuaje. Je, kuna madhara yoyote I...
  17. JamiiForums Tanzania Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

    Kwema Wakuu! Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo. Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu...
  18. JamiiForums Tanzania MSAADA: Kila nikijaribu kujiunga Hazina Portal ili niombe mkopo inagoma, nifanyeje?

    Kwa wale watumishi wa umma mnaijua hii portal. Mikopo siku hizi ina flow vizuri magazine. Hii portal kwangu kila aina na jaribio imekataa kunitambua. Inaandika verification fail. Nitaweka interface hapa kurahisisha. Kwa ambaye amefanya hii kitu akafanikiwa please help Link ni...
  19. JamiiForums Tanzania Nataka niandae mdahalo hapa JF kati ya Lucas Mwashambwa na Erythrocyte

    Nawasiliana na uongozi wa juu wa JF kuhusu kupata kibali cha kuandaa mdahalo hapa JF, TOPIC nitaitoa mapema kabisa kwa washiriki kujiandaa. Mdahalo utakuwa kati ya manguli wawili wa CCM na Chadema ndg Lucas mwashambwa na Erythrocyte . kwenye kona ya Lucas mwashambwa pia atakuwepo ndg The Sunk...
  20. JamiiForums Tanzania Nataka kuingia kwenye siasa, nafikiria CCM ndio njia pekee rahisi ili kufika mbali

    Habari wakuu Ikiwa kama njia yangu ya kujipenyeza, hatimaye niwe kiongozi mkubwa kama ilivyo ndoto yangu, imenipasa niingie kwenye siasa, sina akili wala moyo wa kichawa, mzee ni chadema mkubwa, hata mimi ningefata njia zake ila naona hio njia ni ngumu. Kabla sijajisajili kwa uvccm ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…